KingCobra95
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 3,249
- 5,863
Nnachotamani ni huyo mtoto asizikwe na jina la baba yake tu. Na hata padri yoyote wala kanisa lisihusike kwenye mazishi yake..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na huu ndio ukweliAngetajwa sheikh hapo mngeamini na kuongea maneno mengi lakini kwa kuwa katajwa paroko mnaangaika na sasa mnatafuta njia ya kumchomoa,eti ooh polisi wamekosea! Wakosee nini! Paroko ndiyo muuaji wa huyo mtoto albino hakuna cha kukosea wala nini.
SahihiAwe paroko asiwe paroko haijalishi, cha muhimu ni hatua stahiki kwa wahusika wa unyama ule. Wasio na hatia waachiwe na wenye hatia wakafie gerezani maana sio binadamu wenzetu hao.
Asante sana mkuu.Jina lake limo kwenye
List ya mapdre Kagera
Rt. Rev. Bishop N.Timanywa
Rt. Rev. Bishop Desderius Rwoma
Very Rev. Fr. Almachius Rweyongeza
Rev. Fr. Vedasto Rugaijamu
Rev. Fr. Stanslaus Mutajwaha
Rev. Fr. Benedict Bigirwamungu
Rev. Fr. Nestor Kajuna
Rev. Fr. Dominic Rugemalira
Rev. Fr. Thomas Tibainuguka
Rev. Fr. Sadoth Rweyemamu
Rev. Fr. George Rwebangira
Rev. Fr. Denis Mutembei
Rev. Fr. David Kamugisha
Rev. Fr. Simon Rugeiyamu
Rev. Fr. Hubert Rwebangira
Rev. Fr. Josephat Niwagira
Rev. Fr. Solomon Bandiho
Rev. Fr. Adeltus Kamugisha
Rev. Fr. Charles Rwehumbiza
Rev. Fr. Felician Buberwa
Rev. Fr. Adeodatus Rwehumbiza
Rev. Fr. Christopher Mwoleka
Rev. Fr. Achilleus Rwehumbiza
Rev. Fr. Athanase B. Mutasingwa
Rev. Fr. Johannes Rweyemamu
Rev. Fr. Fortunatus Rutaihwa
Rev. Fr. Reginald Kashakuro
Rev. Fr. Leodigard Mwesiga
Rev. Fr. Agabus Tibenderana
Rev. Fr. Almachius Tirweshobwa
Rev. Fr. Ansgarius Shumbusho
Rev. Fr. Deodatus Tibakwasakanwa
Rev. Fr. Deogratias Mulokozi
Rev. Fr. Egidius Rweyemamu
Rev. Fr. Elpidius Rwegoshora
Rev. Fr. Faustin Kamuhabwa
Rev. Fr. Florence Rweyemamu
Rev. Fr. Gideon Rwezahura
Rev. Fr. Paschal Buberwa
Rev. Fr. Paschal Mutegaya
Rev. Fr. Pius Mulokozi
Rev. Fr. Renovatus Twin’Omukama
Rev. Fr. Traseas Rutajama
Rev. Fr. Samwel Rwegoshora
Deac. Achilleus Kiwanuka
Deac. Thomas Rutashubanyuma
Sijawahi kukusoma kwa umakini kama niliousoma hapa.Sasa badala ya kuombeleza kifo cha mtoto na kutaka wote waliohusika wanyongwe ..tutaanza kutetea Imani zetu zisichafuke?..kwani hata akiwa Askofu...si ni yeye binafsi na uovu wake? Imani yake inaingiaje,?
Elpidius Rwegoshora ni padre wala si teja kama ulivyoandika hapo juu.Salaam Wakuu,
Mambo ya dini yanaamsha hisia sana.
Inadaiwa Paroko aliyetajwa si Paroko wala nini. Ni kweli Polisi nao ni Binadamu. Kwa hili tunaomba uwajibikaji.
Inadaiwa Paroko ni Deodatus Tibakwasa na msaidizi wake ni Fr. Mathias.
"Msemaji wa Jeshi la Polisi David Misime amewataja watuhumiwa waliokamatwa ambao walieleza jinsi walivyoshiriki katika tukio hilo ni pamoja Baba mzazi wa mtoto huyo aitwaye Novart Venant, Desideli Evarist ambaye ni mganga wa jadi mkazi wa Nyakahama, Elipidius Rwegoshora Paroko Maidizi wa Parokia ya Bugandika ambaye anadaiwa kumfuata na kumshawishi Baba mzazi wa mtoto ili wafanye biashara ya viungo vya binadamu.".
Huyu Rwegoshora inadaiwa ni teja ambaye alikuwa anaenda kwa Paroko kupata msaada.
Bado naamini Taarifa ya Polisi. Ila pia natamani Msaidizi wa Paroko ajitokeze hadharani kukanusha mwenyewe.
Mbona unajaribu kuzoa maji kweye mcchanga paroko anataka pesa!Salaam Wakuu,
Mambo ya dini yanaamsha hisia sana.
Inadaiwa Paroko aliyetajwa si Paroko wala nini. Ni kweli Polisi nao ni Binadamu. Kwa hili tunaomba uwajibikaji.
Inadaiwa Paroko ni Deodatus Tibakwasa na msaidizi wake ni Fr. Mathias.
"Msemaji wa Jeshi la Polisi David Misime amewataja watuhumiwa waliokamatwa ambao walieleza jinsi walivyoshiriki katika tukio hilo ni pamoja Baba mzazi wa mtoto huyo aitwaye Novart Venant, Desideli Evarist ambaye ni mganga wa jadi mkazi wa Nyakahama, Elipidius Rwegoshora Paroko Maidizi wa Parokia ya Bugandika ambaye anadaiwa kumfuata na kumshawishi Baba mzazi wa mtoto ili wafanye biashara ya viungo vya binadamu.".
