Kama Lissu hakujifunza kwa Zitto, ajifunze kwa Dkt. Mpango

Sheria ziko tatu tu nazo ni,

1. Rule Number One: Don't outshine your Boss.
2. Rule Number Two: Don't outshine your Boss.
3. Rule Number Three: Don't outshine your Boss.

Sheria za nyongeza,

1. You can outshine the master without trying; 😳😳😳
2. Just because you’re loved, doesn’t mean you can do what you want. 😂😂😂

Lissu ajifunze kwa Dkt. Shein, Bilal, Samia, Mpango hata kwa Majaliwa.

..kuna mabosi vilaza kama Mama Abduli hata ujitahidi kiasi gani lazima utam-outshine.
 
matumizi ya kiholela yanamfanya weak kiuchumi,

hata hivyo,
mabwenyenye yamemwambia hayawezi kumtumia mlungula hali yakua yeye sio mwenyekiti wa chama.

Lazima awe mwenyekiti wa chama ndipo mlungula utumwe na umfikie yeye mwenyewe na sio kiongozi Mwingine wa chama,

Thus why akaacha umakamu mwenyekiti na kuutaka UENYEKITI kamili 🐒
sasa unakuaje kibaraka kamaa hutumiwi pesa?
Punguza taarabu
 
Akili za wafuasi wa CDM sikuzote uwa hovyo.

Mifano yao pia uwa ya upuuzi tu, makamu wa raisi na raisi wa Tanzania wapi na wapi.

Makamu wa raisi hana mamlaka yeyote ndani ya chama.

Ni sawa na kumfanyanisha raisi Samia na makamu mwenyekiti bara (kwa sasa hayupo na Zanzibar ni raisi Mwinyi).

Dr Mpango na ‘Bi-Tozo’ wapi na wapi.

Akili za CDM uwa zinawatosha wenyewe.

Lissu na Mbowe kwa CCM ni Samia na Mwinyi/au makamu wa bara angekuwepo. Halafu CCM wana system tofauti ya hao watu kutojaribu ugomvi na mwenyekiti.

Utoto
 
Sheria ziko tatu tu nazo ni,

1. Rule Number One: Don't outshine your Boss.
2. Rule Number Two: Don't outshine your Boss.
3. Rule Number Three: Don't outshine your Boss.

Sheria za nyongeza,

1. You can outshine the master without trying; 😳😳😳
2. Just because you’re loved, doesn’t mean you can do what you want. 😂😂😂

Lissu ajifunze kwa Dkt. Shein, Bilal, Samia, Mpango hata kwa Majaliwa na January.
Machawa njaa mnamshughulikia lisu
 
sasa unakuaje kibaraka kamaa hutumiwi pesa?
Punguza taarabu
anatumiwa hizo pesa wapi sasa ili zimfikie yeye mwenyewe kama wanavyotaka mabwenyenye?

kumbuka aliwahadaa mabwenyenye kwamba yeye ni influencial sana na anaweza kua mkuu wa nchi akisaidiwa kidogo tu.

basi mabwenyenye yakakubali huo uongo wa huyu kibaraka wao.

majuzi akachukua fomu kugombea umakamu mwenyekiti, kisha akakwea pipa kwenda kuripoti kwa mabwenyenye kwamba sasa wampatie ule mlungula.

Mabwenyenye wakamuuliza lete account ya chama chako, pesa itaingizwa kupitia NGO fulani iliyoko huko huko Tz.

wakamuuliza wewe si ndio mwenyekiti wa hicho chama? akasema hapana?

mabwenyenye wakacheka kwanza 🤣
wakamuuliza, wewe si ulituambia ni influencial sana huko Tz, sasa mbona unagombea umakamu mwenyekiti?🤣

kibaraka akachanganyikiwa,
akawaambia nipeni nauli tu hiyo hela nyingine mtaituma baadae, nakwenda kugombea umwenyekiti sasa 🤣

ndio maana akaja kwa pupa na mawenge kama ambavyo bado mnamuona nayo 🤣

pale alipo hana hata kumi, anatembea na tiketi ya ndege ✈️ mkononi 🐒
 
Sheria ziko tatu tu nazo ni,

1. Rule Number One: Don't outshine your Boss.
2. Rule Number Two: Don't outshine your Boss.
3. Rule Number Three: Don't outshine your Boss.

