Sheria ya uchanguzi inasemaje kuhalalisha hoja yako? Lissu yuko na hoja za kisheria wewe unakuja na hoja baseless kabisa.Yaani picha kukaa upande nayo ni pingamizi?
Huyu Lisu kawa kichaa sasa ee?
Hivi unaposikia wasimamizi wa uchaguzi kwenye majimbo wewe unaelewa nini?
Hao ndio Nec wenyewe,! nec siyo lile jengo pale dodoma ni watu wapo kuanzia huko kwenye majimbo ndio maana hata matokeo yataanza kutolewa kuanzia huko majimboni.,!
Lisu alipopeleka form zake akikaa muda mrefu na aliambiwa wenzie waliotia saini kwa wasimaizi wa uchaguzi majimboni hawakukaa sababu NEC makao makuu hawakuwa na haja ya kuanza kupitia upya kitu kilichopitiwa tayari na wawakilishi wao huko mikoani.
Ndio NEC walipoona mapingamizi ya Lisu wakayatupa kapuni