Kama kweli Paroko katajwa kimakosa kifo cha Albino, Polisi Mtawaambia nini Watanzania?

Kama kweli Paroko katajwa kimakosa kifo cha Albino, Polisi Mtawaambia nini Watanzania?

Watuhumiwa wote wanapokamatwa na polisi huwa wanatambulishwa kwa kazi zao na ikiwezekana hata vyeo vyao katika taasisi zao, viongozi wa kanisa katoliki sio kundi lenye hadhi maalum kwamba wasitambulishwe kwa utaratibu huo.
Wewe kula magimbi yako na maharage yako ya Jana hapo ujambe jambe ulale tena huna unachokijua
 
Jina lake limo kwenye
List ya mapdre Kagera


Rt. Rev. Bishop N.Timanywa
Rt. Rev. Bishop Desderius Rwoma
Very Rev. Fr. Almachius Rweyongeza
Rev. Fr. Vedasto Rugaijamu
Rev. Fr. Stanslaus Mutajwaha
Rev. Fr. Benedict Bigirwamungu
Rev. Fr. Nestor Kajuna
Rev. Fr. Dominic Rugemalira
Rev. Fr. Thomas Tibainuguka
Rev. Fr. Sadoth Rweyemamu
Rev. Fr. George Rwebangira
Rev. Fr. Denis Mutembei
Rev. Fr. David Kamugisha
Rev. Fr. Simon Rugeiyamu
Rev. Fr. Hubert Rwebangira
Rev. Fr. Josephat Niwagira
Rev. Fr. Solomon Bandiho
Rev. Fr. Adeltus Kamugisha
Rev. Fr. Charles Rwehumbiza
Rev. Fr. Felician Buberwa
Rev. Fr. Adeodatus Rwehumbiza
Rev. Fr. Christopher Mwoleka
Rev. Fr. Achilleus Rwehumbiza
Rev. Fr. Athanase B. Mutasingwa
Rev. Fr. Johannes Rweyemamu
Rev. Fr. Fortunatus Rutaihwa
Rev. Fr. Reginald Kashakuro
Rev. Fr. Leodigard Mwesiga
Rev. Fr. Agabus Tibenderana
Rev. Fr. Almachius Tirweshobwa
Rev. Fr. Ansgarius Shumbusho
Rev. Fr. Deodatus Tibakwasakanwa
Rev. Fr. Deogratias Mulokozi
Rev. Fr. Egidius Rweyemamu
Rev. Fr. Elpidius Rwegoshora
Rev. Fr. Faustin Kamuhabwa
Rev. Fr. Florence Rweyemamu
Rev. Fr. Gideon Rwezahura
Rev. Fr. Paschal Buberwa
Rev. Fr. Paschal Mutegaya
Rev. Fr. Pius Mulokozi
Rev. Fr. Renovatus Twin’Omukama
Rev. Fr. Traseas Rutajama
Rev. Fr. Samwel Rwegoshora
Deac. Achilleus Kiwanuka
Deac. Thomas Rutashubanyuma
List hii ina walakini Very Rev. Fr. Almachius Rweyongeza ni Askofu huyu wa Kayanga
 
Sasa mbona wakatoliki wengine wanamkataa wanasema alikuwa teja mlevi tu?!
Si kweli, huyo ni Padre wa Parokia ya Rutabo siyo hiyo Polisi wanayoisema. Sijui kuhusu issues za identities, ila nijuavyo mwenye jina hilo ni Padre wa Parokia ya Rutabo na hata ukimpigia namba yake inapatikana.
Sijajua kuhusu upande huu wa taarifa ya Polisi kama ina ukweli au ina makosa
 
Kama kweli jeshi la polisi wamekosea watawaambia Watanzania wamekosea,
Kwani ni mara ya kwanza jeshi la polisi kukosea??
 
Salaam Wakuu,

Mambo ya dini yanaamsha hisia sana.

Inadaiwa Paroko aliyetajwa si Paroko wala nini. Ni kweli Polisi nao ni Binadamu. Kwa hili tunaomba uwajibikaji.

Inadaiwa Paroko ni Deodatus Tibakwasa na msaidizi wake ni Fr. Mathias.

"Msemaji wa Jeshi la Polisi David Misime amewataja watuhumiwa waliokamatwa ambao walieleza jinsi walivyoshiriki katika tukio hilo ni pamoja Baba mzazi wa mtoto huyo aitwaye Novart Venant, Desideli Evarist ambaye ni mganga wa jadi mkazi wa Nyakahama, Elipidius Rwegoshora Paroko Maidizi wa Parokia ya Bugandika ambaye anadaiwa kumfuata na kumshawishi Baba mzazi wa mtoto ili wafanye biashara ya viungo vya binadamu.".

Huyu Rwegoshora inadaiwa ni teja ambaye alikuwa anaenda kwa Paroko kupata msaada.

