Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Kumbe hujui manufacturing industry ya China!!Hivi hizi story za kahawa huwa mnazitoa wapi?
Maendeleo ya nchi zilizoendelea yameletwa na mipango bora na kuchukua talents kutoka mataifa mbalimbali na wala si wayahudi pekee.
Brain washing at its peak...
China inatengeneza vitu fake? Wewe ndiye wanatumia bidhaa za bei nafuu za china ila huyo huyo mchina anauza bidhaa grade A huko huko kwa hao kiasi kwamba wameshindwa pambana nazo wanazipiga ban au kuongeza kodi mara 100.
Makampuni hanayotengeneza bidhaa nchini China na kupeleka bidhaa mataifa ya Magharibi, ni makampuni ya hizo hizo za Magharibi, ambayo yamewekeza China kutafuta cheap labour na soko kubwa la China. Ufahamu kuwa wachina wenye uwezo mzuri wa kifedha wanadharau bidhaa za makampuni ya wachina wenzao kutokana na uhafifu wa ubora.
Why do many American companies prefer China for their component manufacturing?
The Chinese government contributes to the companies' profit. There is no labour law in China. Goods can be manufactured cheaply in China. All American companies have their subsidiaries in China.
Ufahamu kuwa China ndiyo nchi inayoongoza Duniani kuvutia wawekezaji wa kigeni nchini mwake, na wengi hawalijui hilo. Na wakati wote viongozi wao wapo Ulaya na America kutafuta wawekezaji:
By the end of August 2023, a total of 1,150,000 foreign companies were registered in Mainland China, according to the Official data provided by the Ministry of Commerce (MOFCOM). It should be noted that, except for the other countries, the figure also includes Foreign Direct Investment (FDI) invested from Hong Kong, Macao, and Taiwan. According to the official data, China had established a total of 961,000 Foreign-Invested Enterprises (FIE) until the end of 2018, with the actual use of foreign capital of US $2.1 trillion.