Ipo ivi , baada ya Adam na Eva kuasi ilitakiwa kufa palepale Kwa maana MUNGu alisema hakika utakufa.
16 Bwana Mungu akamwagiza huyo mtu, akisema, Matunda ya kila mti wa bustani waweza kula,
Mwanzo 2:16
17 walakini matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya usile, kwa maana siku utakapokula matunda ya mti huo utakufa hakika.
Mwanzo 2:17
Sasa basi YESU alikufa ili uhesabiwe Haki badala ya kufa, ukimwamini YESU hutakufa jumla siku ya mwisho utafufuliwa, dhambi huluhisiwi kutenda Kwa sababu MUNGU anachukia dhambi .