Kama kuna Wiki Ngumu kwa Yanga SC basi ni hii kwani tayari Umafia umeshamalizwa huko Tanga Alhamisi na Arusha Jumapili

Acheni mchecheto,hiyo si club bingwa Afrika.

Tatizo umeshaona ubovu wa timu yako iliyoshinda mechi na timu ndogo kwa tuta tena kwa mbinde.Sasa wasi wasi wako unaanza kutengeneza scenario ya kuja kuleta visingizio baadae.

Acheni kucheza mpira kwenye mitandao na kupitia historia.
Waende kwa Tahadhari zote huko Tanga Alhamisi na Arusha Jumapili kwani kwa Umafia ambao umefanyika huenda Wiki hii ikiwa Ngumu Kwao kwa Michezo yao. Nawaonea sana Huruma Kocha Kaze, Boss wa GSM Hersi na Mwenyekiti Msola.

Kwa yaliyofanywa huko Watu watauwana.
 
Hakuna shida,yanga wako prepared sawasawa,kwa kila kitu
 
Waende kwa Tahadhari zote huko Tanga Alhamisi na Arusha Jumapili kwani kwa Umafia ambao umefanyika huenda Wiki hii ikiwa Ngumu Kwao kwa Michezo yao. Nawaonea sana Huruma Kocha Kaze, Boss wa GSM Hersi na Mwenyekiti Msola.

Kwa yaliyofanywa huko Watu watauwana.
wewe genta acha kubwabwaja... Maliza yako kwanza
 
Waende kwa Tahadhari zote huko Tanga Alhamisi na Arusha Jumapili kwani kwa Umafia ambao umefanyika huenda Wiki hii ikiwa Ngumu Kwao kwa Michezo yao. Nawaonea sana Huruma Kocha Kaze, Boss wa GSM Hersi na Mwenyekiti Msola.

Kwa yaliyofanywa huko Watu watauwana.
We Utopolo mbona unapata tabu Sana, ulikuja na gazeti hapa kabla ya mechi ya Simba na Al Ahly kuwa Simba atafungwa Kwa kivuli cha kujifanya mwana Simba Leo tena mapaja wazi unadai Yanga wamefanyiwa umafia, hivi kila mtu akiamua kuanzisha Uzi humu ata kama wa kipuuzi kama wako itakuaje?

Kwanini msitulie mkajenga team yenu na kupata kikosi cha ushindani, ata wewe kweli inakuingia akilini kwamba Kwa kikosi cha Yanga ata kama hajafungwa ashinde ubingwa alafu Simba akose? Kwa kikosi gani? Kwa uchawi au mbeleko? yanga ipo pale kutokana na ukongwe wake na pressure ya mashabiki Tu na sio uwezo wa wachezaji, ifkie hatua mkubali kuwa hamna team na kinachotokea EPL ndio kitatokea VPL maji na mafuta yanaenda kujitenga
 
La muhimu acheni mpira uchezwe uwanjani.

Tukishinda tushinde kwa haki.

Tukishindwa tushindwe kwa haki.

Siyo kuwapa maelekezo maalum waamuzi.

Mkiendeleza yale maamuzi yenu elekezi tunajiondoa kwenye mashindano, kisha tuone kama ligi haijadoda.
 
Ligi idode kwa sababu ya utopolo? Viongozi wenyewe njaa kama Sudan ya kusini hamna uwezo wa kujitoa nyie.

Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
 
Kuna kila dalili siku si nyingi mashabiki wengi wa mbumbumbu fc wakajikuta wanahamia Timu ya Wananchi! Haiwezekani kutwa wanaanzisha nyuzi za kuiongelea Timu ya Wananchi tu!

Ni aghalabu kuwakuta wanaanzisha nyuzi za kuijadili timu yao, na hasa kwenye mapungufu! Mbaya zaidi atokee mchambuzi wa watu na kuikosoa hiyo timu yao, basi watamshambulia kweli kweli! Badala ya kuyakubali madhaifu yao na kuyafanyia kazi.

Mbumbumbu fc, mnakosea wapi kwani?
 
La muhimu acheni mpira uchezwe uwanjani.

Tukishinda tushinde kwa haki.

Tukishindwa tushindwe kwa haki.

Siyo kuwapa maelekezo maalum waamuzi.

Mkiendeleza yale maamuzi yenu elekezi tunajiondoa kwenye mashindano, kisha tuone kama ligi haijadoda.
Halafu mnawapeleka wapi akina sarpong mkijitoa?[emoji2957][emoji2957]
 
Kuna kila dalili siku si nyingi mashabiki wengi wa mbumbumbu fc wakajikuta wanahamia Timu ya Wananchi! Haiwezekani kutwa wanaanzisha nyuzi za kuiongelea Timu ya Wananchi tu!

Ni aghalabu kuwakuta wanaanzisha nyuzi za kuijadili timu yao, na hasa kwenye mapungufu! Mbaya zaidi atokee mchambuzi wa watu na kuikosoa hiyo timu yao, basi watamshambulia kweli kweli! Badala ya kuyakubali madhaifu yao na kuyafanyia kazi.

Mbumbumbu fc, mnakosea wapi kwani?
Hakuna binadamu anayetamani kuwa kima hata siku moja. Vidimbwi mtateseka sana mwaka huu na Tanga mnaenda kukeketwa mchana kweupeeeeee kudadadeq
FB_IMG_1613047921564.jpg
 
Back
Top Bottom