Kama kuvamia Tanzania, adui haitaji kutumia nguvu ya Jeshi bali dini, rushwa na ujinga

Tanzania is a lost cause. Raia wa kigeni walianza kuletwa tokea awamu ya kwanza na Raisi Nyerere.
Raia wa kigeni kuja au kuletwa siyo tatizo ...tatizo ni ajenda ovu ya hao raia feki kushika dola na kuhujumu wazalendo na mali zetu kama mbuga misitu madini bandari nk
 
Hili ni jipya, kwahiyo unamaanisha haya yanayoendelea nchini ni mikono ya wageni ?
 
Jipya kwako ni mipango ya muda mrefu sana hata bwana regnad mengi alipigwa za uso akalalamika kwenye tv ....miaka mingi iliyo pita
 
Back
Top Bottom