Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Ukiwasikiliza CHADEMA wa mitandaoni waweza kudhani Tundu Lissu atakuwa Raisi wa nchi hii. Bora hata CHADEMA wa mitaani wanakubali ukweli. Ukitaka kuamini hata 2015 pamoja na Lowassa kuongea dk 3 kwenye kampeni mliaminishwa na Mbowe na mkadeki barabara.
Ngoja niwape hints basi.
Kuna wapiga kura milioni 29 mliwahi kuwahesabu kujua Kama wapo kweli?, Kuna vituo zaidi ya 80000 vya kupigia kura nchi nzima mliwahi kuvihesabu kujua Kama vina exist vyote? Let say vipo kweli ili msiibiwe mnahitaji wasimamizi wenu CDM angalau wawili wawili kila kituo na mkisema muwalipe elfu 20 (20000)kila mmoja, kwa vituo vyote mnahitaji (20000x2x80000)zaidi ya bil. 3.2 je mnazo? Kama mnazo zinawatosha wasimamizi wenu wasirubuniwe na pesa zaidi na CCM?
Kwa tume hii nikiona mtu mzima tena mwanaume na p.umbu zake anaamini Lissu anaweza kuwa Raisi wa nchi hii namuona MPUMBAVU sana. Badala ya kukomalia vitu vya maana mnakomalia UPUMBAVU wa mara Amsterdam mara Lwaitama. CHADEMA wote na viongozi hamna akili.
Huu ni ukweli mchungu, ndio hapo na sisi tunashangaa hii hadithi ya kuwa ccm itashinda kwa sababu eti Magufuli kajenga bwawa, kajenga reli, kanunua ndege nk tunajua sio kweli. Hizi sababu kuwa wanashinda kwa sababu kuna idadi fake na vituo fake vya kura, ndio sababu hasa ya ccm kutangazwa washindi na sio kushinda. Suala ni sio ccm kutangazwa washindi, wataendelea kukaa muda gani madarakani kwa mbinu hizi ulizotaja? Ni dhahiri njia ya kura ni kupoteza muda, njia mbadala ndio pekee sahihi.