Mjamaa1
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 7,596
- 6,023
Namsaidia, Inawafanya muwe na adabu kwani inawapunguzia sexual appetite , maana mmekubuhu, hamsikii, hii kitu bora ifanyike tuUmuhimu wa mwanamke kukeketwa ni upi mzee baba?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namsaidia, Inawafanya muwe na adabu kwani inawapunguzia sexual appetite , maana mmekubuhu, hamsikii, hii kitu bora ifanyike tuUmuhimu wa mwanamke kukeketwa ni upi mzee baba?
Wacha wapigwe kisu brother, genye zinawasumbua sana hawa viumbe, imagine kitoto cha miaka 10 hakina bikra , washavunja kibubu.Haijakaa poa mwanamke kukeketwa
Umejibu kwa hisia kinyamaNamsaidia, Inawafanya muwe na adabu kwani inawapunguzia sexual appetite , maana mmekubuhu, hamsikii, hii kitu bora ifanyike tu
Na mwanaume?Mwanamke kukeketwa ina athari nyingi ikiwemo kupoteza maisha. Ova
Malengo gani ya tofauti mkuu, yaani pedi inakusanya uchufu ule wa siku ya za mwezi, the same kwa diapers zinakusanya uchafu wa kubwa na ndogo. Malengo ni yale yale kukusanya uchafu.hvy v2 ukitazam kwa jicho la harak unawez kusema vinafanan n kama pedi na pampas tu lkn hvy v2 vina malengo mawil tofauti
Usafi wa dudu la yuyu.Na umuhimu wa mwanaume kutaahiriwa ni upi?
ckia najua mtaan kwen kuna mtoto mdog eb nenda kannue pedi alf zipelk kwa kina huyo mtoto waambie wazaz wake n zawad waztmie km pampas me nipo pale natzam mchezoMalengo gani ya tofauti mkuu, yaani pedi inakusanya uchufu ule wa siku ya za mwezi, the same kwa diapers zinakusanya uchafu wa kubwa na ndogo. Malengo ni yale yale kukusanya uchafu.
AsanteUmejibu kwa hisia kinyama
Pole kwa unayopitia
mwanamke akikeketwa kuna athari anapata wakati wa kujifungua, na pia anakuwa amekata sehemu nyeti ya sensitivity yaani clitoris. ila mwanaume akitahiri sio hatari kwasababu hazai, though anakuwa amepunguza pia baadhi ya nerve za sensitiviti, ila sio shida kwake.Kwanini watu wanakataza wanawake wasikeketwe ila wanataka wanaume watairiwe?
Kwa hiyo aliyelitengeneza hilo dudu alikosea sio?Usafi wa dudu la yuyu.
Mwanaume kutahiriwa ukiacha upande wa dini au biblia, ila lengo kuu ni moja ya njia ya kujikinga na magonjwa ya maambukizi ikiwemo UTI na STDs. Ile sehemu ya gomvi inayotolewa inauwezo mkubwa wa kubaki na uchafu au majimaji na kama sio mchafu basi itakuletea magonjwa mengi ya kuambukizwa, maana ukifanya tendo la ndoa ile sehemu yaweza baki na utete wa ukeni nainajulikana wanaume hawajali sana usafi wa uko chini. Nahapo ndipo kutahiriwa inapohitajika. Pia nerve endings chache za uume hufika mwishoni kabisa kule kwenye govi hivyo mara nyingi ukisimamisha kule kutabaki kumepwaya.Kwanini watu wanakataza wanawake wasikeketwe ila wanataka wanaume watairiwe?
Kwa maana kwa mwanaume usipotahiriwa utapata magonjwa na hutogegeda kwa raha ila kwa mwanamke ni mbaya hutoweza kuzaa wala kusikia raha ya tendo napia inaleta madhara mengi kama kufa , nakupata fistulaKwanini watu wanakataza wanawake wasikeketwe ila wanataka wanaume watairiwe?
Kazi ya mama hiyo.Na imagine mtt mdogo wa kiume umvishe pedi badala ya pampers eti zinafanana [emoji134]
Leta ushahidi.Mwanamke kukeketwa ina athari nyingi ikiwemo kupoteza maisha. Ova
Wewe unacheza na njaa.Ikatwe isikatwe kama ana njaa ya maisha atadanya tu,Namsaidia, Inawafanya muwe na adabu kwani inawapunguzia sexual appetite , maana mmekubuhu, hamsikii, hii kitu bora ifanyike tu