Kama maendeleo ya kiteknorojia kwa nchi zilizoendelea yamechagizwa na Wayahudi, Tanzania tunakwama wapi kuwakaribisha na kuoana nao?

Hivi hizi story za kahawa huwa mnazitoa wapi?
Maendeleo ya nchi zilizoendelea yameletwa na mipango bora na kuchukua talents kutoka mataifa mbalimbali na wala si wayahudi pekee.
Brain washing at its peak...
China inatengeneza vitu fake? Wewe ndiye wanatumia bidhaa za bei nafuu za china ila huyo huyo mchina anauza bidhaa grade A huko huko kwa hao kiasi kwamba wameshindwa pambana nazo wanazipiga ban au kuongeza kodi mara 100.
Kumbe hujui manufacturing industry ya China!!

Makampuni hanayotengeneza bidhaa nchini China na kupeleka bidhaa mataifa ya Magharibi, ni makampuni ya hizo hizo za Magharibi, ambayo yamewekeza China kutafuta cheap labour na soko kubwa la China. Ufahamu kuwa wachina wenye uwezo mzuri wa kifedha wanadharau bidhaa za makampuni ya wachina wenzao kutokana na uhafifu wa ubora.

Why do many American companies prefer China for their component manufacturing?

The Chinese government contributes to the companies' profit. There is no labour law in China. Goods can be manufactured cheaply in China. All American companies have their subsidiaries in China.

Ufahamu kuwa China ndiyo nchi inayoongoza Duniani kuvutia wawekezaji wa kigeni nchini mwake, na wengi hawalijui hilo. Na wakati wote viongozi wao wapo Ulaya na America kutafuta wawekezaji:

By the end of August 2023, a total of 1,150,000 foreign companies were registered in Mainland China, according to the Official data provided by the Ministry of Commerce (MOFCOM). It should be noted that, except for the other countries, the figure also includes Foreign Direct Investment (FDI) invested from Hong Kong, Macao, and Taiwan. According to the official data, China had established a total of 961,000 Foreign-Invested Enterprises (FIE) until the end of 2018, with the actual use of foreign capital of US $2.1 trillion.
 
Swali dogo la kujiuliza ni kwamba kuna cheap labor in africa na india zaidi kuliko china, why china?
 
Hivi hizi story za kahawa huwa mnazitoa wapi?
Maendeleo ya nchi zilizoendelea yameletwa na mipango bora na kuchukua talents kutoka mataifa mbalimbali na wala si wayahudi pekee.
Brain washing at its peak...
China inatengeneza vitu fake? Wewe ndiye wanatumia bidhaa za bei nafuu za china ila huyo huyo mchina anauza bidhaa grade A huko huko kwa hao kiasi kwamba wameshindwa pambana nazo wanazipiga ban au kuongeza kodi mara 100.
Mkuu, kajifunze tena kuhusu soko na bidhaa za China!

China inanufaika sana na sera ya viwanda nchini kwake

Wawekezaji kutoka mataifa mbalimbali, hawaruhusiwi kutumia jina la nchi watokazo kwenye bidhaa zote wanazozalisha nchini China

Lakini wachina kama wachina, hasa wenye uwezo, kwanza hawanunui bidhaa zzinazotengenezwa na wachina wenzao

Wachina kwa uwingi wao ambao hawana uwezo wa kununua bidhaa bora kutoka kwa viwanda vya wawekezaji wa nje ambazo ndio bora, nao huishia kunu ua bidhaa feki kama tunazoletewa huku Africa
 
Kuna uongo mwingi sana kuhusu hao watu!

Maendeleo ya sayansi na teknolojia ni mchango wa watu wa jamii mbalimbali, wakiwemo kwa kiasi kikubwa Wagiriki wa kale waliojenga misingi ambayo mpaka leo inatumiwa katika kuvumbua na kugundua vitu mbalimbali.

Nashangaa mpaka sasa hamjadai Elon Musk
Mukesh Ambani, na Jeff Bezos kuwa ni Wayahudi.

Hata Aliko Dangote ni Myahudi 🤣.
Kwanza hujaelewa, sio matajiri, wagunduzi
 
Kuna uongo mwingi sana kuhusu hao watu!

Maendeleo ya sayansi na teknolojia ni mchango wa watu wa jamii mbalimbali, wakiwemo kwa kiasi kikubwa Wagiriki wa kale waliojenga misingi ambayo mpaka leo inatumiwa katika kuvumbua na kugundua vitu mbalimbali.

Nashangaa mpaka sasa hamjadai Elon Musk
Mukesh Ambani, na Jeff Bezos kuwa ni Wayahudi.

Hata Aliko Dangote ni Myahudi 🤣.
Elon Musk, Mukesh Ambani na Jeff Bezos hawajafanya inventions zozote wao kama wao, zaidi sana ni innovations ambazo wamewatumia watu wengine kuboresha biashara zao.
 
Iran, USA, Russia, Ujeruman, UK, Korea zote, Japan, mkono wa Myahudi upo!

Kazi za kubuni na kutengeneza, hao jamaa Mungu amewabariki

Imefika wakati kwamba, kila nchi ambayo inawayahudi walipewa nafasi serikalin

Nchi hiyo inakuwa hatari kwenye nyanja zote za kijeshi n.k

Sehemu hakuna myahudi, kuna siraha fek kama China

Ifike wakati nchi yetu ione namna ya kuwakaribisha hawa watu nchini kwetu na ama kuchanganya damu nao

Tumekuwa na warabu na hadi tumeoana nao lakini wapi, wahindi, hakuna kitu

Africa na Tanzania tunakwama wapi?

