Kama kweli Paroko katajwa kimakosa kifo cha Albino, Polisi Mtawaambia nini Watanzania?

naona wafuasi wa roma wanahaha mbaya kwani hata huyo paroko naye c binadamu anaweza fanya
 
Acha kutetea UJINGA PADRE naye ni binadamu sio malaika mpaka sasa hakuna kiongozi yeyote wa katoliki aliyekanusha kwamba jamaa hausiki
 
Awe paroko msaidizi au la! Kama katenda hilo kosa achukuliwe hatua stahiki. Pili tusisahau kwenye msafara kwa mamba na kenge wamo. Huenda alikuwa Kenge ktk msafara wa makuhani.
Vile vile asingekuwa kiongozi wa dhehebu hilo tasisi yake ingekuwa imememkana. Kama wako kimya basi maelezo ya polisi ni sahihi kabisa.
Naliomba kanisa langu na waamini wasifukie uovu kwa lengo la kulisafisha kanisa.
 
Tutawaambia nini waumini wetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…