Kama kuna zuio la kuingiza mafuta ya kula kutoka nje, Tunaomba liondolewe wananchi tutakufa jamani

Hii nchi ukiwa na akili ni ngumu sana kuishi
 
Mi-5 tena !
 
Gwajima boy kwanini asitusaidie hili.Halima Mdee mungu anakuona.
 
Mkuu Zama singida kapige heka zako za kutosha za alizeti sisi wakulima tunafurahia mazao yanapopanda bei
 
Hiyo ndio kulinda viwanda vya ndani. Hawa ndio wachumi wetu wanao hongwa PhD. Wana waza kwa kutumia makalio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…