Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka hiyo clip. Tuondolee ubwabwaji kama mama wawili wa kingoniSerikali haina shamba, inaendeshwa kwa Kodi.
Ee nimeamka. Clip hyo hapo juu. Ni dakika ya ngapi amepinga kodi madam chiembeNaona Asha Ndalandefu umeamka
Kwa uelewa wangu, serikali inajiendesha kutokana na Kodi zinazolipwa na wananchi wake.
Katika hotuba ya Lissu, alipinga Kodi zote ambazo serikali inazikusanya na kuzitumia kulipa polisi waliokuwa wanalinda mikutano yake, kujenga uwanja wa ndege, kulipa mishahara, kujenga lami ambayo wafuasi wake Jana walifika mikutanoni bila kuwa na vumbi.
Je, anatuahidi kufuta Kodi zote, nchi ataiendeshaje? Au Ulaya alikokuwa ana wajomba zake ambao wamemuahidi kumpa trilioni mbili Kila mwezi?
Tulia aseme clip hyo hapo juu ni dakika ya ngapi amekataa kodiWewe chawa acha kupotosha lissu hajasema serekali isikusanye kodi bali kodi rafiki kwa wananchi sio zinazo wakomoa wananchi,,,kwani miaka yote tulikua tunaishi kwa kodi ya makato kwenye mitandao??
Haja kataa kodi. Amekataa tozo. Muwe mna tumia akili kwa kichwa na sio. MasaburiKwa uelewa wangu, serikali inajiendesha kutokana na Kodi zinazolipwa na wananchi wake.
Katika hotuba ya Lissu, alipinga Kodi zote ambazo serikali inazikusanya na kuzitumia kulipa polisi waliokuwa wanalinda mikutano yake, kujenga uwanja wa ndege, kulipa mishahara, kujenga lami ambayo wafuasi wake Jana walifika mikutanoni bila kuwa na vumbi.
Je, anatuahidi kufuta Kodi zote, nchi ataiendeshaje? Au Ulaya alikokuwa ana wajomba zake ambao wamemuahidi kumpa trilioni mbili Kila mwezi?
Kabla ya tozo kodi hazikuwepo? Anachohoji Lisu ni hizi tozo lukuki za MwiguluKwa uelewa wangu, serikali inajiendesha kutokana na Kodi zinazolipwa na wananchi wake.
Katika hotuba ya Lissu, alipinga Kodi zote ambazo serikali inazikusanya na kuzitumia kulipa polisi waliokuwa wanalinda mikutano yake, kujenga uwanja wa ndege, kulipa mishahara, kujenga lami ambayo wafuasi wake Jana walifika mikutanoni bila kuwa na vumbi.
Je, anatuahidi kufuta Kodi zote, nchi ataiendeshaje? Au Ulaya alikokuwa ana wajomba zake ambao wamemuahidi kumpa trilioni mbili Kila mwezi?
Umemaliza kaziBado maliasili zetu hazijatunufaisha kabisa.....
-Madini
-Mazao ya misitu
-Mazao ya Baharini,Maziwa na mito
-Virgin Land
-Wanyama Pori
-Rasilimali watu nk
Hivyo vyote vikitumika Kwa weledi,hatuna haja ya kukopa na kuomba omba kama Matonya
Usitake kutetea kisichokuwepo. Tozo zililalamikiwa Na watanzania kitambo sana.. Lisu ni mtu mmoja tuu Kati ya maelfu wanaolalamikia hizo tozo.Achana na chapombe wa Brussels
Hakuna Kodi iliyopokelewa kwa vigelegele, hata wakati mkapa anaweka VAT, sauti za vilio zilivuka mapaa ya mabatiUsitake kutetea kisichokuwepo. Tozo zililalamikiwa Na watanzania kitambo sana.. Lisu ni mtu mmoja tuu Kati ya maelfu wanaolalamikia hizo tozo.
Nadhani umepotosha kusema kodi zote. Aliongelea tozo.Kwa uelewa wangu, serikali inajiendesha kutokana na Kodi zinazolipwa na wananchi wake.
Katika hotuba ya Lissu, alipinga Kodi zote ambazo serikali inazikusanya na kuzitumia kulipa polisi waliokuwa wanalinda mikutano yake, kujenga uwanja wa ndege, kulipa mishahara, kujenga lami ambayo wafuasi wake Jana walifika mikutanoni bila kuwa na vumbi.
Je, anatuahidi kufuta Kodi zote, nchi ataiendeshaje? Au Ulaya alikokuwa ana wajomba zake ambao wamemuahidi kumpa trilioni mbili Kila mwezi?
Na wajinga wanamuamini. Likipata hiyo nafasi nalo litajibu: hakuna serikali inayoendeshwa bila kodi. Watanzania hawajamjua Lissu bado. HatumtakiiiiiKwa uelewa wangu, serikali inajiendesha kutokana na Kodi zinazolipwa na wananchi wake.
Katika hotuba ya Lissu, alipinga Kodi zote ambazo serikali inazikusanya na kuzitumia kulipa polisi waliokuwa wanalinda mikutano yake, kujenga uwanja wa ndege, kulipa mishahara, kujenga lami ambayo wafuasi wake Jana walifika mikutanoni bila kuwa na vumbi.
Je, anatuahidi kufuta Kodi zote, nchi ataiendeshaje? Au Ulaya alikokuwa ana wajomba zake ambao wamemuahidi kumpa trilioni mbili Kila mwezi?
Serikali haina shamba, inaendeshwa kwa Kodi.