kama ni ivyo ata amri 10 za Mungu hazituhusu sasaWe umezaliwa lini!? Wewe huusiki. Hukuepo kipindi cha Yesu
Yote ni kutaka kuujua ukweliHizi story na thread za kuhusu mambo ya Mungu kadri ya ninavyozisoma na kuzitafakari zinanifanya napoteza imani yangu kwa Mungu wangu. Nataka niache kuzisoma ili niendelee kumtukuza kama nilivyofundishwa tangu utotoni.
National kabisa nikiwa nasali nakosa utulivu na kumaanisha sababu ya hizi mada 🤔🤔🤔
Chagua unaloona ni sahihi..kama ni ivyo ata amri 10 za Mungu hazituhusu sasa
Subiri ujio wa Pili atakavyokuja fufua wazima na wafu.Nieleweshe nielewe mkuu
😂😂Ni lini mkuu