TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Zina pritiwa picha kubwa za wagombea Waubunge, udiwani, na Hata uRais. Zinawekwa sehemu maalumu za kupigia kura. Ni Rahisi tu!Huyo mgombea angejipanga sehenu ngapi? Firia mbunge ukubwa wa jibu au hata tu diwani. Unakuta Kata moja ina vijijini ht vinne na viko mbalimbali kuunda hiyi Kata je huyo mgombea ataenda kusimama wapi ili wananchi wakajipange mbele yake?
ukienda hapohapo fanya kutumia jina feki na hakuna kitachoharibika.Hili daftari ni ujinga mtupu! Nimejiandikisha kwenye huo ujinga wao na Leo nitaenda tena hapo Hapo kujiandikisha tena au kituo cha jirani
Aheri hata wangeuliza namba ya nyumba!Jana nilienda kujiandikiasha ili kushiriki uchaguzi wa Serikali za mitaa. Nikakuta kumbe unataja majina yako matatu, unaweka sahihi, msimamizi nae anaweka sahihi halafu ndio imetoka hivyo.
Yaani Nikajiuliza na kucheka tu, ni Watu wangapi wataingizwa ambao ni fake? Waandaaji wameshindwaje hata kutumia akili za kawaida Tu nyingine kuchukua tahadhari ya Watu wasiostahili kutokuingizwa au kuandikwa?
Kwa muktadha huu, Watu WA CCM wataenda kujifungia na hili daftari na kuandika majina yoyote kwa idadi yoyote ile na HAKUNA kitu kitatokea.
Nishauri Tu kuwa, ni muhimu sana kutumia akili zetu KULIKO SIASA kwenye kitu muhimu kama hiki.
.
Daftari gani huulizwi hata unaishi wapi, huulizwi kitambulisho, huulizwi taarifa zozote zile zaidi ya kutaja jina na kusaini?
Leo nitaenda kujiandikisha kituo kingine tena na nitawapa mrejesho na mniambie kama kuna umuhimu WA uchaguzi wa kipumbavu namna hii
Wakati wa kupiga kura Kuna alama unapewa na haifutiki kirahisi ndi ya masaa 24. Kwa hiyo itakuwa vigumu kufanya kitendo hicho kiovuVipi kuhusu watu wanaojulikana mitaa tofauti na wakajiandikisha kote.
Bila kazi maisha yatakera sana. Karibu.Kama hizi ndio akili zetu basi KAZI IPO
Kila chama kiwe na box lake wapiga kula wanakwenda kwa chama wanacho taka kutumbukiza kula chamsingi wapiga kula wawe sahihi pasiwe na mapandikizi wala kula za pembeniHuyo mgombea angejipanga sehenu ngapi? Firia mbunge ukubwa wa jibu au hata tu diwani. Unakuta Kata moja ina vijijini ht vinne na viko mbalimbali kuunda hiyi Kata je huyo mgombea ataenda kusimama wapi ili wananchi wakajipange mbele yake?
Hayo ya msingi yakishauriwa hayawezi kufuatwa maana itabomoa himaya inayoendelea kulindwaKukiwa na mfumo madhubuti ni vyema kupiga Kura ila kwa upumbavu huu? Ni wastage of time and resources wala hata tusidanganyane. Ninachoshangaa, yaani Huko Serikalini hakuna MTU mwenye akili hata mmoja akashauri mambo ya msingi?
Hata mimi, na ndio ilikuwa mara yangu ya kwanza na mwisho kupiga kura nchi hii.Mzee unatetea ujinga ukiwa na akili timamu kabisa..
Binafsi nilipiga kura mwaka 2015, sitarajii kama nitarudia tena
Mzee nakuheshimu sana humu jukwaani, ila kwa hili hapana.Unapoteza haki yako ya kikatiba kumchagua kiongozi halali unayetaka asaidie katika jukumu la kutuletea maendeleo sote wananchi
Labda kwenye kitongoji chako, kuna wengine tukijulikana sana labda nyumba ya pili tena kwa sura tu.Unakwenda kupiga kura sehemu unapojulikana! Tunajuana Mtaani!
Ulitaka utumike utaratibu upi?
Njia Rahisi na uhakika ni kujipanga mbele ya mgombea unayemtaka! Kwanza hiyo, ingepunguza gharama nyingi za uchaguzi!
Hata mimi siwezi kupiga kura kwa daftari kama lile naona limekaa kimizengwe sana mara aakwenda nalo mwandikishaji nyumbani mara linaachwa kwenye kibanda cha mlinzi😀Jana nilienda kujiandikiasha ili kushiriki uchaguzi wa Serikali za mitaa. Nikakuta kumbe unataja majina yako matatu, unaweka sahihi, msimamizi nae anaweka sahihi halafu ndio imetoka hivyo.