Kama Lissu akiendelea na chokochoko afukuzwe tu, chama ni kikubwa kuliko yeye

Kama Lissu akiendelea na chokochoko afukuzwe tu, chama ni kikubwa kuliko yeye

Maendeleo anayochapa Samia hata sie wanachadema hatumdai kabisa, ruzuku inayopewa chadema ni Kodi za watz so ni lazima watz tuhoji bila kujali itikadi za vyama vyetu.
Maendeleo yako yakiguswa uje utujulishe.
 
Dunia inaenda kasi sana leo hii watu wanamsuta shujaa wao Lissu? Ama kweli hakuna adui wala rafiki wa kudumu
Anavyotetewa sasa
Ooh mwanasheria, mara ni jabali la siasa
Ila nchi ina vituko hii
Naona mda wake umefika nae kuhama maana sio cha mama yake 😄 Duu ndio hivyo mambo ya Siasa
 
Mimi naona yupo sahihi.
Pia, ikimbukwe, yote anayokaririwa kuongea, aliyaongea kwenye mijadala huko Clubhouse, kinachoendelea hivi sasa ni watu kila mtu kurusha kipande chake akitakacho kwa wakati wake na hivyo kuinekana kama vile kila wakati anatoa matamko.
Pia, ukimdikiliza namna anavyowasilisha ipo very positive and healthy kwa CHADEMA tofauti na reporters wanavyowasilisha
Reporters wa club house wanatumiwa sana na sikiliza wanavyobadilisha uhalisia wa jibu la Lissu,wao wanafuraia kuibomoa chadema,be watchful na hii club house inatumika na CCM,DRSlaa anawaweza sana. Hawafai
 
Si ndiyo Clubhouse watu waliituhumu serikali kuitaka kuifunga? Leo imekuaje tena?🙏🙏🙏
 
Badala ya kuuliza hela zako unazolipa kodi wewe unauliza hela za michango - CDM haiuisanyi kodi ndugu; wabane hao CCM ambao wanakusanya karibia ma trilion ya pesa kwa mwezi.

Kasome pia riport ya CAG acha uvivu.
Nashangazwa na watanganyika wanaotaka Chadema ife. mTanganyika wa kawaida kama mm unapata nn yaani. Wanaoombea Chadema ife ni walamba asali wenye kamba shingoni wanaokula kwa urefu wa kamba zao kulingana na mfungaji. Wewe mlalahoi omba upinzani uendelee kuwapo ili tufaidi hizo ninyi msiojua mnaita kelele. Upinzani oyee na uwe juu zaidi. CCM wakibaki pekee yao tutanyooka tutakosa mtetezi. Kura yangu Kwa upinzani ipo sana.
 
Maendeleo anayochapa Samia hata sie wanachadema hatumdai kabisa, ruzuku inayopewa chadema ni Kodi za watz so ni lazima watz tuhoji bila kujali itikadi za vyama vyetu.
Za CCM unahoji? Au na wewe una ka kamba shingoni hata kama ni kafupi unakula Kwa urefu wake. Au ni katibu wa kata wa jumuia fulani umepata ka Pikipiki kapo nyumbani SSH2025?
 
Tunajua Msigwa alienda kumuona Lissu kabla Msigwa kuhama Chadema, kama Lissu anataka kutoka, aende tu kuliko kuanza chokochoko, amfate Msigwa. Chadema ni kubwa kuliko Lissu
Alisikika Chui akimshauri kondoo
 
Lissu hawezi kwenda CCM bali kitaundwa chama kingine fasta kwa usaidizi wa CCM then Lissu na kundi lake watahamia huko. So CDM itagawanyika vipande viwili hence kuimarisha CCM.

Lissu atakutana na upinzani mkali wakati wa kutetea nafasi yake ya makamu wa Mwenyekiti pamoja na kupata nafasi ya ugombea Urais na hapo itakuwa tamati ishafika mwisho.

Wacha tusubiri.
Tamati - Mwisho! Zote sawa
 
Tunajua Msigwa alienda kumuona Lissu kabla Msigwa kuhama Chadema, kama Lissu anataka kutoka, aende tu kuliko kuanza chokochoko, amfate Msigwa. Chadema ni kubwa kuliko Lissu
Chama ni watu maarufu siyo mtu yeyote tu. Akihama Lisu na Mnyika utashangaa kitakatokea Chadema. Alipoondoka Dr. Slaa kweli chama kiliyumba. Factor ya Lisu na Mnyika ilifanya wengi wabaki, ila akiondoka Lisu, Mnyika, Sugu chama kitakuwa debe tupu

Mbowe kwa sasa hana mvuto kama ule aliokuwa nao zamani, analaumiwa na kila mtu
 
Tunajua Msigwa alienda kumuona Lissu kabla Msigwa kuhama Chadema, kama Lissu anataka kutoka, aende tu kuliko kuanza chokochoko, amfate Msigwa. Chadema ni kubwa kuliko Lissu
Mbowe ni mkubwa kuliko chama, wanachama na viongozi wa chama. Mkuu mbona unaandika kinyume nyume
 
Back
Top Bottom