Kama kutairi na kukeketa vyote vinahusisha kutoa sehemu ya mwili mbona hivi sasa?

Kama kutairi na kukeketa vyote vinahusisha kutoa sehemu ya mwili mbona hivi sasa?

Leta ushahidi.
Wazungu tu wametudanganya.
Hakuna hizi habari
Mama zetu walikuwa wanazaa si chini ya watoto 4 na walikeketwa.
Siku hizi mtoto mmoja mnaogopa kuzaa ndio mnakuja na habari za uongo
Basi endeleeni kukeketana[emoji120]
 
Si lazima Ila Ni muhimu kwa afya yako ,agano jipya halikatazi watu kutahiriwa ,linampa Uhuru mtu kumchagua,Kulingana na biblia agano jipya wewe ukiona utakuwa poa na mkono wako wa Sweta it's okay.
 
Hata umuhimu wa mwanaume kufanya tohara upo kisiasa mno!

1.Hoja ya usafi haina mashiko.
•Kusafisha "govi" ni rahisi kuliko hata kusafisha uke,si linavutwa tu lile.

2.Hoja ya kupunguza uwezekano wa kuambukizwa STDs nayo haina mashiko.
•Wenye tohara nao wanahamasishwa kutumia condom kujikinga na STDs kama wasiotahiri tu.

Ukeketaji unapigwa vita sababu ya athari zake kuwa nyingi hadi nyakati za kujifungua.
 
Usafi wa dudu la yuyu.
Namna ya kuondoa uchafu ni kufanya usafi sio kuondoa kiungo cha mwili kuna maeneo mengi yanazalisha uchafu kwenye mwili mbona hatuyaondoi., mdomo unazalisha bakteria wengi sana ila tunapiga mswaki kwanini tusiondoe mdomo tuwe na meno nje? Huo unaoitwa uchafu wa kwenye govi haufiki hata robo ya uchafu unaozalishwa kwenye uke wa mwanamke je tuanzishe kampeni ya kuondoa uke katika miili ya wanawake kwa sababu iyo sehemu inazalisha uchafu?
 
mwanamke akikeketwa kuna athari anapata wakati wa kujifungua, na pia anakuwa amekata sehemu nyeti ya sensitivity yaani clitoris. ila mwanaume akitahiri sio hatari kwasababu hazai, though anakuwa amepunguza pia baadhi ya nerve za sensitiviti, ila sio shida kwake.
Sasa kuna ulazima gani wa mwanaume kutahiriwa?
 
Mwanaume kutahiriwa ukiacha upande wa dini au biblia, ila lengo kuu ni moja ya njia ya kujikinga na magonjwa ya maambukizi ikiwemo UTI na STDs. Ile sehemu ya gomvi inayotolewa inauwezo mkubwa wa kubaki na uchafu au majimaji na kama sio mchafu basi itakuletea magonjwa mengi ya kuambukizwa, maana ukifanya tendo la ndoa ile sehemu yaweza baki na utete wa ukeni nainajulikana wanaume hawajali sana usafi wa uko chini. Nahapo ndipo kutahiriwa inapohitajika. Pia nerve endings chache za uume hufika mwishoni kabisa kule kwenye govi hivyo mara nyingi ukisimamisha kule kutabaki kumepwaya.
Hayo magonjwa hata waliotahiriwa wanayapata na kama lengo ni usafi basi wanaume waamisishwe kujifanyia usafi na sio kuondoa kiungo cha mwili hata ivyo ukiongelea kuzalisha uchafu basi sehemu ya siri ya mwanamke ndio inazalisha uchafu kwa kiwango kikubwa sana ukilinganisha na mwanaume kwaiyo zingatio zaidi liwekwe kwa wanawake ikiwemo na kuwafanyia tohara
 
Kwa maana kwa mwanaume usipotahiriwa utapata magonjwa na hutogegeda kwa raha ila kwa mwanamke ni mbaya hutoweza kuzaa wala kusikia raha ya tendo napia inaleta madhara mengi kama kufa , nakupata fistula
Magonjwa yote anayopata ambae hajatahiriwa anaweza akayapata ambae katahiriwa pia kuhusu kutogegeda kwa raha sio kweli kabisa maana ile foreskin inayoondolewa ina stimulation nerves ambazo zinamfanya mwanaume kupata flavor zaidi wakati wa sex ivyo mwanaume ambae hajatahiriwa anaenjoy zaidi sexy kuliko ambae ametahiriwa kuhusu kufa hata wanaume pia wanakufa wakati wa kufanyiwa tohara, hizi no zama za 50/50 kama wanaume wanafanyiwa tohara basi na wanawake wafanyiwe pia kama wanawake hawafanyiwi basi na wanaume wasifanyiwe pia
 
ili tuende sawa na sisi tukatwe vichwa vya chini ili wao wakeketwe ...... Kuna mahali wazee Mila zilizidi hekima.
 
Inawezekana umuhimu ukawepo au usiwepo ila mtoa mada anataka kujua kwanini jinsia moja inafanyiwa tohara na jinsia nyingine haifanyiwi? Ukizingatia tupo katika zama za 50/50 hauoni iyo inakua ni ubaguzi
Kama ni 50/50 kwanini wanaume wasiache kutahiriwa ili tuwe sawa

Kwenye jinsia hakuna kitu ya 50/50
Hao wanaosema 50/50 hawana hoja ya msingi manake haiwezekani
 
Back
Top Bottom