Noel france
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 1,159
- 1,054
Hivi neno matanga maana yake ni mwendawazimu?Uchaguzi ni tukio la kikatiba na kisheria hivyo masharti ya katiba na sheria yanapaswa kuzingatiwa. Sasa Kama mna Mambo mengi uchaguzi mliitisha wa nn? Nchi hii chini ya Magufuli imekuwa utopolo sana,hii ni aibuHebu msitupotezee muda tuna mambo mengi ya kufanya kuliko upuuzi wa huyo chizi wenu lissu sasa anataka atangazwe amepita bila kupingwa au ?
Wewe hoja yako ni ipi hasa? Maana kwa ufupi nimekuelewa kuwa mpinzani hawezi kutangazwa kwa sababu CCM inashirikiana na tume ya uchaguzi kuhujumu na kuiba kura za upinzani kwa sababu wapinzani hawana pesa za kuhonga kama CCM. Swali langu kwako, je hapo uchaguzi ni huru? Je , amshindi amepatikana kwa kura za wananchi au matakwa ya kikundi Fulani cha watu chenye kulinda maslahi yao?.Ukiwasikiliza CHADEMA wa JamiiForums waweza kudhani Tundu Lissu atakuwa Raisi wa nchi hii. Bora hata CHADEMA wa mitaani wanakubali ukweli. Ukitaka kuamini hata 2015 pamoja na Lowassa kuongea dk 3 kwenye kampeni mliaminishwa na Mbowe na mkadeki barabara.
Ngoja niwape hints basi.
Kuna wapiga kura milioni 29 mliwahi kuwahesabu kujua Kama wapo kweli?, Kuna vituo zaidi ya 80000 vya kupigia kura nchi nzima mliwahi kuvihesabu kujua Kama vina exist vyote? Let say vipo kweli ili msiibiwe mnahitaji wasimamizi wenu CDM angalau wawili wawili kila kituo na mkisema muwalipe elfu 20 (20000)kila mmoja, kwa vituo vyote mnahitaji (20000x2x80000)zaidi ya bil. 3.2 je mnazo? Kama mnazo zinawatosha wasimamizi wenu wasirubuniwe na pesa zaidi na CCM?
Kwa tume hii nikiona mtu mzima tena mwanaume na p.umbu zake anaamini Lissu anaweza kuwa Raisi wa nchi hii namuona MPUMBAVU sana. Badala ya kukomalia vitu vya maana mnakomalia UPUMBAVU wa mara Amsterdam mara Lwaitama. CHADEMA wote na viongozi hamna akili.
Thibitisha mkuu,ni wapi Tundu Lissu amekosea kwa kuweka pingamizi dhidi ya wagombea wenzie? Ametimiza wajibu wake kama mgombea.Hebu msitupotezee muda tuna mambo mengi ya kufanya kuliko upuuzi wa huyo chizi wenu lissu sasa anataka atangazwe amepita bila kupingwa au ?
Shujaa kwa kipi alichofanya? Mwenzenu anapambania tumbo lake unamwita shujaa Wa taifa?!Hakuna Tume hapa ns Lissu atabaki kuwa shujaa katikaTaifa hili na jana ameandika historia nyingine mbali na ile ya ku-survive shambulizi la risasi 16.
Unaongea alafu unatuambia hakuna maswali na bado unataka tukuamini wewe na hiyo Tume unayoifanyia kazi!
Pathetic!
Shujaa kwenu nyie wajinga na misukule yake.Hakuna Tume hapa na Lissu atabaki kuwa shujaa katikaTaifa hili na jana ameandika historia nyingine mbali na ile ya ku-survive shambulizi la risasi 16.
Unaongea alafu unatuambia hakuna maswali na bado unataka tukuamini wewe na hiyo Tume unayoifanyia kazi!!
Pathetic!
kwamba lissu alisema hamna form au?alisema hakuna picha au?umesikiliza hotuba ya lissu?Shujaa kwenu nyie wajinga na misukule yake.
Mnadanganywa alafu mnakenua tu mimenoView attachment 1549332View attachment 1549333
Mahakama ilikosea sana kuruhusu wakurugenzi kusimamia uchaguzi huu.mambo wanayofanya wakurugenzi kule chini ni aibu sana. Kwa mfano mkurugenzi wa Moro ni kituko zaidi
Ulitaka NEC wajibu kwa porojo?Nimesikiliza hotuba ya Lissu zaidi ya mara tatu anagonga kwenye vifungu vya NEC wenyewe lakini wamejibu kirahisi na maswali wakakataa,haijakaa sawa watoe maelezo yaliyoshiba ya kisheria ili Lissu aonekane hajui lolote sisi tusiojua sheria tuliona kama Lissu anatufundisha vile hadi unaelewa.
umeangalia hotuba ya lissu?kasema hajaweka picha,mama yangu KIRUUUU YESU NA MARIAAAAAUlitaka NEC wajibu kwa porojo?
Lisu kasema Magufuli hakuweka picha hiki nini sasa? View attachment 1549337View attachment 1549339