Kama Lissu akiendelea na chokochoko afukuzwe tu, chama ni kikubwa kuliko yeye

Kama Lissu akiendelea na chokochoko afukuzwe tu, chama ni kikubwa kuliko yeye

Mimi naona yupo sahihi.
Pia, ikimbukwe, yote anayokaririwa kuongea, aliyaongea kwenye mijadala huko Clubhouse, kinachoendelea hivi sasa ni watu kila mtu kurusha kipande chake akitakacho kwa wakati wake na hivyo kuinekana kama vile kila wakati anatoa matamko.
Pia, ukimdikiliza namna anavyowasilisha ipo very positive and healthy kwa CHADEMA tofauti na reporters wanavyowasilisha
We waache waweweseke tu Lisu hata kama akitoka CDM haendi CCM hata kwa bunduki
 
Lissu hawezi kwenda CCM bali kitaundwa chama kingine fasta kwa usaidizi wa CCM then Lissu na kundi lake watahamia huko. So CDM itagawanyika vipande viwili hence kuimarisha CCM.

Lissu atakutana na upinzani mkali wakati wa kutetea nafasi yake ya makamu wa Mwenyekiti pamoja na kupata nafasi ya ugombea Urais na hapo itakuwa tamati ishafika mwisho.

Wacha tusubiri.
 
Wanachadema kila tukiuliza Hela za chama, mbowe anakuwa mbogo na kututishia kutufukuza chama au kutuonjesha sumu tufe.
 
Wanachadema kila tukiuliza Hela za chama, mbowe anakuwa mbogo na kututishia kutufukuza chama au kutuonjesha sumu tufe.
Badala ya kuuliza hela zako unazolipa kodi wewe unauliza hela za michango - CDM haiuisanyi kodi ndugu; wabane hao CCM ambao wanakusanya karibia ma trilion ya pesa kwa mwezi.

Kasome pia riport ya CAG acha uvivu.
 
Tunajua Msigwa alienda kumuona Lissu kabla Msigwa kuhama Chadema, kama Lissu anataka kutoka, aende tu kuliko kuanza chokochoko, amfate Msigwa. Chadema ni kubwa kuliko Lissu
Pale jizi la ccm linapotoa ushauri kwa cdm!
 
Tunajua Msigwa alienda kumuona Lissu kabla Msigwa kuhama Chadema, kama Lissu anataka kutoka, aende tu kuliko kuanza chokochoko, amfate Msigwa. Chadema ni kubwa kuliko Lissu

Lisu hakuwa mnafiki, sijui hii tabia kaitoa wapi. ni wazi kuwa anamsapoti Msigwa kwa maneno ya kijinga anayotamka. Cdm nawashauri kwenye nafasi ya urais wamweke jembe Mwabukusi, "asiogope kutikisa mbuyu". Kwa sasa nchi inataka mtu mwenye amsha amsha kama za huyu Kajunjumele

YESU NI BWANA&MWOKOZI
 
Hoja ingeibuliwa na mwingine tungekuelewa, ila kwa kuwa hoja ni ya chawa chiembe haina haja kusikilizwa.
 
Badala ya kuuliza hela zako unazolipa kodi wewe unauliza hela za michango - CDM haiuisanyi kodi ndugu; wabane hao CCM ambao wanakusanya karibia ma trilion ya pesa kwa mwezi.

Kasome pia riport ya CAG acha uvivu.
Maendeleo anayochapa Samia hata sie wanachadema hatumdai kabisa, ruzuku inayopewa chadema ni Kodi za watz so ni lazima watz tuhoji bila kujali itikadi za vyama vyetu.
 
Back
Top Bottom