Kama kweli Paroko katajwa kimakosa kifo cha Albino, Polisi Mtawaambia nini Watanzania?

Kitu kinawashinda Watanzania kutumia ni akili...

Kwani Paroko si ni mwanadamu kama wewe anayejiwa na mawazo ya kutenda wema na dhambi pia...
IMG-20240619-WA0019.jpg
 
Unaropoka sababu haumjui Paroko ni nani laiti ungekua unajua ungekaa zako tu kimya,
 
Na huu ndio ukweli
Na hii huwa tunasema kila siku huku. Uovu usichanganywe na taasisi. Leo padri, kesho shehe kesho kutea mchungaji. Shida hapa angekuwa shehe au mchungaji ungeona tabu yake.....moja la mitume sijui limefanyaje. Hapa na Padri mbwembwe nyingi. Kipindi Cha Uovu wa Gwajima kila mchungaji alitukanwa. Ikifika kwa padri wa Kilimanjaro yule mbakaji kunakuwa na excuses. Tutumie akili uovu hauna dini
 
Ukimaliza kuropoka malizia magimbi yako na uji wa ulezi ulale tena,
 
Hapo kipi kimeropokwa. Tunahitaji kujadili mada na kufanya personal attack kwa mtoa hoja. Hii inathibitisha kilichoandikwa hujakijadili vizuri kichwani. Soma tena nilichoandika.
 
Babati na Kagera wapi na wapi? Anyway mtandao ya biashara haramu ya viungo vya binadamu ni mkubwa

Usije kuta na Babati huko kumo kwenye mtandao huo

Pilipili shamba Kagera halafu inawasha Babati

Investigative journalists WA ndani na nje ingieni kazini
Punguza kuropoka wewe alafu unajiita mwanahabari unatofauti gani na DC wa Ubungo, tulia usikurupukie mambo
 
Ukimaliza kuropoka malizia magimbi yako na uji wa ulezi ulale tena,
Hapo kipi kimeropokwa. Tunahitaji kujadili mada na si kufanya personal attack kwa mtoa hoja. Hii inathibitisha kilichoandikwa hujakijadili vizuri kichwani. Soma tena nilichoandika.
 
Back
Top Bottom