Kama kweli Paroko katajwa kimakosa kifo cha Albino, Polisi Mtawaambia nini Watanzania?

Kama kweli Paroko katajwa kimakosa kifo cha Albino, Polisi Mtawaambia nini Watanzania?

Sio paroko ni mlevi mmoja wa ngedule
Jina lake limo kwenye
List ya mapdre Kagera

Rt. Rev. Bishop N.Timanywa
Rt. Rev. Bishop Desderius Rwoma
Very Rev. Fr. Almachius Rweyongeza
Rev. Fr. Vedasto Rugaijamu
Rev. Fr. Stanslaus Mutajwaha
Rev. Fr. Benedict Bigirwamungu
Rev. Fr. Nestor Kajuna
Rev. Fr. Dominic Rugemalira
Rev. Fr. Thomas Tibainuguka
Rev. Fr. Sadoth Rweyemamu
Rev. Fr. George Rwebangira
Rev. Fr. Denis Mutembei
Rev. Fr. David Kamugisha
Rev. Fr. Simon Rugeiyamu
Rev. Fr. Hubert Rwebangira
Rev. Fr. Josephat Niwagira
Rev. Fr. Solomon Bandiho
Rev. Fr. Adeltus Kamugisha
Rev. Fr. Charles Rwehumbiza
Rev. Fr. Felician Buberwa
Rev. Fr. Adeodatus Rwehumbiza
Rev. Fr. Christopher Mwoleka
Rev. Fr. Achilleus Rwehumbiza
Rev. Fr. Athanase B. Mutasingwa
Rev. Fr. Johannes Rweyemamu
Rev. Fr. Fortunatus Rutaihwa
Rev. Fr. Reginald Kashakuro
Rev. Fr. Leodigard Mwesiga
Rev. Fr. Agabus Tibenderana
Rev. Fr. Almachius Tirweshobwa
Rev. Fr. Ansgarius Shumbusho
Rev. Fr. Deodatus Tibakwasakanwa
Rev. Fr. Deogratias Mulokozi
Rev. Fr. Egidius Rweyemamu
Rev. Fr. Elpidius Rwegoshora
Rev. Fr. Faustin Kamuhabwa
Rev. Fr. Florence Rweyemamu
Rev. Fr. Gideon Rwezahura
Rev. Fr. Paschal Buberwa
Rev. Fr. Paschal Mutegaya
Rev. Fr. Pius Mulokozi
Rev. Fr. Renovatus Twin’Omukama
Rev. Fr. Traseas Rutajama
Rev. Fr. Samwel Rwegoshora
Deac. Achilleus Kiwanuka
Deac. Thomas Rutashubanyuma
 
Watatuomba radhi na sisi watu wa dini tumefundishwa kusamehe
Tutasamehe na maisha mengne yataenda.
Paroko alorajwa nae atakuwa amepata kufahamika

Mwisho
Kila jaribu linakusudi
 
Si muda utauficha uso wako mbaya kwa aibu!! Muache chuki za kidini!!!
Jina lake limo kwenye
List ya mapdre Kagera

Rt. Rev. Bishop N.Timanywa
Rt. Rev. Bishop Desderius Rwoma
Very Rev. Fr. Almachius Rweyongeza
Rev. Fr. Vedasto Rugaijamu
Rev. Fr. Stanslaus Mutajwaha
Rev. Fr. Benedict Bigirwamungu
Rev. Fr. Nestor Kajuna
Rev. Fr. Dominic Rugemalira
Rev. Fr. Thomas Tibainuguka
Rev. Fr. Sadoth Rweyemamu
Rev. Fr. George Rwebangira
Rev. Fr. Denis Mutembei
Rev. Fr. David Kamugisha
Rev. Fr. Simon Rugeiyamu
Rev. Fr. Hubert Rwebangira
Rev. Fr. Josephat Niwagira
Rev. Fr. Solomon Bandiho
Rev. Fr. Adeltus Kamugisha
Rev. Fr. Charles Rwehumbiza
Rev. Fr. Felician Buberwa
Rev. Fr. Adeodatus Rwehumbiza
Rev. Fr. Christopher Mwoleka
Rev. Fr. Achilleus Rwehumbiza
Rev. Fr. Athanase B. Mutasingwa
Rev. Fr. Johannes Rweyemamu
Rev. Fr. Fortunatus Rutaihwa
Rev. Fr. Reginald Kashakuro
Rev. Fr. Leodigard Mwesiga
Rev. Fr. Agabus Tibenderana
Rev. Fr. Almachius Tirweshobwa
Rev. Fr. Ansgarius Shumbusho
Rev. Fr. Deodatus Tibakwasakanwa
Rev. Fr. Deogratias Mulokozi
Rev. Fr. Egidius Rweyemamu
Rev. Fr. Elpidius Rwegoshora
Rev. Fr. Faustin Kamuhabwa
Rev. Fr. Florence Rweyemamu
Rev. Fr. Gideon Rwezahura
Rev. Fr. Paschal Buberwa
Rev. Fr. Paschal Mutegaya
Rev. Fr. Pius Mulokozi
Rev. Fr. Renovatus Twin’Omukama
Rev. Fr. Traseas Rutajama
Rev. Fr. Samwel Rwegoshora
Deac. Achilleus Kiwanuka
Deac. Thomas Rutashubanyuma
 
