Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
kwanini chaguzi zote zisisimamiwe na tume huru ya uchaguzi wakati ndo kazi yakeUkipitia comments za baadhi yetu humu ndani unagundua watu wanashindwa kutofautisha kati ya uchaguzi wa serikali za mitaa ambao uandikishaji wa wapiga kura ndo unaondelea sasa na unasimamiwa na Tamisemi na uchaguzi mkuu (wa madiwani, wabunge na Rais) unaosomamiwa na Tume "huru"
ya uchaguzi ambao mchakato wake ni hapo mwakani
Halafu hilo daftari wameliprint hapo kiuta. Wakiona kura hazitoshi wanaprint mengine wanajaza kura na kijipigiaJana nilienda kujiandikiasha ili kushiriki uchaguzi wa Serikali za mitaa. Nikakuta kumbe unataja majina yako matatu, unaweka sahihi, msimamizi nae anaweka sahihi halafu ndio imetoka hivyo.
Yaani Nikajiuliza na kucheka tu, ni Watu wangapi wataingizwa ambao ni fake? Waandaaji wameshindwaje hata kutumia akili za kawaida Tu nyingine kuchukua tahadhari ya Watu wasiostahili kutokuingizwa au kuandikwa?
Kwa muktadha huu, Watu WA CCM wataenda kujifungia na hili daftari na kuandika majina yoyote kwa idadi yoyote ile na HAKUNA kitu kitatokea.
Nishauri Tu kuwa, ni muhimu sana kutumia akili zetu KULIKO SIASA kwenye kitu muhimu kama hiki.
.
Daftari gani huulizwi hata unaishi wapi, huulizwi kitambulisho, huulizwi taarifa zozote zile zaidi ya kutaja jina na kusaini?
Leo nitaenda kujiandikisha kituo kingine tena na nitawapa mrejesho na mniambie kama kuna umuhimu WA uchaguzi wa kipumbavu namna hii
Binafsi katika utimamu wangu huu siwezi kupoteza mda wangu.Pigeni kura ni haki zenu wakuu😁😁😁
Ikitokea hivyo, hao mawakala namuandikishaji watakuwa wameshindwa kazi. Pia na wewe uliyefanya Kitendo hicho huna tofauti na fisadi mwenye tamaa ya fisi na huitakii mema Tanzania. Kwa utatakiwa upewe ushauri nasaha juu ya tabia yako usiporekebika watatafuta sheria na miongozo wakuweke sawa kwa haki.Leo nikijiandikalisha Juma nikakaa siku tatu nikaenda nikajiandikisha kama John? inakuaje hapo?
Ndomana tunasema huu uchaguzi kushiriki ni ujuha tuHakuna hata app mkuu ni counter book, kimsingi ni uchaguzi wa kishenzi sn, utasikia sasa gharama walizotumia ni mabilioni ya walala hoi kwa haya maigizo yao ya kijinga
Ni maigizo ya CCM, kila halmashauri imepewa zaidi ya 1B ajili ya zoezi tu la kuandikisha pesa nyingi zinapigwa kwenye vikaoupumbavu wa hali yajuu mambo yanaoendelea kwenye hivo vituo,kwanza unakuta anayesimamia uandikishaji kaletwa tu toka huko na siyo wa sehemu husika
Muhimu kushiriki na kulinda kura ili kuepuka kulalamika baadae. Inabid wanaogombea wawaweke wasimamizi imara na wanao ogopekaNdomana tunasema huu uchaguzi kushiriki ni ujuha tu
Ova
Wahusika wafanyiwe kazi wasi wasi wako huu. Pia kwa kuwa lazima tupate viongozi wa kuchaguliwa kihalali. Unashuri njia ipi Bora kurekebisha uwezekano huo uliousema?hii ya kujiandikisha unaweza kujiandikisha zaidi ya mitaa 10 na hakuna kitu kitajulikana
Lengo la CCM ni tusishiriki, nashauri tushiriki kwa wingi tuone wizi wao, pia wapinzania waungane kuweka mawakala waaminifu sehemu nyingi na wawalipe vizuri.Ndomana tunasema huu uchaguzi kushiriki ni ujuha tu
Ova
Hizo sio hela za maendeleo ni hela za kuingia mifukoni mwao sababu hawapokei kwa utaratibu maalumu kama kutoa Control number tulipie.Neno hili! Lakini, wanasema pale unachangia maendeleo ya Mtaani na Wala hakuna kiwango. Mambo haya, inabidi tushiriki vikao vya Mtaani tupate ufafanuzi.
Zaidi ya asilimia 70. Hata hivyo, kwa eneo nilipo Mimi si kiongozi wa Mtaa/Kijiji. Kwa Ninaamini viongozi wangu watakuwa wanatujua wote.Wewe unawajua watu wangapi wa mtaani kwako??
Unajua kuna namna ya kupinga kitu kwa njia ya kukipotezea kama njia ya mezani na haki imeshindwa kufanya kazi.Lengo la CCM ni tusishiriki, nashauri tushiriki kwa wingi tuone wizi wao, pia wapinzania waungane kuweka mawakala waaminifu sehemu nyingi na wawalipe vizuri.
Ndio maana vitoto vya shule vinaandikishwaMimi nilienda na kadi yangu ya kupigia kura nikakuta kule ni majina matatu, umri na kusign tu. Hamna mahali pa kuhakikisha mtu ana miaka 18+. Lazima kutakua ma uchakachuaji
Mkuu huu uchaguzi tungetumia mbinu na utaratibu wa uchaguzi mkuu Tu kuliko njia hii ya kuandikisha jina na kuondokaWahusika wafanyiwe kazi wasi wasi wako huu. Pia kwa kuwa lazima tupate viongozi wa kuchaguliwa kihalali. Unashuri njia ipi Bora kurekebisha uwezekano huo uliousema?
Zipo alama nyingine ambazo wahusika wanazijua. Usitegemee wino tu!Wino? ndiyo alama ambayo haifutiki kirahisi 😂
CCM ndiyo wanataka hivyo, nadhani tushiriki kwa wingi na kuwadhibiti kwa njia zote ikiwezekana hata kwa kutumia waganga wa jadiUnajua kuna namna ya kupinga kitu kwa njia ya kukipotezea kama njia ya mezani na haki imeshindwa kufanya kazi.