Kama Lissu akiendelea na chokochoko afukuzwe tu, chama ni kikubwa kuliko yeye

Lissu anajua fika kutetea nafasi yake ya Makamu Mwenyekiti itakuwa shughuli nzito na kukiwakilisha chama nafasi ya uRais naona imeshamponyoka.
 
Za CCM unahoji? Au na wewe una ka kamba shingoni hata kama ni kafupi unakula Kwa urefu wake. Au ni katibu wa kata wa jumuia fulani umepata ka Pikipiki kapo nyumbani SSH2025?
Kuhusu ruzuku ya CCM kumbe hata wewe majibu unayo, Sasa hapo unahoji vipi matumizi yake kama Kazi yake inajieleza.
 
Mbowe ni mkubwa kuliko chama, wanachama na viongozi wa chama. Mkuu mbona unaandika kinyume nyume
Wakati familia inajinyima kuanzisha chama Lissu alikuwa wapi? Ndio aanze kusumbua leo?
 
Kuna mtu alishaulizwa na hajajibiwa mpaka leo kwamba "zile pesa alizochangiwa Lissu kununua gari, ziliishia wapi???"
 
tuwekeeni ka video basiiii
 
Tunajua Msigwa alienda kumuona Lissu kabla Msigwa kuhama Chadema, kama Lissu anataka kutoka, aende tu kuliko kuanza chokochoko, amfate Msigwa. Chadema ni kubwa kuliko Lissu

Lumumba na makamanda uchwara wanapokuwa timu moja.

Ikumbukwe Lumumba Lissu wanamchukia.

Makamanda uchwara ni machawa wa kulipwa kukomaa mitandaoni hata bila hoja.

Makamanda uchwara na mabwana zao kisa na mkasa husuda, wivu ulojawa na hasira za kufunikwa.

Makamanda uchwara wanadhani wao ni chadema zaidi kuliko wengine.

Makamanda uchwara hawa ni hatari hata kwa maisha ya mhanga wao kuliko hata ma CCM.
 
Mimi ni kamanda makini sana mkuu
 
Lisu ana hoja ajibiwe kwa hoja democracy hamna chadema n udikteta tu huyu mbowe akichukua nchi s atafia madarakani
 
Tunajua Msigwa alienda kumuona Lissu kabla Msigwa kuhama Chadema, kama Lissu anataka kutoka, aende tu kuliko kuanza chokochoko, amfate Msigwa. Chadema ni kubwa kuliko Lissu
Huyo hagukuzwi msianze chokochoko kama za covid19.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…