Sheria za nyongeza,

1. You can outshine the master without trying; 😳😳😳
2. Just because you’re loved, doesn’t mean you can do what you want. 😂😂😂

Lissu ajifunze kwa Dkt. Shein, Bilal, Samia, Mpango hata kwa Majaliwa.
Mkuu haya ni matumizi mabaya ya NADHARIA za watu kuhalalisha hoja zako

Huu mtihani wa cdm ndio umeanza kutuonyesha rangi halisi za wa Tz wote bila kujali chama kwamba hakuna anayetaka misingi ya demokrasia pindi maslahi yake yanapoguswa

Siioni tofauti yoyote anayofanyiwa Lissu na ambacho Fisiemu wanawafanyia wapinzani linapokuja swala la demokrasia huru

Angalau CCM wanajua ku handle pressure za chaguzi zao za ndani kwa kuepuka character assassination
Kwa namna wapambe wa Mbowe wanavyo “muua” Lissu ni kama vile dubwana lisilo faa kabisaaaa wakati kuna maisha baada ya uchaguzi
 
Akili za wafuasi wa CDM sikuzote uwa hovyo.

Mifano yao pia uwa ya upuuzi tu, makamu wa raisi na raisi wa Tanzania wapi na wapi.

Makamu wa raisi hana mamlaka yeyote ndani ya chama.

Ni sawa na kumfanyanisha raisi Samia na makamu mwenyekiti bara (kwa sasa hayupo na Zanzibar ni raisi Mwinyi).

Dr Mpango na ‘Bi-Tozo’ wapi na wapi.

Akili za CDM uwa zinawatosha wenyewe.

Lissu na Mbowe kwa CCM ni Samia na Mwinyi/au makamu wa bara angekuwepo. Halafu CCM wana system tofauti ya hao watu kutojaribu ugomvi na mwenyekiti.

Utoto
Usihusishe wana Chadema wote kwa ajili ya mtazamo wa huyo chawa wa Sultan Mbowe,please.
 
Sheria ziko tatu tu nazo ni,

1. Rule Number One: Don't outshine your Boss.
2. Rule Number Two: Don't outshine your Boss.
3. Rule Number Three: Don't outshine your Boss.

Sheria za nyongeza,

1. You can outshine the master without trying; 😳😳😳
2. Just because you’re loved, doesn’t mean you can do what you want. 😂😂😂

Lissu ajifunze kwa Dkt. Shein, Bilal, Samia, Mpango hata kwa Majaliwa na January.
Mwenyekiti wa Chadema ni Mtu wa kawaida sana

Mfano wako siyo muafaka 😂😂
 
Akili za wafuasi wa CDM sikuzote uwa hovyo.

Mifano yao pia uwa ya upuuzi tu, makamu wa raisi na raisi wa Tanzania wapi na wapi.

Makamu wa raisi hana mamlaka yeyote ndani ya chama.

Ni sawa na kumfanyanisha raisi Samia na makamu mwenyekiti bara (kwa sasa hayupo na Zanzibar ni raisi Mwinyi).

Dr Mpango na ‘Bi-Tozo’ wapi na wapi.

Akili za CDM uwa zinawatosha wenyewe.

Lissu na Mbowe kwa CCM ni Samia na Mwinyi/au makamu wa bara angekuwepo. Halafu CCM wana system tofauti ya hao watu kutojaribu ugomvi na mwenyekiti.

Utoto
Mwenyekiti wa Chadema ni Mtu wa kawaida sana

Mfano wako siyo muafaka 😂😂
Sheria ni sheria tu ina apply popote iwe kazini, kwenye ukoo, familia ya baba na mama, Mkiti na makamu, Rais na makamu wake, bi mkubwa na bi mdogo etc.
 
Back
Top Bottom