Duke Tachez
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 5,461
- 4,138
Haya wanakuja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani alichokiuliza mtoa mada haukufundishwq utotoni? Ukiwa sunday school? Alichofanya yeye ni ku brainstorming tu ili apate jibu ila hajatoka nje ya mada kabisa.Hizi story na thread za kuhusu mambo ya Mungu kadri ya ninavyozisoma na kuzitafakari zinanifanya napoteza imani yangu kwa Mungu wangu. Nataka niache kuzisoma ili niendelee kumtukuza kama nilivyofundishwa tangu utotoni.
National kabisa nikiwa nasali nakosa utulivu na kumaanisha sababu ya hizi mada 🤔🤔🤔
Hakuna kitu hapo hizo kanuni ni uzushi tu wa mwanadamu" tukiziungama dhambi zetu yeye ni muaminifu na wa haki atatusamehe dhambi zetu na kutusafisha na udhalimu wote". Yesu alikufa na akafufuka na sasa yu hai. kusamehewa kunahitaji moyo wako ukubali kusamehewa ndo maana ya toba na kuungana na Yesu hakulazimishi kumsamehe mtu it's your own will. ndo maana anataka uamue ww mwenye kwa toba
leta hoja mzee sio maneno yalio kosa factHakuna kitu hapo hizo kanuni ni uzushi tu wa mwanadamu
😂Shida sio wewe its your subconscious, uko programmed.Hizi story na thread za kuhusu mambo ya Mungu kadri ya ninavyozisoma na kuzitafakari zinanifanya napoteza imani yangu kwa Mungu wangu. Nataka niache kuzisoma ili niendelee kumtukuza kama nilivyofundishwa tangu utotoni.
National kabisa nikiwa nasali nakosa utulivu na kumaanisha sababu ya hizi mada 🤔🤔🤔
umejibu vyema sanaUmaana na umuhimu wa kuungama na kutubu dhambi zetu umetokana na ukweli huo haswa kwamba Kristu alikufa msalabani.
Bila tukio la Kalvari, hata mwanadamu angelia machozi w
akijigaragaza kwenye majivu kwa sababu ya maovu yake, bado angeonekana mwenye hatia ileile mbele ya Mungu.
Hii ndiyo kusema kwamba Yesu alikufa ili kutununulia muda na uwezekano mwingine wa kutubu na kuwa watoto wa Mungu.
Na haya yote hayafanyiki kwa juhudi zetu tu, bali nguvu za Mungu hushirikiana na nafsi yenye utashi ili kumwongoza hatua kwa hatua kutoka kwenye umateka na mitego ya Ibilisi hadi kwenye jukwaa la uhuru na uzima wa milele.
pole sanaHizi story na thread za kuhusu mambo ya Mungu kadri ya ninavyozisoma na kuzitafakari zinanifanya napoteza imani yangu kwa Mungu wangu. Nataka niache kuzisoma ili niendelee kumtukuza kama nilivyofundishwa tangu utotoni.
National kabisa nikiwa nasali nakosa utulivu na kumaanisha sababu ya hizi mada 🤔🤔🤔
Hizi story na thread za kuhusu mambo ya Mungu kadri ya ninavyozisoma na kuzitafakari zinanifanya napoteza imani yangu kwa Mungu wangu. Nataka niache kuzisoma ili niendelee kumtukuza kama nilivyofundishwa tangu utotoni.
National kabisa nikiwa nasali nakosa utulivu na kumaanisha sababu ya hizi mada 🤔🤔🤔
Kila siku twaogaa ... ATA UOGE LISAA LIZIMA... Ukichukua taulo jeupe peee ama kitambaa cheupee ukajifutiaaa lazima lichafuke/kichafukee kitambaaa
We are not perfect 😞 😞 😞
Hudhuria vipindi vyote vya mafundisho kanisani utapata majibu yote ya maswali yako.
Kumbuka mafundisho kama hayo hayapatikani kwa urahisi kwenye makanisa yanayouza maji, chumvi, n.k
Kwa sasa unataka ulishwe ugali wakati unastahili upate uji, (mafundisho laini).
[emoji120]
Hizi story na thread za kuhusu mambo ya Mungu kadri ya ninavyozisoma na kuzitafakari zinanifanya napoteza imani yangu kwa Mungu wangu. Nataka niache kuzisoma ili niendelee kumtukuza kama nilivyofundishwa tangu utotoni.
National kabisa nikiwa nasali nakosa utulivu na kumaanisha sababu ya hizi mada 🤔🤔🤔
Uhuru upi huo?Ukiôna hivyo ndîo unaenda kupata ule Uhuru wa kwèli aliosema Yesu.
Usiache kusoma kuna ukweli siku moja utaujua tu, imani yako kwa Mungu inatakiwa isiwe na mashaka kabisa,nq hiyo ndio imani ya kweliHizi story na thread za kuhusu mambo ya Mungu kadri ya ninavyozisoma na kuzitafakari zinanifanya napoteza imani yangu kwa Mungu wangu. Nataka niache kuzisoma ili niendelee kumtukuza kama nilivyofundishwa tangu utotoni.
National kabisa nikiwa nasali nakosa utulivu na kumaanisha sababu ya hizi mada 🤔🤔🤔
Yohana 8:32-38Uhuru upi huo?
YOHANA 5:36Usiache kusoma kuna ukweli siku moja utaujua tu, imani yako kwa Mungu inatakiwa isiwe na mashaka kabisa,nq hiyo ndio imani ya kweli
Mfano jiulize kama Yesu ni Mungu je alipokuwa tumboni kwa mama maria nani aliangalia ulimwengu?
je Mungu hawezi samehe dhambi mpaka ajidhalilishe na kusulubiwa na wanadamu?
Kuna maswali mengi sana pasina majibu,,endelea kusoma ipo siku utaujua ukweli na utaondoa mashaka na kumuabudu Mungu wa kweli
Tena 😂 anakuchoma kama mbuziKuna maswali hua hawanaga majibu yake, na ukihoji sana ndio unatishiwa kwenda kuchomwa moto.