Kama kuvamia Tanzania, adui haitaji kutumia nguvu ya Jeshi bali dini, rushwa na ujinga

Magu alionya kuhusu mabeberu na rasilimali zetu,Jana mama na cdf wamezungumziaHap usalama na hatari inayolikabili taifa,bado unauliza nani anataka kutuvamia!!
Hawana hata haja ua kutuvamia mikataba yetu tu ya kibiashara tunayoingia nayo inatosha
 
We ni mjinga namba moja, umeandika utumbo mtupu, unaposema wayahudi walikuwa na nyadhifa kubwa ndsni ya ujerumani, walizipataje? Wakati wao walikuwa minority? Logic kidogo tu, nafasi za kuchaguliwa! Wao ni minority, watashinda vipi?
Upuuzi, mwingine wa kuona kila msomali ni mwizi jambazi, kwa sababu wanakuja bila kitu, wanafika bongo wanajituma, wanasaidiana, miaka kadhaa, wanakuwa, wanamiriki hotel, vituo vya mafuta,kampuni za logistic, wa bongo wa Bantu wanapewa ajira, lakini wanakuwa na chuki! Ipo hivyo kwa, wahamiaji South afrika nk,
America ina raia wengi wenye asili ya kila taifa,wapo Iranian Americans, Palestine Americans, mbona hatujaona hiyo hujuma!?
Kim Philby, Robert Hansen, hawa walikuwa wazungu na waliuza Siri kwa urusi!
Wa Tanzania kuanzia ikulu, hawajuhi cha kufanya kujenga Nchi, hawajuhi wafanye kilimo kwanza, au, uchumi wa viwanda, wajenge reli ya Kati, au ya kwenda tunduma, wanajua kuteua tu, na wizi!
Mpaka sukari inafika kilo 5000,seriakli haijuhi inakurupuka tu, mi natamani, haya ma CCM yapigwe pipe, mpaka yashike adabu,tatizo LA Nchi hii ni utawala wa CCM, hizo zingine ni dalili tu, ondoa CCM, okoa bongo,
Skendo zote kubwa, meremeta, Richmond, escrow, zilipigwa na ma CCM, hakuna pesa ilienda Rwanda!
Nyoka ni CCM, ma panya road ni CCM,
 
Mada kama hii haiitaji mihemuko kwenye uchangiaji!! Tuliza munkari, ondoa ushabiki then changia kwa lugha yenye staha!!
Wote matusi tunayajua
 
Kwa

Hakuna kitu kama hicho ulichosema kuhusu Boris na usalama UK.

Wewe kama kiongozi unawaambia watu, msiende kuzika baba, mama, mke, mtoto, msiende kazini, mazoezini, michezoni, bar, club, kanisani wakati wewe na washikaji zako maisha yanaendelea kama kawaida. Unafanya party kila wiki, saa moja baada ya kuwaambia watu msikusanyike tupo pamoja kwenye ili janga. Hii ni dharau.

Boris ni muongeaji mzuri sana, ana charisma, unaweza kwenda naye bar/ club. Ila hayuko serious na uongozi.
 


Naona walifuta huu uzi wanaogopa yajayo
 
NILIPOKUA NAIMBA KUWA RAIA FEKI WAMESHIKA HATAMU WATU WALIKUWA AWANIELEWI ...HAYA YOTE CHANZO NI RAIA FEKI WALIOPO CCM NA SERIKALI....MPAKA MAJUZI MKUU WA MAJESHI KASEMA ILI JAMBO NDIYO WAPUMBAVU WANAJIDAI KUCHANGIA HOJA ...MIMI NILIONYA SANA ILA NIKAISHIA KUPIGWA BAN NA JF KINAFIKI
 
View attachment 2889328
Naona walifuta huu uzi wanaogopa yajayo
Tanzania is a lost cause. Raia wa kigeni walianza kuletwa tokea awamu ya kwanza na Raisi Nyerere.
 
Either way, You fools are doomed!
💥💥💥
 
Mkuu, kila kitu umekiweka wazi. Udini na ujinga ndilo janga kuu lililopo hivi sasa, huu n mzigo mzito kwa Afrika na Waafrika.
 
Ujinga wetu ndo mtaji wa ma ccm izo chuki za dini wanazipandikiza wao kwa malengo yao kuwagawa watu wasiwe kitu kimoja kuiangusha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…