Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimetoa mfano wa tukio hilo moja wapo linaloonesha kasoro kubwa ya kiushindani.kufungwa sio tatizo kama fight spirit itaonekana.Refer mechi ya Simba na Fountain Gate,uliona upambanaji wa Fountain Gate ulinganishe na kilichoonekana leo?.Hizi kelele tumeanza kusikia mechi Ken gold, Fountain Gates, KMC na Leo Singida!
Ni kweli Yanga anapanga matokeo mechi zote hizo? Mbona Simba alifungwa?
Mbona Simba iliifunga Singida pale kwake hapakuwa na nongwa?
Acha ushabiki sometimes tuongee football haiwajengi hii inawabomoa.Ila Mh. Ismail Rage anastahili kujengewa mnara wa kumbukumbu kwa kuwaita mbumbumbu watu wa aina hii!!
Mbona upambanaji wa tabora united atukuuona dhidi ya Simba tofauti na walivyocheza na yanga?Nimetoa mfano wa tukio hilo moja wapo linaloonesha kasoro kubwa ya kiushindani.kufungwa sio tatizo kama fight spirit itaonekana.Refer mechi ya Simba na Fountain Gate,uliona upambanaji wa Fountain Gate ulinganishe na kilichoonekana leo?.
Si ndio mfurahi sasa kuwabomoa milio ya niniAcha ushabiki sometimes tuongee football haiwajengi hii inawabomoa.
Walikutana vibonde kama ilivyo kwenye wakinamama cup uko mlipoMnapata nao tabu hao ndio kimataifa wakifika wanabondwa walibahatisha msimu mmoja walikutana na vibonde wakafika final ndio ntolee hyo ikirudi ina pancha mechi zao zimekosa mvuto.
Sasa unaongea nini unakutana na zalan fc team week nzima ipo njiani mkaja mkakutana na jwaneng galaxy iliyoshuka daraja lete hyo list ya team ngumu mlizokutana nazo mpaka mkafika final mimi nasema mlikutana na vibonde.Walikutana vibonde kama ilivyo kwenye wakinamama cup uko mlipo
Hahah nimecheka sana, yaani hujataja timu yako ije kuchukua hizo pwenti 3 unamsakizia AzamAzam haina chapa ya GSM, pale kuna matumaini
Kwa beki hii ya leo ambapo singida kila sekunde alikuwa anaingia kwenye boksi?Hahah nimecheka sana, yaani hujataja timu yako ije kuchukua hizo pwenti 3 unamsakizia Azam
Kwa beki hii ya leo ambapo singida kila sekunde alikuwa anaingia kwenye boksi?
Golikipa anadaka kama ana majipu mkononi?
Ushuzi wako🤣🤣Wamefunga goli dakika 92 kati ya 94, badala ya kuforce mpira uanze haraka, wao ndio wakageuka wapoteza muda. Wakakusanyana kwenye kona kushangilia na kupiga dua.
Mechi au ushuzi?
Zingatieni ID ya mtoa mada nadhani mjadala ungekuwa ushafungwa
Sawa mamdogo ntafanya hivo.Andika barua uombe kazi ya kudaka
Katika mechi zilizobaki, kuna mechi kadhaa uto ana uwezekano mkubwa wa kufungwa msimu huu. Mechi hizo ni pamoja na ya Simba na Azam.Hahah nimecheka sana, yaani hujataja timu yako ije kuchukua hizo pwenti 3 unamsakizia Azam
Mmeanza kudata sasa.. tarehe 3 kuna niniIla utopolo ni kichekesho ..Mimi nasubiri tarehe 3 tu mamaeh.