Magufuli ni kama maji,Usipite na gari lako Kijazi interchange.
Kwa wanao toka Mbezi kuelekea kariakoo na Posta pitia njia ya Goba au maji chumvi.
Fanya hivyo boss utakua na amani.
Tuache kudharau viongozi wetu tusitukane tuwaheshimu wote.
Kama unaona unakereka na uongozi wa kiongozi yeyote jenga hoja njoo na data kuliko kutukana viongozi njoo na data.
Humpendi lakini bado unajilazimisha kupita kwenye daraja alilosimamia. Huoni kama unajiumiza.
Kama JPM alikuta kuna miundombinu ya kulijenga hilo daraja, kuna system ya yeye kukaa na kutoa maelekezo ya kujengwa daraja na sauti ikamfikia anayetakiwa kujenga, kuna taasisi na watendaji wenye uzoefu wa kulijenga daraja, kuna walinzi wa kumlinda akisimamia ujenzi wa daraja, kuna mifumo ya kukusanyia mapato ya kulijenga hilo daraja swali lako lingekuwa la maana.Waliokua wameshindwa kujenga..Pesa hazikuwepo?. Kama zilikuwepo, kiliwashinda nn??
Kama hazikuwepo, Magufuli alitoa wapi??.
Tanzania hamna private sector ila tuna wachuuzi na wahujumu Uchumi kama Itel muuza makasha ya simu na betri kupewa tenda ya kuagiza Sukari!!Jiwe ndiyo mtu wa hovyo kuliko wote waliowahi kupewa madaraka ya urais nchi hii:-
1. Alikuwa mporaji, mtekaji, muuaji na mpiga watu risasi.
2. Aliunda kundi la watu wasiojulikana lililokuwa linaua na kuteka watu.
3. Alikuwa muuaji wa uchumi wa nchi kwani alikuwa anapigana kufa kupona ili kuua sekta binafsi
4. Hivyo vidaraja unavyoviita flyover ni ushubwada tu ukilinganisha na mauaji ya watu
5. Alikuwa hapendi demokrasia. Alizima internet siku ya uchaguzi, aliwachukia wapinzani na upinzani na akawafukuza nchini wapinzani. Mshenzi sana yule.
Usinichoshe yanatosha kwa sasa
Unajiita "Zitto junior" so ni obvious utakuwa na mawazo,akili na chuki kali sana kwa magufuli kama alivyo kabwe tu.Tukiwa wakweli hii ni kazi ya upinzani hasa bunge la 9 chini ya Samuel sitta ndio wapinzani na wabunge wazalendo waliwafungua sana wananchi kuhusu madudu serikalini. Nadhani unakumbuka masakata ya Dowans, Kagoda, Deep green, Gesi mtwara, Richmond, Tegeta Escrow n.k. so tuseme by the time JPM anachukua urais tayari elimu ya uraia ilikua juu sana.
JPM alichofanya ni kufundisha watu conspiracy theory, yaani wawe wadadisi.... so I'll give that to him.
Kama ni teja nenda sober house, kama umelewa nenda kalale.Weka evidence ya unachokisema kama hun evidence were ni sawasawa na mtu mropokaji tu.Magufuli hakupenda wanasiasa uchwara mfano waangalie wapinzani hawana faida yoyote ya kuitoa CCM madarakani.
Hivi kichwa chako kina akili au kamasi? Yaani kodi yako na yangu ndiyo zimelipa gharama za ujenzi, leo unataka kumshukuru mtu aliyesimamia ujenzi?Magufuli ndiyo kasimamia yote hayo tangu akiwa waziri
Alibadilishe taifa hili ili liweje? Magufuli alikuwa atuharibia nchi tu ndiyo maana hata Mungu mwenyewe akamtupa jehanam.Kuhusu kufundisha watu conspiracy theories hizo ni fikra zako binafsi ambazo ziwezi nikazinunua hilo nawaachia nyie wafusai wa zitto, mimi ninachojua ni kwamba alionesha nia ya dhati ya kulibadilisha taifa hili ikiwa pamoja na kulifanya kuwa hardworking nation na hiyo spirit tayari ilikuwa imeshaanza kukumea.