Huyu Rwegoshora inadaiwa ni teja ambaye alikuwa anaenda kwa Paroko kupata msaada.
Bado naamini Taarifa ya Polisi. Ila pia natamani Msaidizi wa Paroko ajitokeze hadharani kukanusha
Kanisa linatafuta kujisafisha tu, Baba paroko kahusika
Hata kama watu watasema taarifa iliandikwa haraka haraka, sio rahisi teja au mlevi kama watu wanavyosema au "mtumishi/shamba boy" wa kanisani afananishwe na Padri tena cheo kikubwa kama "Paroko". Sio rahisi hata kidogo, binafsi pamoja na ukatoliki wangu bado baamini taarifa ya polisi iko sahihiSalaam Wakuu,
Mambo ya dini yanaamsha hisia sana.
Inadaiwa Paroko aliyetajwa si Paroko wala nini. Ni kweli Polisi nao ni Binadamu. Kwa hili tunaomba uwajibikaji.
Inadaiwa Paroko ni Deodatus Tibakwasa na msaidizi wake ni Fr. Mathias.
"Msemaji wa Jeshi la Polisi David Misime amewataja watuhumiwa waliokamatwa ambao walieleza jinsi walivyoshiriki katika tukio hilo ni pamoja Baba mzazi wa mtoto huyo aitwaye Novart Venant, Desideli Evarist ambaye ni mganga wa jadi mkazi wa Nyakahama, Elipidius Rwegoshora Paroko Maidizi wa Parokia ya Bugandika ambaye anadaiwa kumfuata na kumshawishi Baba mzazi wa mtoto ili wafanye biashara ya viungo vya binadamu.".
Huyu Rwegoshora inadaiwa ni teja ambaye alikuwa anaenda kwa Paroko kupata msaada.
Bado naamini Taarifa ya Polisi. Ila pia natamani Msaidizi wa Paroko ajitokeze hadharani kukanusha mwenyewe.
Duuu ngedure unaijuaSio paroko ni mlevi mmoja wa ngedule
Sasa badala ya kuombeleza kifo cha mtoto na kutaka wote waliohusika wanyongwe ..tutaanza kutetea Imani zetu zisichafuke?..kwani hata akiwa Askofu...si ni yeye binafsi na uovu wake? Imani yake inaingiaje,?
Punguzeni UtaaahiraSalaam Wakuu,
Mambo ya dini yanaamsha hisia sana.
Inadaiwa Paroko aliyetajwa si Paroko wala nini. Ni kweli Polisi nao ni Binadamu. Kwa hili tunaomba uwajibikaji.
Inadaiwa Paroko ni Deodatus Tibakwasa na msaidizi wake ni Fr. Mathias.
"Msemaji wa Jeshi la Polisi David Misime amewataja watuhumiwa waliokamatwa ambao walieleza jinsi walivyoshiriki katika tukio hilo ni pamoja Baba mzazi wa mtoto huyo aitwaye Novart Venant, Desideli Evarist ambaye ni mganga wa jadi mkazi wa Nyakahama, Elipidius Rwegoshora Paroko Maidizi wa Parokia ya Bugandika ambaye anadaiwa kumfuata na kumshawishi Baba mzazi wa mtoto ili wafanye biashara ya viungo vya binadamu.".
Huyu Rwegoshora inadaiwa ni teja ambaye alikuwa anaenda kwa Paroko kupata msaada.
Bado naamini Taarifa ya Polisi. Ila pia natamani Msaidizi wa Paroko ajitokeze hadharani kukanusha mwenyewe.
Nimekumbuka mbaliParoko kaingia kimakosa eti eeh ?
Huyo ni padre list ya màpadre Kagera hii hapa na jina lake limo hadi TEC lipo chungulia utalionaNimekumbuka mbali
Hata huyu msemaji wa jeshi kamanda Misime wakati nilikuwa nakunywanae ulabu tulikuwa tunamwita Baba Paroko
Hapa Nina wakati mgumu wa kuamini jambo hili🤣🤣😁🤣😁😁
Wakristo mnapenda kutetea wahalifu sana,kwani viongozi wa dini yenu ni watakatifu sana au?Salaam Wakuu,
Mambo ya dini yanaamsha hisia sana.
Inadaiwa Paroko aliyetajwa si Paroko wala nini. Ni kweli Polisi nao ni Binadamu. Kwa hili tunaomba uwajibikaji.
Inadaiwa Paroko ni Deodatus Tibakwasa na msaidizi wake ni Fr. Mathias.
"Msemaji wa Jeshi la Polisi David Misime amewataja watuhumiwa waliokamatwa ambao walieleza jinsi walivyoshiriki katika tukio hilo ni pamoja Baba mzazi wa mtoto huyo aitwaye Novart Venant, Desideli Evarist ambaye ni mganga wa jadi mkazi wa Nyakahama, Elipidius Rwegoshora Paroko Maidizi wa Parokia ya Bugandika ambaye anadaiwa kumfuata na kumshawishi Baba mzazi wa mtoto ili wafanye biashara ya viungo vya binadamu.".
Huyu Rwegoshora inadaiwa ni teja ambaye alikuwa anaenda kwa Paroko kupata msaada.
Bado naamini Taarifa ya Polisi. Ila pia natamani Msaidizi wa Paroko ajitokeze hadharani kukanusha mwenyewe.
Wakristo mnapenda kutetea uovu na ukatili ,mmbbbwaSio paroko ni mlevi mmoja wa ngedule