Bado naamini Taarifa ya Polisi. Ila pia natamani Msaidizi wa Paroko ajitokeze hadharani kukanusha mwenyewe.
Mtuhumiwa ndio alijitambulisha kwamba yeye ni Paroko
 
List hii ina walakini Very Rev. Fr. Almachius Rweyongeza ni Askofu huyu wa Kayanga
Askofu aweza teuliuliwa Toka jimbo lolote kwenda kuhudumu Jimbo lolote Ndani ya Tanzania au nje ya Tanzania

Hilo ndilo Jimbo lake la upadri Kabla kuteuliwa uaskofu huko

Ni sawa na kardinali Rugambwa ambayo ni Askofu Tabora kule sio Jimbo lake alikopatia upadri lakini kaenda kutumika Jimbo kuu la Tabora kama Askofu
 
Geshi la Polish halijakosea. Kanisa langu linajaribu kucover up ila tunajua ni Kanisa ovu enzi na enzi.
Roho mtakatifu akuongoze katika kuhukumu,hivi mchungaji akibaka kanisa ndio limebaka, padri siyo kanisa




Binafsi naamini inawezekana paroko huyo kafanya,ndio,na wanaomtetea ni washirika wenzake katika ubinadamu,

Kanisa lilifanya vibaya miaka mingi,. Na lilifanya vizuri miaka mingi ,ukilikalili upande wa ubaya tu jua wewe pia unahitaji msaada wa kiroho, chuki na hasira dhidi ya mwingine ni matokeo ya nguvu ya yule muovu ndani Yako, roho mtakatifu hutuongoza kwa Upendo ,upole na tafakari kwa Kila jambo,
 
Polisi wakukurupuka atoke tena hadharani aseme ariropoka bila kufanya upembuzi yakinifu
Subiri kesi ilipuke ndio mtajua mbivu na mbichi

Askofu ajitojeze akanushe kama huyo Mtu sio Padri

Mumeanza kutapatapa mara ohh alikuwepo hapo parokia akihudumiwa kama Teja

Mbivu na mbichi zitajulikana
 
Watuhumiwa wote wanapokamatwa na polisi huwa wanatambulishwa kwa kazi zao na ikiwezekana hata vyeo vyao katika taasisi zao, viongozi wa kanisa katoliki sio kundi lenye hadhi maalum kwamba wasitambulishwe kwa utaratibu huo.
Upo sahihi, Kanisa siyo kundi lenye hadhi maalum, ila nadhani Polisi wanaswa kuhakiki na kujiridhisha na taarifa wanazozikusanya. Sababu kama utendaji wao ni wa hivyo kukusanya kila kitu pasipo verifications basi ndiyo maana waharifu wengi hushinda kesi kirahisi sana.
Kuna shida gani kama wangeenda kumhoja mwajiri au mkubwa wake wa kazi ili kujiridhisha kama ni kweli ni muajiriwa wao kwa nafasi hiyo? Huenda wangepata taarifa nyingi zaidi na za maana.
Mpaka sasa siwezi kusema kama Polisi wamekosea, au lah!!
Ila sioni sababu ya kutengeneza loopholes za aina hii kwenye jambo kubwa na serious kama hili.
Ikiwa kutakuwa na makosa, je image za hao waliohusishwa itakuwaje?
 
Askofu aweza teuliuliwa Toka jimbo lolote kwenda kuhudumu Jimbo lolote Ndani ya Tanzania au nje ya Tanzania

Hilo ndilo Jimbo lake la upadri Kabla kuteuliwa uaskofu huko

Ni sawa na kardinali Rugambwa ambayo ni Askofu Tabora kule sio Jimbo lake alikopatia upadri lakini kaenda kutumika Jimbo kuu la Tabora kama Askofu
Najua sana ila list hii ni ya zamani maana Rweyongeza ni Askofu wa Kayanga miaka Karibu 10 sasa. Ulitakiwa Mwandishi aelezee ni ya lini. Ukiiangalia hiyo list utakubaliana nami kuwa imebumbwa maana kuna wengine wakati huo hawakuwa Kagera etc. Ngoja tuone hili sakata litaisha vipi
 
Hakika huwez zuia mafuriko kwa mikono,hakika mwiba umewakaa kooni
Hii ni mihemko yenu tu . Lakini hao ni watuhumiwa tu , watakuwa na hatia au pengine wasiwe na hatia mpaka pale mahakama itakapothibitisha .

Ila kwa tuliosomea Cuba tunanusa kuwa taarifa ya polisi ina walakini na inatia mashaka .
 
Subiri kesi ilipuke ndio mtajua mbivu na mbichi

Askofu ajitojeze akanushe kama huyo Mtu sio Padri

Mumeanza kutapatapa mara ohh alikuwepo hapo parokia akihudumiwa kama Teja

Mbivu na mbichi zitajulikana
IMG-20240619-WA0019.jpg
 
Back
Top Bottom