Kama Lissu akiendelea na chokochoko afukuzwe tu, chama ni kikubwa kuliko yeye

Kama Lissu akiendelea na chokochoko afukuzwe tu, chama ni kikubwa kuliko yeye

Tunajua Msigwa alienda kumuona Lissu kabla Msigwa kuhama Chadema, kama Lissu anataka kutoka, aende tu kuliko kuanza chokochoko, amfate Msigwa. Chadema ni kubwa kuliko Lissu
Mimi naona yupo sahihi.
Pia, ikimbukwe, yote anayokaririwa kuongea, aliyaongea kwenye mijadala huko Clubhouse, kinachoendelea hivi sasa ni watu kila mtu kurusha kipande chake akitakacho kwa wakati wake na hivyo kuonekana kama vile kila wakati anatoa matamko.
Pia, ukimsikiliza namna anavyowasilisha ipo very positive and healthy kwa CHADEMA tofauti na reporters wanavyowasilisha
 
Tunajua Msigwa alienda kumuona Lissu kabla Msigwa kuhama Chadema, kama Lissu anataka kutoka, aende tu kuliko kuanza chokochoko, amfate Msigwa. Chadema ni kubwa kuliko Lissu
Haha leo CCM mnakiri CDM ni chama kikubwa eeh?

Haya anayosema Lissu wewe unao uthubutu wa kuyasema waziwazi dhidi ya mwenyekiti wa CCM taifa?

CHADEMA ni chama cha kidemokrasia hivyo usifikiri kuna anayeumizwa na matamko ya Lissu hiyo ni kawaida kwa wanademokrasia na si dhambi.
 
Kila goti litapigwa ni swala la mda
GKBea4rWUAA1PSv.jpeg
 
Back
Top Bottom