4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
- Thread starter
- #21
Kasema in the name of Jiwe,Kwani Kabendera kasemaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kasema in the name of Jiwe,Kwani Kabendera kasemaje?
OkLissu Mwenyekiti mpya Chadema.
Ila wawe makini kwa ajili ya uhai wa chama chao, wawe makini na system, isije kuwa wanapiganishwa ili end of the day Chama kitakuwa kama NCCR Mageuzi au Cuf.We tulia mkuu, Mbowe hawezi kosa wapambe, wajumbe wa mkutano mkuu ni 1000 na ,alafu unatishwa na vitu vidogo mkuu.
Achana na wapashkuna wa X mkuu
Achana na wapashkuna wa X mkuu
Kuna Maria ana account 40 X na zote zinaendesha propaganda zake...
Hatuoo kwenye harakati za kudai uhuru , CDM ni chama cha siasa
Kwa mustakabali mzuri wa chama ni bora lissu ashinde mbowe ashindwe!.Aiseee watu wanajua ku plan mambo,
Umenikumbusha kipindi kile cha Hayati Lowasa 2015.
Ila hawa mafahari wawili wawe makini sana kwa ajili ya uhai na mustakabali wa chama chao.
Je baada ya uchaguzi mfano Lissu akatae matokeo au Mbowe akatae matokeo kitakachotea ni nini kwa chama chao?
Mkuu labda humjui LissuMkuu labda Humjui Mbowe...
Le Don
Brother i know people .. TL ana washabiki nje ya game..ndan ya pitch hana connection na ndicho FAM anapomchapiaMkuu labda humjui Lissu
Muandishi uchwara yeriko nyerere amewaingiza chaka wengi 😁😁😁😁Brother i know people .. TL ana washabiki nje ya game..ndan ya pitch hana connection na ndicho FAM anapomchapia
Embu wacha dharau kijana.Muandishi uchwara yeriko nyerere amewaingiza chaka wengi 😁😁😁😁
Sawa vizuri, wajumbe waamue kwa hekima na busara, wasimamizi wa uchaguzi watende haki na kuisimamia,Kwa mustakabali mzuri wa chama ni bora lissu ashinde mbowe ashindwe!.
Mbowe akishinda hasara kwa chama ni nyingi na endelevu kuliko lissu akishinda!!.
Mbowe akitetea nafasi yake mipango & mikakati yake kupambana na ccm ni ileile tu hakuna jipya, so chama kitaendelea kufubaa!.
Lissu akishinda kwakuwa anaingia kwa mara ya kwanza atakuja na mipango mipya, chama kitafufuka...upya wake itakuwa hamasa kwa wanachama na wananchi kote nchini!!.
KIngine, endapo mbowe atashinda tena...wanachadema wengi wapenda mabadiliko watakisusia chama...tofauti na akishinda lissu!!.
Mbowe pia kwasasa hasa awamu hii ya samia anayo makandokando mengi, labda pia ndio maana wana ccm wengi wanataka atetee tena kiti chake!
Kwakweli kama wajumbe mkutano mkuu wanakipenda chama zaidi kuliko mtu, tarehe 21 waende wakamthibitishe lissu kuwa mwenyekiti mpya kwa kura za kishondo!!.