Uchaguzi 2020 Kama leo haya yametokea kwa NEC, vipi kuhusu kesho Matokeo ya Uchaguzi?

Sheria ya uchanguzi inasemaje kuhalalisha hoja yako? Lissu yuko na hoja za kisheria wewe unakuja na hoja baseless kabisa.
 
Sheria ya uchanguzi inasemaje kuhalalisha hoja yako? Lissu yuko na hoja za kisheria wewe unakuja na hoja baseless kabisa.
Mkuu hajui kitu zaidi ya kufanya kile tume wamefanya. Aliyetoa taarifa anakwambia hakuna maswali....... Uhuni umefanyika juu ya tume.
 
MATUSI YANAKUSAIDIA NINI SASA?
 
Pale mtu anapotoa mapingamizi ya kisheria, na kunukuu vifungu vya sheria kusupport hoja zake kisha ww unamjibu kisiasa, kwa utashi wako, pasipo kuonesha vifungu vya kisheria vya kujibu hoja, hawa watu ni hooligans kabisa, total hopeless!
Kamuulize Lissu amejibiwa kwa maandishi. Sasa wewe ulitaka kwenye Press Conference waweke kila kitu? Mkurugenzi wa Uchaguzi alitoa just summary na ndiyo inavyotakiwa. Sasa kama unataka kujua details za taarifa hiyo mtafute Lissu atakuwa na majibu kwa kirefu.
 
Sasa wote tumeanza kuelewa,Tume ilipaswa kusimama kama refa na si kumkingia mwingine na kumsemea. Pia ilipaswa kuonyesha majibu ya pingamizi kama iliamua kubeba msalaba wa mwingine.
 

Attachments

  • godblessjlema1_200824_071606.mp4
    8.5 MB
  • bavicha_taifa_200827_184534.mp4
    21.4 MB
Sasa wote tumeanza kuelewa,Tume ilipaswa kusimama kama refa na si kumkingia mwingine na kumsemea. Pia ilipaswa kuonyesha majibu ya pingamizi kama iliamua kubeba msalaba wa mwingine.
Nimekosea ku-upload hiyo nyingine
 
Tumeccm imejaa wahuni na majizi tu. Huyo Kaijage Mwenyekiti wa tumeccm eti naye alikuwa Jaji!! Jaji ambaye anakiuka profession ethics za taaluma yake ya kusimamia haki na kweli.

Waje wakanushe na hili,si kwa kujitutumua kumkata mtu pasi utu.
 
Ni mamluki wa CCM, walioziba nafasi kwa wapinzani halisi. Vingineyo wasingekubali kuingia uchaguzi Mara ya 6 sasa bila tume huru ya uchaguzi ikitanguliwa na katiba mpya.
 
Hebu msitupotezee muda tuna mambo mengi ya kufanya kuliko upuuzi wa huyo chizi wenu lissu sasa anataka atangazwe amepita bila kupingwa au ?
Hivi neno matanga maana yake ni mwendawazimu?Uchaguzi ni tukio la kikatiba na kisheria hivyo masharti ya katiba na sheria yanapaswa kuzingatiwa,Sasa Kama mna Mambo mengi uchaguzi mliitisha wa nn?nchi hii chini ya Magufuli imekuwa utopolo sana,hii ni aibu
Ulitaka NEC wajibu kwa porojo?
Lisu kasema Magufuli hakuweka picha hiki nini sasa? View attachment 1549337View attachment 1549339
Mkuu mtu mwenye uwezo Kama wako hamuwezi kuelewa Lissu straight pale anapoongea,mnahitaji muda,probably ukiendelea kusikiliza clip ya Lissu utaelewa alisema nini
 
Sasa nimeamini kwanini Mh. Rais mstafu Kikwete alisema ni kheri Dr.Slaa achukue Urais kule Tundu Lissu kuingia bungeni.
Sasa leo anagonga hodi Ikulu,na uwezo wake ni mkubwa kwelikweli. Nachelea kusema hana mpinzani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…