Kama maendeleo ya kiteknorojia kwa nchi zilizoendelea yamechagizwa na Wayahudi, Tanzania tunakwama wapi kuwakaribisha na kuoana nao?

we bwana hapo kwa Einstein acha kumdharau, formular yake ya e=mc2, helps humans understand the universe na general theory of relativity ni muhimu sana.
 
Unaona umechambuu mwenyewe juu huko umesema wachina bidhaa zinatengenezwa na wazungu kwa kuita kampuni zao chini unasema wachina wenye pesa hawanunui bidhaa zakwao hueleweki unasema nini ila tu nakukumbusha uchina anauza bidhaa mpaka Ulaya na marekani
 
Muache kuropoka na bidhaa za china zinazopelekwa Ulaya na marekani nazo zinaenda kuuzwa kwa watu wasokua na uwezo huko
 
Unataka kuleta cancer sasa ilo ni janga kaa nalo mbali
 
Kwahio na zile gari za Umeme ambazo China ameamua kuanza kutengeneza na hivyo kuwa cheaper na competitive duniani ila Europe na USA wameamua kuwawekea tariffs ili washindwe kuuza hao Ulaya na USA wameamua kujipiga speed governor ?

Achani Story as of now China is the Industry of the world their capacity to adapt and manufacture within time is out of this world..., na tuache kwenye manufacturing pekee hata construction waliishangaza dunia...


View: https://youtu.be/AhLk7L1B_fE?si=1-ex7T6Q5cfass4A
Wakati wachina wanatengeneza wall of China na Kutumia kilimo cha circular agriculture (using night soil) ulaya walikuwa wanajisaidia barabarani na USA ilikuwa na wenyewe Red Indians...
 
Wapo Dodoma mbona hapo Kuna taasisi yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…