Kama Lissu hakujifunza kwa Zitto, ajifunze kwa Dkt. Mpango


..kuna mabosi vilaza kama Mama Abduli hata ujitahidi kiasi gani lazima utam-outshine.
 
sasa unakuaje kibaraka kamaa hutumiwi pesa?
Punguza taarabu
 
Akili za wafuasi wa CDM sikuzote uwa hovyo.

Mifano yao pia uwa ya upuuzi tu, makamu wa raisi na raisi wa Tanzania wapi na wapi.

Makamu wa raisi hana mamlaka yeyote ndani ya chama.

Ni sawa na kumfanyanisha raisi Samia na makamu mwenyekiti bara (kwa sasa hayupo na Zanzibar ni raisi Mwinyi).

Dr Mpango na โ€˜Bi-Tozoโ€™ wapi na wapi.

Akili za CDM uwa zinawatosha wenyewe.

Lissu na Mbowe kwa CCM ni Samia na Mwinyi/au makamu wa bara angekuwepo. Halafu CCM wana system tofauti ya hao watu kutojaribu ugomvi na mwenyekiti.

Utoto
 
Machawa njaa mnamshughulikia lisu
 
sasa unakuaje kibaraka kamaa hutumiwi pesa?
Punguza taarabu
anatumiwa hizo pesa wapi sasa ili zimfikie yeye mwenyewe kama wanavyotaka mabwenyenye?

kumbuka aliwahadaa mabwenyenye kwamba yeye ni influencial sana na anaweza kua mkuu wa nchi akisaidiwa kidogo tu.

basi mabwenyenye yakakubali huo uongo wa huyu kibaraka wao.

majuzi akachukua fomu kugombea umakamu mwenyekiti, kisha akakwea pipa kwenda kuripoti kwa mabwenyenye kwamba sasa wampatie ule mlungula.

Mabwenyenye wakamuuliza lete account ya chama chako, pesa itaingizwa kupitia NGO fulani iliyoko huko huko Tz.

wakamuuliza wewe si ndio mwenyekiti wa hicho chama? akasema hapana?

mabwenyenye wakacheka kwanza ๐Ÿคฃ
wakamuuliza, wewe si ulituambia ni influencial sana huko Tz, sasa mbona unagombea umakamu mwenyekiti?๐Ÿคฃ

kibaraka akachanganyikiwa,
akawaambia nipeni nauli tu hiyo hela nyingine mtaituma baadae, nakwenda kugombea umwenyekiti sasa ๐Ÿคฃ

ndio maana akaja kwa pupa na mawenge kama ambavyo bado mnamuona nayo ๐Ÿคฃ

pale alipo hana hata kumi, anatembea na tiketi ya ndege โœˆ๏ธ mkononi ๐Ÿ’
 
Mkuu haya ni matumizi mabaya ya NADHARIA za watu kuhalalisha hoja zako


Huu mtihani wa cdm ndio umeanza kutuonyesha rangi halisi za wa Tz wote bila kujali chama kwamba hakuna anayetaka misingi ya demokrasia pindi maslahi yake yanapoguswa

Siioni tofauti yoyote anayofanyiwa Lissu na ambacho Fisiemu wanawafanyia wapinzani linapokuja swala la demokrasia huru

Angalau CCM wanajua ku handle pressure za chaguzi zao za ndani kwa kuepuka character assassination
Kwa namna wapambe wa Mbowe wanavyo โ€œmuuaโ€ Lissu ni kama vile dubwana lisilo faa kabisaaaa wakati kuna maisha baada ya uchaguzi
 
Usihusishe wana Chadema wote kwa ajili ya mtazamo wa huyo chawa wa Sultan Mbowe,please.
 
Mwenyekiti wa Chadema ni Mtu wa kawaida sana

Mfano wako siyo muafaka ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Mwenyekiti wa Chadema ni Mtu wa kawaida sana

Mfano wako siyo muafaka ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Sheria ni sheria tu ina apply popote iwe kazini, kwenye ukoo, familia ya baba na mama, Mkiti na makamu, Rais na makamu wake, bi mkubwa na bi mdogo etc.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