Kama kutairi na kukeketa vyote vinahusisha kutoa sehemu ya mwili mbona hivi sasa?

Kwa wakati huo umuhimu ulikuwa ni upi?kama unajua
kuweza kukaa mda mrefu bila kutamani kunyandukiwa.hii ili weza kukaa polini na mifugo pindi waume wao wanapo kua vitani au kwa sababu zozote zile.
 
Sijapinga, lakini tuangalie athari nyingi zinaegemea upande gani
Kwaiyo tukubali wanaume waathirike na tohara kwa sababu tu athari upande wao zipo chache? Kama tohara ina athari mbaya kwa kila upande kwanini isipingwe kufanyika kwa wote mwanaume na mwanamke?
 
Kama ni 50/50 kwanini wanaume wasiache kutahiriwa ili tuwe sawa

Kwenye jinsia hakuna kitu ya 50/50
Hao wanaosema 50/50 hawana hoja ya msingi manake haiwezekani
Paragraph yako ya kwanza ndio point yangu ya msingi.. either wanaume wasitairiwe kama wanawake au wanawake watahiriwe kama wanaume ili twende sawa
 
Sasa kuna ulazima gani wa mwanaume kutahiriwa?
ningekuwa sijatahiriwa leo hii, hakika nisingetahiriwa kama mke wangu angeridhia. shida inakuja, wanawake wa kijijini tu ndio watakubali mwanaume asiyetahiriwa.ni uchafu, but wanasayansi wanasema, wasiotahiriwa wanapata raha zaidi wakati wa tendo kuliko waliotahiriwa. ile kutahiriwa wanakata baadhi ya nerves, na pia, kitendo cha kichwa cha rungu kuwa wazi na hadi kinakuwa sugu inapunguza hisia, wakati kama mtu hajatahiriwa makonzi ya nguo tunazova yanapopiga hayaifikii kile kichwa, yanaishia kwenye govi. binafsi nilitahiriwa nikiwa form two, kwahiyo najua utamu wa pande zote mbili. na nilitahiriwa kwasababu tu niliona wanafunzi wenzangu wananicheka.
 
Suala la kutahiri wanaume limekaa kimazoea tu wazazi wamekalili mtoto wa kiume ni lazima atahiriwe na ukiwa mkubwa kama haujatahiriwa utachekwa na wenzako inabidi utahiriwe tu kuepuka iyo fedhea ila ukiangalia sababu za kutahiri wanaume hazina mashiko kama suala ni usafi basi zifanyike kampeni za kuamasisha usafi sio kuondoa sehemu ya mwili hata ivyo nyeti za wanawake ndio zinazalisha uchafu zaidi ya wanaume kwaiyo suala la tohara lilitakiwa kuwekewa mkazo zaidi upande wa wanawake na kama sababu ni magonjwa hayo magonjwa yanayotajwa hata waliotahiriwa wanayapata pia ukisema wanawake wanaondolewa sehemu ambayo inamfanya apate msisimko zaidi wakati wa sex hata kwa wanaume ivyo ivyo nerves zinaondolewa na kichwa kuwa wazi tissue zinakufa inapelekwa kupata sugu na kumfanya asienjoy tendo kama ambae hajatairiwa kuhusu suala la wanawake kufa hii ninkwa sababu kitendo kinapingwa ivyo inapelekea kufanywa na watu wasiokua na utaalamu uko maporini lakini ingekua kutahiri wanawake ni ruksa ingefanyika hospitali na wataalamu kwa usalama kabisa.. madhara wanayopata mwanaume na mwanamke wakifanyiwa tohara kimsingi ni yale yale sasa iweje jinsia mmoja iwe ruksa jinsia nyingine iwe marufuku
 
Unataka upatevutamu gani ya huu baada ya kutahiriwa?

Au mashine yako imepooza?
 
Kutairi ni kutoa foreskin na inaachwa kichwa cha uume but kukeketa hawatoi ngozi ila wanapunguza au kuondoa kabisa kisimi(clitoris) kuondoa ashki
Kutair kupunguza uwezekano wa kupatwa na magnjwa ambukizi ya zinaa na cancer ndio maana linakubarika hata wanaoamin katka Mungu,Lakin kukeketa kunaongeza uwezkano kupata cancer
 
Suala la kutahiri wanaume limekaa kimazoea tu wazazi wamekalili mtoto wa kiume ni lazima atahiriwe na ukiwa mkubwa kama haujatahiriwa utachekwa na wenzako inabidi utahiriwe tu kuepuka iyo fedhea ila ukiangalia sababu za kutahiri wanaume hazina mashiko kama suala ni usafi basi zifanyike kampeni za kuamasisha usafi sio kuondoa sehemu ya mwili hata ivyo nyeti za wanawake ndio zinazalisha uchafu zaidi ya wanaume kwaiyo suala la tohara lilitakiwa kuwekewa mkazo zaidi upande wa wanawake na kama sababu ni magonjwa hayo magonjwa yanayotajwa hata waliotahiriwa wanayapata pia ukisema wanawake wanaondolewa sehemu ambayo inamfanya apate msisimko zaidi wakati wa sex hata kwa wanaume ivyo ivyo nerves zinaondolewa na kichwa kuwa wazi tissue zinakufa inapelekwa kupata sugu na kumfanya asienjoy tendo kama ambae hajatairiwa kuhusu suala la wanawake kufa hii ninkwa sababu kitendo kinapingwa ivyo inapelekea kufanywa na watu wasiokua na utaalamu uko maporini lakini ingekua kutahiri wanawake ni ruksa ingefanyika hospitali na wataalamu kwa usalama kabisa.. madhara wanayopata mwanaume na mwanamke wakifanyiwa tohara kimsingi ni yale yale sasa iweje jinsia mmoja iwe ruksa jinsia nyingine iwe marufuku

Wee zimekatwa zinavutia kuliko mkiachwa na ngozi zile ndefu ,na wanaume wengi wao usafi tabu wamesaidiwa bora wakatwe
 
Back
Top Bottom