Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Mnataka kumuua tena?Sheria ziko tatu tu nazo ni,
1. Rule Number One: Don't outshine your Boss.
2. Rule Number Two: Don't outshine your Boss.
3. Rule Number Three: Don't outshine your Boss.
Sheria za nyongeza,
1. You can outshine the master without trying; 😳😳😳
2. Just because you’re loved, doesn’t mean you can do what you want. 😂😂😂
Lissu ajifunze kwa Dkt. Shein, Bilal, Samia, Mpango hata kwa Majaliwa na January.
HahahaaChadema Simba ni mmoja tu wa Kizimkazi
Huyo Mwamba alimkana Yesu mara 3 🐼
Sema machawa wa chadema ni weupe kichwaniSheria ni sheria tu ina apply popote iwe kazini, kwenye ukoo, familia ya baba na mama, Mkiti na makamu, Rais na makamu wake, bi mkubwa na bi mdogo etc.
Tofautisha etiquette (customs) to abide to voluntarily na written law.Sheria ni sheria tu ina apply popote iwe kazini, kwenye ukoo, familia ya baba na mama, Mkiti na makamu, Rais na makamu wake, bi mkubwa na bi mdogo etc.
What if your BOSS is start to become dark (kama mbowe)Sheria ziko tatu tu nazo ni,
1. Rule Number One: Don't outshine your Boss.
2. Rule Number Two: Don't outshine your Boss.
3. Rule Number Three: Don't outshine your Boss.
Sheria za nyongeza,
1. You can outshine the master without trying; 😳😳😳
2. Just because you’re loved, doesn’t mean you can do what you want. 😂😂😂
Lissu ajifunze kwa Dkt. Shein, Bilal, Samia, Mpango hata kwa Majaliwa na January.
What if your BOSS is start to become dark (kama mbowe)Sheria ziko tatu tu nazo ni,
1. Rule Number One: Don't outshine your Boss.
2. Rule Number Two: Don't outshine your Boss.
3. Rule Number Three: Don't outshine your Boss.
Sheria za nyongeza,
1. You can outshine the master without trying; 😳😳😳
2. Just because you’re loved, doesn’t mean you can do what you want. 😂😂😂
Lissu ajifunze kwa Dkt. Shein, Bilal, Samia, Mpango hata kwa Majaliwa na January.
Chawa wa Sultan Mbowe ni weupe sana hata utetezi kwa mtu wao wakati mwingine unamchafua badala ya kumsaidi.Sema machawa wa chadema ni weupe kichwani
Kwa hali ilipofikia naona neno Demokrasia tuliondoe kwenye jina la chama chetuYote haya ni Lissu kuamua kugombea uenyekiti,halafu eti ni Chama Cha Demokrasia na Maendeleo.
Acha kumtisha Lissu wewe Pro-Mbowe......Kura itakomesha mashindano.Sheria ziko tatu tu nazo ni,
1. Rule Number One: Don't outshine your Boss.
2. Rule Number Two: Don't outshine your Boss.
3. Rule Number Three: Don't outshine your Boss.
Sheria za nyongeza,
1. You can outshine the master without trying; 😳😳😳
2. Just because you’re loved, doesn’t mean you can do what you want. 😂😂😂
Lissu ajifunze kwa Dkt. Shein, Bilal, Samia, Mpango hata kwa Majaliwa na January.
Kabisa kiitwe Chama Cha Mbowe.Kwa hali ilipofikia naona neno Demokrasia tuliondoe kwenye jina la chama chetu
Kwa hali ilipofikia naona neno Demokrasia tuliondoe kwenye jina la chama chetuYote haya ni Lissu kuamua kugombea uenyekiti,halafu eti ni Chama Cha Demokrasia na Maendeleo.
Lakini tunaishi na weupe wetuSema machawa wa chadema ni weupe kichwani
Mlitaka kiitwe Lissu Development PartyKabisa kiitwe Chama Cha Mbowe.
Hivi kwa nini mnamuogopa Lissu kiasi hiki na jee tarehe 21 January 2025 akichaguliwa kuwa mwenyekiti mtaweka wapi sura zenu? Na kwa nini CCM wanawekeza nguvu kubwa Mbowe aendelee kuwa mwenyekiti wana masilahi gani na uenyekiti wa Mbowe?Mlitaka kiitwe Lissu Development Party
Fita ni fita mura hakujawahi kuwa na vita ndogo kama hamkujiandaa poleni sana.Yaani Lissu kugombea uenyekiti watu wanaleta vitabu kama vyote!
Hamna maana yoyote mnashirikiana na watekajiLakini tunaishi na weupe wetu
Hizi ni kwa kingdoms za enzi hizo ila sio democracies. Mbona Magufuli alikua anam outshine JK na bado akaachiwa uenyekiti wa CCM!!. Msijifunge kwenye sheria za kujifichia. Sasa kuchukua fomu kugombea kuna uhusiano gani na kum outshine kwenye utendaji?Halafu niliyoitaja imewekwa ya kwanza kwenye hizo 48.
Hawa nyumbu hawajui tu kuwa huu upuuzi wao umepelekea boss wao kuumbuliwa vibaya sana ,Lissu anajua uchafu mwingi wa Mbowe lakini ameamua kuwa very selective na maneno anayosema ila kwa jinsi wanavyomshambulia wakati mwingine inabidi afunguke mambo mazito,mfano.ishu ya ushahidi wa fedha za Abdul ameeleza kuwa mmoja wa member wa CC alikubaliana naye kikaoni kuwa ni kweli Abdul amewapa hela baadhi ya viongozi na ni baada ya kutoa kauli hiyo kikaoni ndipo alitekwa na kuuwawa kikatili sasa hapo huoni kuna code imefunguka juu ya chanzo.cha Ally Kibao kutekwa. Taarifa alizokuwa nazo Kibao ni mbaya sana kwani zinamgusa moja kwa moja mama.Abduli ambaye ni Rais wa nch. Hivyo dhana kuwa waliomteka ni dola lakini walipata msaada wa ndani hilo ni doa kubwa sana kwa Mbowe. Laiti watu wangekaa kimya na kuwaacha wagombea wajinadi na kisha kuacha demokrasia ichukue mkondo wake yote haya yasingeibuliwa na chanzo ni watu aina ya Retired na nyumbu wenzake wakiamini wanamtetea boss wao.Wewe na Retired mnajidhalilisha tu humu.
Mnavunja imani za watu juu ya upinzani mkimtetea boss wenu.