Jina lake limo kwenye
List ya mapdre Kagera

Rt. Rev. Bishop N.Timanywa
Rt. Rev. Bishop Desderius Rwoma
Very Rev. Fr. Almachius Rweyongeza
Rev. Fr. Vedasto Rugaijamu
Rev. Fr. Stanslaus Mutajwaha
Rev. Fr. Benedict Bigirwamungu
Rev. Fr. Nestor Kajuna
Rev. Fr. Dominic Rugemalira
Rev. Fr. Thomas Tibainuguka
Rev. Fr. Sadoth Rweyemamu
Rev. Fr. George Rwebangira
Rev. Fr. Denis Mutembei
Rev. Fr. David Kamugisha
Rev. Fr. Simon Rugeiyamu
Rev. Fr. Hubert Rwebangira
Rev. Fr. Josephat Niwagira
Rev. Fr. Solomon Bandiho
Rev. Fr. Adeltus Kamugisha
Rev. Fr. Charles Rwehumbiza
Rev. Fr. Felician Buberwa
Rev. Fr. Adeodatus Rwehumbiza
Rev. Fr. Christopher Mwoleka
Rev. Fr. Achilleus Rwehumbiza
Rev. Fr. Athanase B. Mutasingwa
Rev. Fr. Johannes Rweyemamu
Rev. Fr. Fortunatus Rutaihwa
Rev. Fr. Reginald Kashakuro
Rev. Fr. Leodigard Mwesiga
Rev. Fr. Agabus Tibenderana
Rev. Fr. Almachius Tirweshobwa
Rev. Fr. Ansgarius Shumbusho
Rev. Fr. Deodatus Tibakwasakanwa
Rev. Fr. Deogratias Mulokozi
Rev. Fr. Egidius Rweyemamu
Rev. Fr. Elpidius Rwegoshora
Rev. Fr. Faustin Kamuhabwa
Rev. Fr. Florence Rweyemamu
Rev. Fr. Gideon Rwezahura
Rev. Fr. Paschal Buberwa
Rev. Fr. Paschal Mutegaya
Rev. Fr. Pius Mulokozi
Rev. Fr. Renovatus Twin’Omukama
Rev. Fr. Traseas Rutajama
Rev. Fr. Samwel Rwegoshora
Deac. Achilleus Kiwanuka
Deac. Thomas Rutashubanyuma
Soon itafahamika haina haja ya kutumia nguvu nying sana.
KAMA KAFANYA
Na ahukumiwe sawasawa na makosa yake
Kama hajafanya basi awe salama

Kila jaribu linakusudi
 
Salaam Wakuu,

Mambo ya dini yanaamsha hisia sana.

Inadaiwa Paroko aliyetajwa si Paroko wala nini. Ni kweli Polisi nao ni Binadamu. Kwa hili tunaomba uwajibikaji.

Inadaiwa Paroko ni Deodatus Tibakwasa na msaidizi wake ni Fr. Mathias.

"Msemaji wa Jeshi la Polisi David Misime amewataja watuhumiwa waliokamatwa ambao walieleza jinsi walivyoshiriki katika tukio hilo ni pamoja Baba mzazi wa mtoto huyo aitwaye Novart Venant, Desideli Evarist ambaye ni mganga wa jadi mkazi wa Nyakahama, Elipidius Rwegoshora Paroko Maidizi wa Parokia ya Bugandika ambaye anadaiwa kumfuata na kumshawishi Baba mzazi wa mtoto ili wafanye biashara ya viungo vya binadamu.".

Huyu Rwegoshora inadaiwa ni teja ambaye alikuwa anaenda kwa Paroko kupata msaada.

Bado naamini Taarifa ya Polisi. Ila pia natamani Msaidizi wa Paroko ajitokeze hadharani kukanusha mwenyewe.
Umejaza neno inadaiwa kwenye kila paragraph yako bila kusema kua inadaiwa na nani? Sisi tunaamini ripoti ya Polisi,hayo mambo ya inadaiwa sio tamko rasmi ya taasisi yeyote ile.
 
