Kama maendeleo ya kiteknorojia kwa nchi zilizoendelea yamechagizwa na Wayahudi, Tanzania tunakwama wapi kuwakaribisha na kuoana nao?

Swali zuri!

Watu wanapenda sana kulitaja jina la Rothschild, kwa mfano, ili kuonyesha ushahidi wa mafanikio ya Wayahudi.

Hao akina Rothschild wamevumbua au kugundua nini zaidi ya wao kuwa wajasiriamali tu kama akina Mukesh Ambani na Elon Musk?

Hao akina Rothschild wamerithishana tu mali. Halafu ni familia nzima. Hivyo, hata utajiri wao ni wa kifamilia zaidi na sidhani wana utajiri mkubwa kivile.

Haya, tuje hata kwa Albert Einstein, huyu alivumbua kitu gani kilichoboresha maisha ya mwanadamu?

Thomas Edison, Alexander Graham Bell, na Guglielmo Marconi, hawa uvumbuzi wao mpaka leo hii bado tunafaidika nao katika maisha yetu ya kila siku na hakuna mmoja wao kati yao ambaye ni Myahudi.
we bwana hapo kwa Einstein acha kumdharau, formular yake ya e=mc2, helps humans understand the universe na general theory of relativity ni muhimu sana.
 
Kumbe hujui manufacturing industry ya China!!

Makampuni hanayotengeneza bidhaa nchini China na kupeleka bidhaa mataifa ya Magharibi, ni makampuni ya hizo hizo za Magharibi, ambayo yamewekeza China kutafuta cheap labour na soko kubwa la China. Ufahamu kuwa wachina wenye uwezo mzuri wa kifedha wanadharau bidhaa za makampuni ya wachina wenzao kutokana na uhafifu wa ubora.

Why do many American companies prefer China for their component manufacturing?

The Chinese government contributes to the companies' profit. There is no labour law in China. Goods can be manufactured cheaply in China. All American companies have their subsidiaries in China.

Ufahamu kuwa China ndiyo nchi inayoongoza Duniani kuvutia wawekezaji wa kigeni nchini mwake, na wengi hawalijui hilo. Na wakati wote viongozi wao wapo Ulaya na America kutafuta wawekezaji:

By the end of August 2023, a total of 1,150,000 foreign companies were registered in Mainland China, according to the Official data provided by the Ministry of Commerce (MOFCOM). It should be noted that, except for the other countries, the figure also includes Foreign Direct Investment (FDI) invested from Hong Kong, Macao, and Taiwan. According to the official data, China had established a total of 961,000 Foreign-Invested Enterprises (FIE) until the end of 2018, with the actual use of foreign capital of US $2.1 trillion.
Unaona umechambuu mwenyewe juu huko umesema wachina bidhaa zinatengenezwa na wazungu kwa kuita kampuni zao chini unasema wachina wenye pesa hawanunui bidhaa zakwao hueleweki unasema nini ila tu nakukumbusha uchina anauza bidhaa mpaka Ulaya na marekani
 
Mkuu, kajifunze tena kuhusu soko na bidhaa za China!

China inanufaika sana na sera ya viwanda nchini kwake

Wawekezaji kutoka mataifa mbalimbali, hawaruhusiwi kutumia jina la nchi watokazo kwenye bidhaa zote wanazozalisha nchini China

Lakini wachina kama wachina, hasa wenye uwezo, kwanza hawanunui bidhaa zzinazotengenezwa na wachina wenzao

Wachina kwa uwingi wao ambao hawana uwezo wa kununua bidhaa bora kutoka kwa viwanda vya wawekezaji wa nje ambazo ndio bora, nao huishia kunu ua bidhaa feki kama tunazoletewa huku Africa
Muache kuropoka na bidhaa za china zinazopelekwa Ulaya na marekani nazo zinaenda kuuzwa kwa watu wasokua na uwezo huko
 
Iran, USA, Russia, Ujeruman, UK, Korea zote, Japan, mkono wa Myahudi upo!

Kazi za kubuni na kutengeneza, hao jamaa Mungu amewabariki

Imefika wakati kwamba, kila nchi ambayo inawayahudi walipewa nafasi serikalin

Nchi hiyo inakuwa hatari kwenye nyanja zote za kijeshi n.k

Sehemu hakuna myahudi, kuna siraha fek kama China

Ifike wakati nchi yetu ione namna ya kuwakaribisha hawa watu nchini kwetu na ama kuchanganya damu nao

Tumekuwa na warabu na hadi tumeoana nao lakini wapi, wahindi, hakuna kitu

Africa na Tanzania tunakwama wapi?

Kama kukaa na ama kuoana na Wayahudi ni furusa' basi tumecheleweshwa sana na hizi rangi zingine
Unataka kuleta cancer sasa ilo ni janga kaa nalo mbali
 
Kumbe hujui manufacturing industry ya China!!

Makampuni hanayotengeneza bidhaa nchini China na kupeleka bidhaa mataifa ya Magharibi, ni makampuni ya hizo hizo za Magharibi, ambayo yamewekeza China kutafuta cheap labour na soko kubwa la China. Ufahamu kuwa wachina wenye uwezo mzuri wa kifedha wanadharau bidhaa za makampuni ya wachina wenzao kutokana na uhafifu wa ubora.

Why do many American companies prefer China for their component manufacturing?

The Chinese government contributes to the companies' profit. There is no labour law in China. Goods can be manufactured cheaply in China. All American companies have their subsidiaries in China.

Ufahamu kuwa China ndiyo nchi inayoongoza Duniani kuvutia wawekezaji wa kigeni nchini mwake, na wengi hawalijui hilo. Na wakati wote viongozi wao wapo Ulaya na America kutafuta wawekezaji:

By the end of August 2023, a total of 1,150,000 foreign companies were registered in Mainland China, according to the Official data provided by the Ministry of Commerce (MOFCOM). It should be noted that, except for the other countries, the figure also includes Foreign Direct Investment (FDI) invested from Hong Kong, Macao, and Taiwan. According to the official data, China had established a total of 961,000 Foreign-Invested Enterprises (FIE) until the end of 2018, with the actual use of foreign capital of US $2.1 trillion.
Kwahio na zile gari za Umeme ambazo China ameamua kuanza kutengeneza na hivyo kuwa cheaper na competitive duniani ila Europe na USA wameamua kuwawekea tariffs ili washindwe kuuza hao Ulaya na USA wameamua kujipiga speed governor ?

Achani Story as of now China is the Industry of the world their capacity to adapt and manufacture within time is out of this world..., na tuache kwenye manufacturing pekee hata construction waliishangaza dunia...

View: https://youtu.be/AhLk7L1B_fE?si=1-ex7T6Q5cfass4A

Wakati wachina wanatengeneza wall of China na Kutumia kilimo cha circular agriculture (using night soil) ulaya walikuwa wanajisaidia barabarani na USA ilikuwa na wenyewe Red Indians...
 
Wapo Dodoma mbona hapo Kuna taasisi yao

Back
Top Bottom