James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 8,759
- 14,831
Ndugu unawatukuza sana maparoko. Wengi wahuni tuu. Sema wewe baada ya kutumikia Misa unaondoka kulala nyumbani. Maparoko wamalewa, wazinzi, wezi, wachawi na wabakaji wapi wengi tuu kama vile kundi jingine lolote ktk jamiiUnaropoka sababu haumjui Paroko ni nani laiti ungekua unajua ungekaa zako tu kimya,
Mkuu inamaana wewe unajua zaidi ya Askofu wa Jimbo husika aliyethibitisha hilo? Au unataka kutuambia kuwa Jeshi limekosea kumuita Paroko Msaidizi mtuhumiwa wa mauaji?Salaam Wakuu,
Mambo ya dini yanaamsha hisia sana.
Inadaiwa Paroko aliyetajwa si Paroko wala nini. Ni kweli Polisi nao ni Binadamu. Kwa hili tunaomba uwajibikaji.
Inadaiwa Paroko ni Deodatus Tibakwasa na msaidizi wake ni Fr. Mathias.
"Msemaji wa Jeshi la Polisi David Misime amewataja watuhumiwa waliokamatwa ambao walieleza jinsi walivyoshiriki katika tukio hilo ni pamoja Baba mzazi wa mtoto huyo aitwaye Novart Venant, Desideli Evarist ambaye ni mganga wa jadi mkazi wa Nyakahama, Elipidius Rwegoshora Paroko Maidizi wa Parokia ya Bugandika ambaye anadaiwa kumfuata na kumshawishi Baba mzazi wa mtoto ili wafanye biashara ya viungo vya binadamu.".
Huyu Rwegoshora inadaiwa ni teja ambaye alikuwa anaenda kwa Paroko kupata msaada.
Bado naamini Taarifa ya Polisi. Ila pia natamani Msaidizi wa Paroko ajitokeze hadharani kukanusha mwenyewe.
Kama hili group halijavunjika basi shule za kata ziongezwe maana wajinga wanamiliki smart phones. Hapo mapadri wanamtetea muuaji wa albino na walei wanasema Amina.
AseeeKanisa katoliki lina utaratibu wake huwa hawakurupuki kama alivyokurupuka msemaji wa polisi ndiyo maana linaheshimika duniani kote.Aliyekurupuka kumtaja paroko ajitokeze tena kulisafisha kanisa mbele ya vyombo vya habari
Tayari. Badili Imani yako.Kwa Imani yangu,paroko msaidizi hawezi kufanya ujinga huu.Tusubiri taarifa kamili
Kumekucha huko, nendeni mkamtetee mgalatia mwenzenu aliyerogwaBasi na wewe ni mhusika maana ulikuwepo na unawajua wahusika wote
Kwi kwi kwi! Teh teh tehWatatuomba radhi na sisi watu wa dini tumefundishwa kusamehe
Tutasamehe na maisha mengne yataenda.
Paroko alorajwa nae atakuwa amepata kufahamika
Mwisho
Kila jaribu linakusudi
Wewe mgalatia umesikia paroko kapigwa benchi? Acheni kuua watoto wazuri kisa pesa, nao wana haki ya kuishiUnatamani sana awe amehusika kweli.
Uongo vipi, nyie ni kenge au tomaso?Kama ni uwongo basi itabidi polisi waombe msamaha.
Yebaaaa! Paroko kaua daktari wetu wa baadae.Si muda utauficha uso wako mbaya kwa aibu!! Muache chuki za kidini!!!
Sema ukweli basi, au muda badoUkweli unaweza kusemwa na yeyote hata asiye mkatoliki.
Tayari kashajitokeza, sio paroko ni teja aliyevaa nguo za paroko kuwaingiza kingi polisiSalaam Wakuu,
Mambo ya dini yanaamsha hisia sana.
Inadaiwa Paroko aliyetajwa si Paroko wala nini. Ni kweli Polisi nao ni Binadamu. Kwa hili tunaomba uwajibikaji.
Inadaiwa Paroko ni Deodatus Tibakwasa na msaidizi wake ni Fr. Mathias.
"Msemaji wa Jeshi la Polisi David Misime amewataja watuhumiwa waliokamatwa ambao walieleza jinsi walivyoshiriki katika tukio hilo ni pamoja Baba mzazi wa mtoto huyo aitwaye Novart Venant, Desideli Evarist ambaye ni mganga wa jadi mkazi wa Nyakahama, Elipidius Rwegoshora Paroko Maidizi wa Parokia ya Bugandika ambaye anadaiwa kumfuata na kumshawishi Baba mzazi wa mtoto ili wafanye biashara ya viungo vya binadamu.".
Huyu Rwegoshora inadaiwa ni teja ambaye alikuwa anaenda kwa Paroko kupata msaada.
Bado naamini Taarifa ya Polisi. Ila pia natamani Msaidizi wa Paroko ajitokeze hadharani kukanusha mwenyewe.
We jamaa upo?Leta ushahidi wewe uliyekuja kupinga. Wanaodai hivyo ni wanajumuia. Uliza swali sasa.
Nimesikikia mkuu tutaacha, na nyie acheni kulipua watoto wazuri halafu mnasingizia mmetumwa na Wamarekani.Wewe mgalatia umesikia paroko kapigwa benchi? Acheni kuua watoto wazuri kisa pesa, nao wana haki ya kuishi
Sasa mkuu tutaachaNimesikikia mkuu tutaacha, na nyie acheni kulipua watoto wazuri halafu mnasingizia mmetumwa na Wamarekani.
Ukweli utajulikana tuwe watulivu.MUNGU NI MWEMA DAIMA.Kanisa linatafuta kujisafisha tu, Baba paroko kahusika
Iwaje Leo kasimamishwa kazi za Parokia na uongozi wa RC Kagera?Sio paroko ni mlevi mmoja wa ngedule