4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Mkuu hakuna cha Mbowe wala nini , siasa ni sayansiMkuu labda Humjui Mbowe...
Le Don
Lissu Mwenyekiti mpya Chadema.Nani kashinda sasa kama umeshaisha?
Tarehe 21 ni siku ya kuidhinisha mshindi upande wa Mwenyekiti na Makam wake .Nani kashinda sasa kama umeshaisha?
Mmmmh,Wakuu amani ya Bwana iwe juu yenu ,kila mmoja kwa imani yake.
Leo nimeona nitoe onyo , kama yupo ambae amekwapua mpunga toka upande ule ,utazitapika, uchaguzi umeisha isha .
Team Mbowe mnaenda kupigwa kama Ngoma.
Mtajua hamjui.
Kwani Kabendera kasemaje?Wakuu amani ya Bwana iwe juu yenu ,kila mmoja kwa imani yake.
Leo nimeona nitoe onyo , kama yupo ambae amekwapua mpunga toka upande ule ,utazitapika, uchaguzi umeisha isha .
Team Mbowe mnaenda kupigwa kama Ngoma.
Mtajua hamjui.
Itakua ni aibu sana kwake.Mbowe akishindwa atawalaumu sana wapambe nuksi, yaani miaka zaidi ya 20 madarakani uje ubwagwe kwenye uchaguzi badala ya kung'atuka kwa heshima...aibu iliyoje hii??!!.
Aisee jamaa hawezi kukubali, atahonga hata ile Protea Hotel apate tena uenyekiti potelea mbali!!.
Ya kuchukua pesa ya uchaguzi sio?Mkuu hakuna cha Mbowe wala nini , siasa ni sayansi
HahahaMmmmh,
Nikiwa raia wa kawaida nisiye na chama chochote, TAL namkubali sana ila kwa hali ilivyo hasa siku ile Chairman alivyofuatwa na viongozi mbalimbali pamoja na wanachama na hata siku ya kutangaza nia ya kugombea,
namna ambavyo viongozi wengi wa ngazi ya juu walivyokuwa wengi wako upande wa Chairman naona kama kashinda kabla ya uchaguzi?
We tulia mkuu, Mbowe hawezi kosa wapambe, wajumbe wa mkutano mkuu ni 1000 na ,alafu unatishwa na vitu vidogo mkuu.Mmmmh,
Nikiwa raia wa kawaida nisiye na chama, TAL namkubali ila kwa hali ilivyo hasa siku ile ya Chairman alivyofuatwa na viongozi mbalimbali pamoja na wachama na hata siku ya kutangaza nia ya kugombea, namna ambavyo viongozi wengi wa ngazi ya juu walivyokuwa wengi wako upande wa Chairman naona kama kashinda kabla ya uchaguzi?
Timu Kibaraka mnategemea maneno ambayo hayana Msaada Kwa Wajumbe ππWakuu amani ya Bwana iwe juu yenu ,kila mmoja kwa imani yake.
Leo nimeona nitoe onyo , kama yupo ambae amekwapua mpunga toka upande ule ,utazitapika, uchaguzi umeisha isha .
Team Mbowe mnaenda kupigwa kama Ngoma.
Mtajua hamjui.
Mkuu ile ya kufuatwa na wanachama nyumbani kwake lile lilikuwa ni igizo, usilipe uzito!.Mmmmh,
Nikiwa raia wa kawaida nisiye na chama chochote, TAL namkubali sana ila kwa hali ilivyo hasa siku ile Chairman alivyofuatwa na viongozi mbalimbali pamoja na wanachama na hata siku ya kutangaza nia ya kugombea,
namna ambavyo viongozi wengi wa ngazi ya juu walivyokuwa wengi wako upande wa Chairman naona kama kashinda kabla ya uchaguzi?
Ccm ya chadema yaache , utapata sonona, fikili namna ya kutoa form moja huko ccmTimu Kibaraka mnategemea maneno ambayo hayana Msaada Kwa Wajumbe ππ
Mnashindana nae kalipia gharama za mkutano wenu
SahiiMkuu ile ya kufuatwa na wanachama nyumbani kwake lile lilikuwa ni igizo, usilipe uzito!.
Hao wenyeviti wa baadhi ya kanda wanaomuunga mkono ni sawa kwakuwa ni wanufaika moja kwa moja wa mbowe...so ni lazima wamuunge mkono.
Ila kumbuka wajumbe mkutano mkuu ni wengi zaidi ya hao vibaraka wa mbowe.
Aiseee watu wanajua ku plan mambo,Mkuu ile ya kufuatwa na wanachama nyumbani kwake lile lilikuwa ni igizo, usilipe uzito!.