Kama kusoma hamjui na picha pia hamuoni?TFF rudieni kuangalia tena na tena hii mechi ya leo mtagundua kitu

Kama kusoma hamjui na picha pia hamuoni?TFF rudieni kuangalia tena na tena hii mechi ya leo mtagundua kitu

Leo wangekaa vibaya goli 5 zingewahusu, waliomba mpira uishe mapema manake walichoka mno
 
Hizi kelele tumeanza kusikia mechi Ken gold, Fountain Gates, KMC na Leo Singida!

Ni kweli Yanga anapanga matokeo mechi zote hizo? Mbona Simba alifungwa?

Mbona Simba iliifunga Singida pale kwake hapakuwa na nongwa?
Nimetoa mfano wa tukio hilo moja wapo linaloonesha kasoro kubwa ya kiushindani.kufungwa sio tatizo kama fight spirit itaonekana.Refer mechi ya Simba na Fountain Gate,uliona upambanaji wa Fountain Gate ulinganishe na kilichoonekana leo?.
 
Mnapata nao tabu hao ndio kimataifa wakifika wanabondwa walibahatisha msimu mmoja walikutana na vibonde wakafika final ndio ntolee hyo ikirudi ina pancha mechi zao zimekosa mvuto.
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Ila Mh. Ismail Rage anastahili kujengewa mnara wa kumbukumbu kwa kuwaita mbumbumbu watu wa aina hii!!
Acha ushabiki sometimes tuongee football haiwajengi hii inawabomoa.
 
Nimetoa mfano wa tukio hilo moja wapo linaloonesha kasoro kubwa ya kiushindani.kufungwa sio tatizo kama fight spirit itaonekana.Refer mechi ya Simba na Fountain Gate,uliona upambanaji wa Fountain Gate ulinganishe na kilichoonekana leo?.
Mbona upambanaji wa tabora united atukuuona dhidi ya Simba tofauti na walivyocheza na yanga?
 
Mnapata nao tabu hao ndio kimataifa wakifika wanabondwa walibahatisha msimu mmoja walikutana na vibonde wakafika final ndio ntolee hyo ikirudi ina pancha mechi zao zimekosa mvuto.
Walikutana vibonde kama ilivyo kwenye wakinamama cup uko mlipo
 
Walikutana vibonde kama ilivyo kwenye wakinamama cup uko mlipo
Sasa unaongea nini unakutana na zalan fc team week nzima ipo njiani mkaja mkakutana na jwaneng galaxy iliyoshuka daraja lete hyo list ya team ngumu mlizokutana nazo mpaka mkafika final mimi nasema mlikutana na vibonde.
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Hahah nimecheka sana, yaani hujataja timu yako ije kuchukua hizo pwenti 3 unamsakizia Azam
Kwa beki hii ya leo ambapo singida kila sekunde alikuwa anaingia kwenye boksi?

Golikipa anadaka kama ana majipu mkononi?
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Wamefunga goli dakika 92 kati ya 94, badala ya kuforce mpira uanze haraka, wao ndio wakageuka wapoteza muda. Wakakusanyana kwenye kona kushangilia na kupiga dua.

Mechi au ushuzi?
Ushuzi wako🤣🤣

Machi 8 siyo mbali tutaona ufundi wenu.
 
Tarehe 8 sifungwi mimi hata kidogo yaani timu kila sekunde watu wanaingia kwenye boksi?

Golikipa hata kudaka hajui anamtemea striker miguuni?

Beki boka dk ya 1 hadi ya mwisho anatolewa hajapiga krosi hata 1?

Beki mwenda mfupi kama stuli?
 
Back
Top Bottom