Kama kukaa na ama kuoana na Wayahudi ni furusa' basi tumecheleweshwa sana na hizi rangi zingine
Kuna mda akili zenu cjui mnazitoa wapi ..ebu anza ww nenda tel Aviv kaoe uje na mwali wa kiyahudi .
We wataka taifa zima tuka waoe wayahudi na unajua kabisa Israel mashoga wengi kuliko wanawake unapenda nchi yako kweli
 
Mtu kama mleta mada ni aina ya wakristo ambao wakiwa wachungaji wanaleta vituko kwa jamii
Kama yule mchungaji alietoka na waumini wake mpk airport na kuanza kufanya maombi ili waende Israel kwa miujiza.
Polisi walitumia ustaraab ila walitakiwa kuwekwa kituo cha staki Shari wote maana walitia aibu kanisa
 
Waarabu wametuletea mambo ya kurujuani na jini maimuna. Humu tulipigwa hakuna kitu.
Iran, USA, Russia, Ujeruman, UK, Korea zote, Japan, mkono wa Myahudi upo!

Kazi za kubuni na kutengeneza, hao jamaa Mungu amewabariki

Imefika wakati kwamba, kila nchi ambayo inawayahudi walipewa nafasi serikalin

Nchi hiyo inakuwa hatari kwenye nyanja zote za kijeshi n.k

Sehemu hakuna myahudi, kuna siraha fek kama China

Ifike wakati nchi yetu ione namna ya kuwakaribisha hawa watu nchini kwetu na ama kuchanganya damu nao

Tumekuwa na warabu na hadi tumeoana nao lakini wapi, wahindi, hakuna kitu

Africa na Tanzania tunakwama wapi?

Kama kukaa na ama kuoana na Wayahudi ni furusa' basi tumecheleweshwa sana na hizi rangi zingine
 
k

kwanza uelewe kua hawakubali kuchanganyika na mataifa mengine.
Ingawa wapo
ila wengi hupenda na sheria zao za dini zinawakataza kuoa mataifa
 
Mtu kama mleta mada ni aina ya wakristo ambao wakiwa wachungaji wanaleta vituko kwa jamii
Kama yule mchungaji alietoka na waumini wake mpk airport na kuanza kufanya maombi ili waende Israel kwa miujiza.
Polisi walitumia ustaraab ila walitakiwa kuwekwa kituo cha staki Shari wote maana walitia aibu kanisa
Kwa vigezo gani umevitumia kubaini hiki ulichosema,

Si kila anayetaja Wayahudi ni Mkristo na si kila anayefagilia waarabu ni Muislamu

Koma wewe
 
Mkuu, kajifunze tena kuhusu soko na bidhaa za China!

China inanufaika sana na sera ya viwanda nchini kwake

Wawekezaji kutoka mataifa mbalimbali, hawaruhusiwi kutumia jina la nchi watokazo kwenye bidhaa zote wanazozalisha nchini China

Lakini wachina kama wachina, hasa wenye uwezo, kwanza hawanunui bidhaa zzinazotengenezwa na wachina wenzao

Wachina kwa uwingi wao ambao hawana uwezo wa kununua bidhaa bora kutoka kwa viwanda vya wawekezaji wa nje ambazo ndio bora, nao huishia kunu ua bidhaa feki kama tunazoletewa huku Africa
Unajua wewe jamaa ni mjinga sana halafu unajifanya mjuaji mbaya sana hii
 
Elon Musk, Mukesh Ambani na Jeff Bezos hawajafanya inventions zozote wao kama wao, zaidi sana ni innovations ambazo wamewatumia watu wengine kuboresha biashara zao.
Einstein alivumbua nini?

Rothschild alivumbua nini?
 
Israel akili kubwa na hekima kubwa. Vifaa vyote vya ndege vinatoka kwao, soft ware
 
Bose-Einstein Condensate(BEC)
E=MC^2
🤣

1. Bose-Einstein Condensate siyo invention. Satyendra Nath Bose ndo aliliwakilisha hilo wazo kwa Einstein. Baadaye Einstein ndo akaliendeleza.

Bose alikuwa Mhindi. Naye alichukua baadhi ya mawazo yake toka kwa Max Planck, Mjerumani ambaye alikuwa ni Mluteri [Lutheran].

2. E=MC² siyo invention! Na wala Einstein hakuwa mtu wa kwanza kuhusisha energy na mass.

Isaac Newton kwenye kitabu chake cha Opticks aliligusia hilo suala.

Emanuel Swadenborg, Mswiden, naye alilizungumzia hilo suala kabla ya Einstein, kwenye karne ya 18.

Mfaransa Henri Poincaré naye alilifanyia kazi hilo wazo.

Kuna wengine wengi tu ambao nao walilifanyia kazi hilo wazo.

Baadaye ndo Einstein akaja kuliweka vizuri na kilichobaki kikawa historia.

Einstein hakuamka tu siku moja akaandika “E=MC²”. Hiyo kazi ilofanywa na watu wengi kabla yake na yeye akaja kuboresha tu kilichoanzishwa na wengine.
 
Usa kupitia loby wao ndo hupeleka huduma Huko .na lengo lao ni ili wasitengwe na. Dunia ila mataifa hasim na isreli wakiitaka hudum wanamwambie ipo isrel ili kuipata lazima uwe. Na mahusiano mazuri na hiyo nchi mfano kwenye secta ya kilimo
 
Back
Top Bottom