Kama kuna Wiki Ngumu kwa Yanga SC basi ni hii kwani tayari Umafia umeshamalizwa huko Tanga Alhamisi na Arusha Jumapili

Mpira ni mchezo wa wazi,hata ukihujumiwa kama una timu nzuri utashinda.Jana Yanga kajiharishia Tanga mpira kacheza mbovu kupindukia sijui ya Arusha inaweza kuwa mbaya zaidi
Arusha ndiyo wanaenda kupulizwa kinyama
 
Huu msako wa polisi ni hata, tatizo Arusha hamna dimbwi la vyura la kujificha matokeo yake Polisi kakamata vyura wote
 
Basi jamaa kama ni mbashiri mzuri awe anatupa mikeka tushinde bet
 
ulionena hatimaye yametimia
 
@Gentamycin in another face
 
Wewe jamaa wa huu uzi hufai, yote uliyosema yametimia.
Na huyo ndiyo All - Rounder Ndugu ( alias ) Brainiac na sijawahi Kuja na Maono yangu pamoja na Critical Observations zangu JF 99% zisiwe Kweli.
 
Mwenye uzi wako huko uliko agiza kinywaji nitumie bill.
Unatisha
Na huyo ndiyo All - Rounder Ndugu ( alias ) Brainiac na sijawahi Kuja na Maono yangu pamoja na Critical Observations zangu JF 99% zisiwe Kweli.
 
We jamaa mchawi au mlozi unacheki game before ata Mshana Jr umempiku depotivo la utoporo watakuchukia ujue
Na huyo ndiyo All - Rounder Ndugu ( alias ) Brainiac na sijawahi Kuja na Maono yangu pamoja na Critical Observations zangu JF 99% zisiwe Kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…