Ukiwasikiliza CHADEMA wa mitandaoni waweza kudhani Tundu Lissu atakuwa Raisi wa nchi hii. Bora hata CHADEMA wa mitaani wanakubali ukweli. Ukitaka kuamini hata 2015 pamoja na Lowassa kuongea dk 3 kwenye kampeni mliaminishwa na Mbowe na mkadeki barabara.
Ngoja niwape hints basi.
Kuna wapiga kura milioni 29 mliwahi kuwahesabu kujua Kama wapo kweli?, Kuna vituo zaidi ya 80000 vya kupigia kura nchi nzima mliwahi kuvihesabu kujua Kama vina exist vyote? Let say vipo kweli ili msiibiwe mnahitaji wasimamizi wenu CDM angalau wawili wawili kila kituo na mkisema muwalipe elfu 20 (20000)kila mmoja, kwa vituo vyote mnahitaji (20000x2x80000)zaidi ya bil. 3.2 je mnazo? Kama mnazo zinawatosha wasimamizi wenu wasirubuniwe na pesa zaidi na CCM?
Kwa tume hii nikiona mtu mzima tena mwanaume na p.umbu zake anaamini Lissu anaweza kuwa Raisi wa nchi hii namuona MPUMBAVU sana. Badala ya kukomalia vitu vya maana mnakomalia UPUMBAVU wa mara Amsterdam mara Lwaitama. CHADEMA wote na viongozi hamna akili.