Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 20,654
- 35,887
Akifanya ujinga lazima apewe za uso.Dunia inaenda kasi sana leo hii watu wanamsuta shujaa wao Lissu? Ama kweli hakuna adui wala rafiki wa kudumu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akifanya ujinga lazima apewe za uso.Dunia inaenda kasi sana leo hii watu wanamsuta shujaa wao Lissu? Ama kweli hakuna adui wala rafiki wa kudumu
Lissu anajua fika kutetea nafasi yake ya Makamu Mwenyekiti itakuwa shughuli nzito na kukiwakilisha chama nafasi ya uRais naona imeshamponyoka.Lissu hawezi kwenda CCM bali kitaundwa chama kingine fasta kwa usaidizi wa CCM then Lissu na kundi lake watahamia huko. So CDM itagawanyika vipande viwili hence kuimarisha CCM.
Lissu atakutana na upinzani mkali wakati wa kutetea nafasi yake ya makamu wa Mwenyekiti pamoja na kupata nafasi ya ugombea Urais na hapo itakuwa tamati ishafika mwisho.
Wacha tusubiri.
Kuhusu ruzuku ya CCM kumbe hata wewe majibu unayo, Sasa hapo unahoji vipi matumizi yake kama Kazi yake inajieleza.Za CCM unahoji? Au na wewe una ka kamba shingoni hata kama ni kafupi unakula Kwa urefu wake. Au ni katibu wa kata wa jumuia fulani umepata ka Pikipiki kapo nyumbani SSH2025?
tuwekeeni ka video basiiiiHaha leo CCM mnakiri CDM ni chama kikubwa eeh?
Haya anayosema Lissu wewe unao uthubutu wa kuyasema waziwazi dhidi ya mwenyekiti wa CCM taifa?
CHADEMA ni chama cha kidemokrasia hivyo usifikiri kuna anayeumizwa na matamko ya Lissu hiyo ni kawaida kwa wanademokrasia na si dhambi.
Tunajua Msigwa alienda kumuona Lissu kabla Msigwa kuhama Chadema, kama Lissu anataka kutoka, aende tu kuliko kuanza chokochoko, amfate Msigwa. Chadema ni kubwa kuliko Lissu
Mimi ni kamanda makini sana mkuuLumumba na makamanda uchwara wanapokuwa timu moja.
Ikumbukwe Lumumba Lissu wanamchukia.
Makamanda uchwara ni machawa wa kulipwa kukomaa mitandaoni hata bila hoja.
Makamanda uchwara na mabwana zao kisa na mkasa husuda, wivu ulojawa na hasira za kufunikwa.
Makamanda uchwara wanadhani wao ni chadema zaidi kuliko wengine.
Makamanda uchwara hawa ni hatari hata kwa maisha ya mhanga wao kuliko hata ma CCM.
Mimi ni kamanda makini sana mkuu
Lisu ana hoja ajibiwe kwa hoja democracy hamna chadema n udikteta tu huyu mbowe akichukua nchi s atafia madarakani
Shida ya chadema mnajikuta malaika wasaf na hamna doa kumbe ndio wala rushwa wakubwa mkipata ulajiLumumba na makamanda uchwara wanapata taabu sana
Shida ya chadema mnajikuta malaika wasaf na hamna doa kumbe ndio wala rushwa wakubwa mkipata ulaji
Huyo hagukuzwi msianze chokochoko kama za covid19.Tunajua Msigwa alienda kumuona Lissu kabla Msigwa kuhama Chadema, kama Lissu anataka kutoka, aende tu kuliko kuanza chokochoko, amfate Msigwa. Chadema ni kubwa kuliko Lissu