Huyu dogo nilikuwa namuona ana akili na mada zake za gesi ila nimekuja kugundua kumbe ni mpuuzi tu opportunist fulani!Kwani Magufuli alijenga kwa pesa zake?
Umeandika kama mtu ambaye bado ana frustration za kutumbuliwa na bado hajakaa sawa kiakili.Alibadilishe taifa hili ili liweje? Magufuli alikuwa atuharibia nchi tu ndiyo maana hata Mungu mwenyewe akamtupa jehanam.
Elewa hivyo miaka 5 tulikuwa vile dhoofu hali, je angekuwapo mpaka sasa hivi si tungekuwa kama Somalia au Zimbabwe.
Kwani wanaoshindwa kujenga vitu kama hivyo hawakusanyi kodi toka kwenye vipato vyenu?Kwani Magufuli alijenga kwa pesa zake?
Tusipangiane chuki. Kila mmoja ashinde mechi zake !! Shida iko wapi? Magufuli alikuwa ni shetani tu ndani ya mwili wa binadamu.Umeandika kama mtu ambaye bado ana frustration za kutumbuliwa na bado hajakaa sawa kiakili.
Sasa kama mtu mwenyewe akili zako zimefunikwa na chuki kali sana kiasi kwamba chuki hizo zimeunyima nafasi hata kidogo ubongo wako kufikiri kwa usahihi utawezaje kuoana kama kuna mabadiliko chanya yaliyokuwa yanaletwa na uongozi wake??
Hili kudhiirisha wewe hauko sawa kiakili sababu ya chuki kwa mtu ambaye hata hayupo, angalia umeamaua kuni-quote kakipande tu ambako ndio kamekutekenya na kubwata maneno yote haya.
Ndio tunajua Mungu wa mafisadi ndio alimtupa huko alipo.
Kingine kama wewe unamchukia endelea kumchukia hivyo hivyo acha waliommissi na wanaotambua mchango wake wanendelee kumuhusudu...
Alikuwa anafuatilia miradi ili kuhakikisha anapata 10% yake. Miradi yote mikubwa ya Kanda ya ziwa aliwapa Mayanga Construction ambaye ni mtu wameoa nyumba mojaHuyo mzee alikuwa jembe kweli kweli, mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Alikuwa anafatilia miradi kwa umakini, na upigaji ulipungua kwa kiasi chake.
Si bora JPm alijenga daraja ili kwa kutumia usimamizi mzuri wa Kodi zote...huyu wako mnaemshabikia kajimilikisha pesa zote anagawa na sasa kuna pesa inatoka inaitwa Goli la Mama...Kwani Magufuli alijenga kwa pesa zake?
kwa hiyo Samia kuwapa DPW miradi ya bandari,mwendokasi na Misitu ekali laki tisa na ushee wameolewa wote Huko dubai..??? Vipi Mauzinde mbona unazingua.Alikuwa anafuatilia miradi ili kuhakikisha anapata 10% yake. Miradi yote mikubwa ya Kanda ya ziwa aliwapa Mayanga Construction ambaye ni mtu wameoa nyumba moja
Miumi nilipata taarifa kikielekea nyumbani nilipigiwa simu na jamaa zangu ikabidi turudi baa tukakesha mpaka asubuhi. Ndugu zangu wengi walikufa kwa mawazo baada kufilisiwa. Nina bosi wangu mmoja alianza biashara miaka ya 80 akafungiwa akaunti zake zote ghafla akafa kwa presha. Acheni Mungu aitwe Mungu aisee, mtu alianza na duka na kufuata mali kwa baiskeli kuuleta dukani leo akafungiwa akaunti ?Magufuli nilimpenda sana, ilivyotangazwa amefariki nilishindwa kula na kulala
Wa kujiita 'wanyonge' mlichotwa na mkajaa kwelikweli, mkajivunia kuwa masikini!"Na Mimi nataka niseme Watanzania mtanikumbuka na mtanikumbuka kwa mazuri na si kwa mabaya kwasababu nimesacrifice maisha yangu kwa wananchi masikini"