mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Huko sasa ni kuweweseka! Ulimsiqkia Legend namba moja wa Yanga Sunday Manara almaarufu kama kompyuta?? Laiti utopolo wangemsikiliza huyu mzee, mambo yangebadilika Sana!Inasemekana game za Yanga zote kuna mikono ya watu kibao kutaka kuiangusha timu
Pila makopa ya nazi.pira tanga raha hakuna maudhi
pira harage la gazeti
pira baikoko
pira vibibi
pira wajaleo kuondoka majaliwa
pira kunani palee
A very good prophecy!!!!!!Waende kwa Tahadhari zote huko Tanga Alhamisi na Arusha Jumapili kwani kwa Umafia ambao umefanyika huenda Wiki hii ikiwa Ngumu Kwao kwa Michezo yao. Nawaonea sana Huruma Kocha Kaze, Boss wa GSM Hersi na Mwenyekiti Msola.
Kwa yaliyofanywa huko Watu watauwana.
Simba pekee, ndo wanakupiga wewe ukiwa na uchawi, wao wakiwa hawana uchawi
Hapa JF kuna watu 'wanajua' mambo mengi sana ya nyuma ya pazia,ila watu 'wasiojua' huingiza ubishi mwingi sana wanapoelezwa kuhusu mambo.(Mfano:kuna watu wakiambiwa kwamba uchawi upo kwenye maisha ya kawaida na kwenye soka,utashangaa mpuuzi mmoja anajitokeza na kusema "hayo mambo hayapo!na yangekuwepo basi sisi Tanzania tungelibeba Kombe la Dunia zamani sana", sasa mjinga kama huyu anayejitia ujuaji unabaki unamchora,ila baadae anakuja kuona matokeo yake).
Kuna Watu huwa mnanipuuza na kudhani natania mkisahau kuwa wengine ni Mitume wachache tuliopo hapa duniani.A very good prophecy!!!!!!
Endeleeni Kunidharau na Kutoniamini ila Mimi ndiyo All - Rounder alias ( a.k.a ) Brainiac.Mwanangu yametimia..
Endeleeni Kunidharau na Kutoniamini ila Mimi ndiyo All - Rounder alias ( a.k.a ) Brainiac.
Endeleeni Kunidharau na Kutoniamini ila Mimi ndiyo All - Rounder alias ( a.k.a ) Brainiac. Nimeshaingia Mkoani Arusha na Wembe ni ule ule Jumapili Mtu Mzima anaenda Kuziacha Alama ( Points ) Tatu hapa na akiponapona sana basi ataambulia Alama ( Point ) Moja tu. Nikipatiwa Nyoka Mweusi na Njiwa Rangi Nyeusi Yanga SC watanitambua tena hiyo Jumapili. Kazi ya Leo nilishaimaliza tokea Juzi Jumanne na ndiyo maana nilianzisha Uzi nikijiamini kabisa kuwa Yanga SC Leo ama anafungwa au anapata Sare ila hashindi na imekuwa hivyo hivyo.Hapa JF kuna watu 'wanajua' mambo mengi sana ya nyuma ya pazia,ila watu 'wasiojua' huingiza ubishi mwingi sana wanapoelezwa kuhusu mambo.(Mfano:kuna watu wakiambiwa kwamba uchawi upo kwenye maisha ya kawaida na kwenye soka,utashangaa mpuuzi mmoja anajitokeza na kusema "hayo mambo hayapo!na yangekuwepo basi sisi Tanzania tungelibeba Kombe la Dunia zamani sana", sasa mjinga kama huyu anayejitia ujuaji unabaki unamchora,ila baadae anakuja kuona matokeo yake).
Nikuulize swali Mkuu:ulishawahi kufatilia nyuzi nyingi za huyu mtoa post hasa kwenye soka letu?
Mimi nilishamwelewa zamani mno,Kuanzia ile mechi ya Simba vs Nkana na kuendelea hadi leo,threads zake huwa zinaleta matokeo aliyotabiri.Labda ya juzi ya Simba vs Al Ahly aliyosema itaisha kwa droo ndo alibugi kidogo.
Kumbe amefungiwa? Nimemmisi sana.Ban ya GENTAMYCINE inaisha lini
Shirki hii duuhhWaende kwa Tahadhari zote huko Tanga Alhamisi na Arusha Jumapili kwani kwa Umafia ambao umefanyika huenda Wiki hii ikiwa Ngumu Kwao kwa Michezo yao. Nawaonea sana Huruma Kocha Kaze, Boss wa GSM Hersi na Mwenyekiti Msola.
Kwa yaliyofanywa huko Watu watauwana.
MmmmhEndeleeni Kunidharau na Kutoniamini ila Mimi ndiyo All - Rounder alias ( a.k.a ) Brainiac. Nimeshaingia Mkoani Arusha na Wembe ni ule ule Jumapili Mtu Mzima anaenda Kuziacha Alama ( Points ) Tatu hapa na akiponapona sana basi ataambulia Alama ( Point ) Moja tu. Nikipatiwa Nyoka Mweusi na Njiwa Rangi Nyeusi Yanga SC watanitambua tena hiyo Jumapili. Kazi ya Leo nilishaimaliza tokea Juzi Jumanne na ndiyo maana nilianzisha Uzi nikijiamini kabisa kuwa Yanga SC Leo ama anafungwa au anapata Sare ila hashindi na imekuwa hivyo hivyo.