Kama mafuta yatapatikana kesho au keshokutwa Baada ya bei kupanda ntaidharau sana serikali hii

Kama mafuta yatapatikana kesho au keshokutwa Baada ya bei kupanda ntaidharau sana serikali hii

Nilikuwa na mafuta kidogo kwenye gari. Nimezunguka vituo kibao mafuta hakuna, nimeahirisha safari muhimu. Afadhali mzuge zuge mafuta yapatikane wiki ijayo. Kama endapo mafuta yatapatika kesho Baada ya bei kupanda for sure tutajua Serikali imeshatekwa.
Umewafinika Intelligence
 
Hapa ndio utajua ubabe wa mjomba Magu ulikua unasaidia, kwenye hali kama hii ndio kiongozi anatakiwa kuchukua point 3 muhimu kwa kufanya jambo haijalishi atatumia busara au ubabe, lakini bibi yenu ametulia kama hayupo sijui atazindukia wapi🤦🤦🤷🤷
 
Back
Top Bottom