Wauzaji wa Container Tz
JF-Expert Member
- Apr 5, 2020
- 2,224
- 4,092
Habari wakuu .
Mimi ni Mwalimu ambaye nafundisha kuanzia Kindergarten mpaka form six .
Kama upo na Shule ambayo unahitaji kuikuza kupitia Mwalimu competent .
Uwezo wangu upo katika haya maeneo .
Kufundisha
Kufanya mentoring
Kuwashawishi wazazi ili wawalete wanafunzi kujiunga katika shule yako .
Usimamizi wa shule.
Hivyo ikiwa una shule na ulikuwa haujui wapi hasa Unaweza kupata competent teacher ur welcome.
Call 0658124288.