Wakristo huwa tunadhani viongozi wetu wa dini ni so special kuwa hawatendi dhambi kumbe twajidanganya. Kuwa Kiongozi wa dini haimaanishi mtu ni msafi ama wa kuamini 100%.
Ikiwa Yuda mwenyewe alikuwa mwanafunzi wa Yesu ila bado akajakumsaliti why tunakuwa na Imani kuwa binadamu mwenzetu hawezi kukengeuka!?.
 
Mahubiri yote ya "mitume" manabii na makuhani" wa siku kina Mwamposya,Mussa,Kiboko ya Wachawi na siku hizi hata baadhi ya viongozi wa KKKT 65% ni kuhusu uchawi na Wachawi hivyo haishagazi kuona inaanza RC.
 
Salaam Wakuu,

Mambo ya dini yanaamsha hisia sana.

Inadaiwa Paroko aliyetajwa si Paroko wala nini. Ni kweli Polisi nao ni Binadamu. Kwa hili tunaomba uwajibikaji.

Inadaiwa Paroko ni Deodatus Tibakwasa na msaidizi wake ni Fr. Mathias.

"Msemaji wa Jeshi la Polisi David Misime amewataja watuhumiwa waliokamatwa ambao walieleza jinsi walivyoshiriki katika tukio hilo ni pamoja Baba mzazi wa mtoto huyo aitwaye Novart Venant, Desideli Evarist ambaye ni mganga wa jadi mkazi wa Nyakahama, Elipidius Rwegoshora Paroko Maidizi wa Parokia ya Bugandika ambaye anadaiwa kumfuata na kumshawishi Baba mzazi wa mtoto ili wafanye biashara ya viungo vya binadamu.".

Huyu Rwegoshora inadaiwa ni teja ambaye alikuwa anaenda kwa Paroko kupata msaada.

Bado naamini Taarifa ya Polisi. Ila pia natamani Msaidizi wa Paroko ajitokeze hadharani kukanusha mwenyewe.
Hapa wagalatia hamchomoki, mna vinasaba sana na ukatili wa watoto, mlianza kulawiti sasa mmeona na fursa kabisa ya viungo
 
Awe ni Paroko wetu msaidizi, asiwe yeye. Muhimu haki ya mtoto Asemwa ipatikane. Waliomfanyia unyama, ukatili Malaika yule.
Tusianze sasa mambo ya udini, huwa hatufiki kokote.
Wala tusitetee dini na imani, viongozi wa dini nao kuna wahuni kama wahuni wengine tu, haki itendeke tena kama padre kahusika iwekwe wazi haraka na achukuliwe sheria, alikua anahubiri nini huku ni muovu?
 
Salaam Wakuu,

Mambo ya dini yanaamsha hisia sana.

Inadaiwa Paroko aliyetajwa si Paroko wala nini. Ni kweli Polisi nao ni Binadamu. Kwa hili tunaomba uwajibikaji.

Inadaiwa Paroko ni Deodatus Tibakwasa na msaidizi wake ni Fr. Mathias.

"Msemaji wa Jeshi la Polisi David Misime amewataja watuhumiwa waliokamatwa ambao walieleza jinsi walivyoshiriki katika tukio hilo ni pamoja Baba mzazi wa mtoto huyo aitwaye Novart Venant, Desideli Evarist ambaye ni mganga wa jadi mkazi wa Nyakahama, Elipidius Rwegoshora Paroko Maidizi wa Parokia ya Bugandika ambaye anadaiwa kumfuata na kumshawishi Baba mzazi wa mtoto ili wafanye biashara ya viungo vya binadamu.".

Huyu Rwegoshora inadaiwa ni teja ambaye alikuwa anaenda kwa Paroko kupata msaada.

Bado naamini Taarifa ya Polisi. Ila pia natamani Msaidizi wa Paroko ajitokeze hadharani kukanusha mwenyewe.
⚖️Justice for Asimwe#
 
Sasa badala ya kuombeleza kifo cha mtoto na kutaka wote waliohusika wanyongwe ..tutaanza kutetea Imani zetu zisichafuke?..kwani hata akiwa Askofu...si ni yeye binafsi na uovu wake? Imani yake inaingiaje,?
⚖️Justice for Asimwe#
 
Wala tusitetee dini na imani, viongozi wa dini nao kuna wahuni kama wahuni wengine tu, haki itendeke tena kama padre kahusika iwekwe wazi haraka na achukuliwe sheria, alikua anahubiri nini huku ni muovu?
⚖️Justice for Asimwe#
 
Wanajumuiya kina nani?

Ina maana jeshi la polisi limekurupuka kusema kwamba huyo alikuaana wananchi wa hilo eneo walikuwa hawajui mpaka wawambie polisi huyo mtuhumiwa ni paroko?
Wanajumuiya ni wananchi wanaohudumiwa na Parokia kama waumini, kwa hiyo ndio majirani wa Paroko
 
Back
Top Bottom