Kama kweli Paroko katajwa kimakosa kifo cha Albino, Polisi Mtawaambia nini Watanzania?

Unaropoka sababu haumjui Paroko ni nani laiti ungekua unajua ungekaa zako tu kimya,
Ndugu unawatukuza sana maparoko. Wengi wahuni tuu. Sema wewe baada ya kutumikia Misa unaondoka kulala nyumbani. Maparoko wamalewa, wazinzi, wezi, wachawi na wabakaji wapi wengi tuu kama vile kundi jingine lolote ktk jamii
 
Salaam Wakuu,

Mambo ya dini yanaamsha hisia sana.

Inadaiwa Paroko aliyetajwa si Paroko wala nini. Ni kweli Polisi nao ni Binadamu. Kwa hili tunaomba uwajibikaji.

Inadaiwa Paroko ni Deodatus Tibakwasa na msaidizi wake ni Fr. Mathias.

"Msemaji wa Jeshi la Polisi David Misime amewataja watuhumiwa waliokamatwa ambao walieleza jinsi walivyoshiriki katika tukio hilo ni pamoja Baba mzazi wa mtoto huyo aitwaye Novart Venant, Desideli Evarist ambaye ni mganga wa jadi mkazi wa Nyakahama, Elipidius Rwegoshora Paroko Maidizi wa Parokia ya Bugandika ambaye anadaiwa kumfuata na kumshawishi Baba mzazi wa mtoto ili wafanye biashara ya viungo vya binadamu.".

Huyu Rwegoshora inadaiwa ni teja ambaye alikuwa anaenda kwa Paroko kupata msaada.

Bado naamini Taarifa ya Polisi. Ila pia natamani Msaidizi wa Paroko ajitokeze hadharani kukanusha mwenyewe.
Mkuu inamaana wewe unajua zaidi ya Askofu wa Jimbo husika aliyethibitisha hilo? Au unataka kutuambia kuwa Jeshi limekosea kumuita Paroko Msaidizi mtuhumiwa wa mauaji?
 
Kanisa katoliki lina utaratibu wake huwa hawakurupuki kama alivyokurupuka msemaji wa polisi ndiyo maana linaheshimika duniani kote.Aliyekurupuka kumtaja paroko ajitokeze tena kulisafisha kanisa mbele ya vyombo vya habari
Aseee
 
Salaam Wakuu,

Mambo ya dini yanaamsha hisia sana.

Inadaiwa Paroko aliyetajwa si Paroko wala nini. Ni kweli Polisi nao ni Binadamu. Kwa hili tunaomba uwajibikaji.

Inadaiwa Paroko ni Deodatus Tibakwasa na msaidizi wake ni Fr. Mathias.

"Msemaji wa Jeshi la Polisi David Misime amewataja watuhumiwa waliokamatwa ambao walieleza jinsi walivyoshiriki katika tukio hilo ni pamoja Baba mzazi wa mtoto huyo aitwaye Novart Venant, Desideli Evarist ambaye ni mganga wa jadi mkazi wa Nyakahama, Elipidius Rwegoshora Paroko Maidizi wa Parokia ya Bugandika ambaye anadaiwa kumfuata na kumshawishi Baba mzazi wa mtoto ili wafanye biashara ya viungo vya binadamu.".

Huyu Rwegoshora inadaiwa ni teja ambaye alikuwa anaenda kwa Paroko kupata msaada.

Bado naamini Taarifa ya Polisi. Ila pia natamani Msaidizi wa Paroko ajitokeze hadharani kukanusha mwenyewe.
Tayari kashajitokeza, sio paroko ni teja aliyevaa nguo za paroko kuwaingiza kingi polisi
 
Wewe mgalatia umesikia paroko kapigwa benchi? Acheni kuua watoto wazuri kisa pesa, nao wana haki ya kuishi
Nimesikikia mkuu tutaacha, na nyie acheni kulipua watoto wazuri halafu mnasingizia mmetumwa na Wamarekani.
 
Back
Top Bottom