Nilikuwa na mafuta kidogo kwenye gari. Nimezunguka vituo kibao mafuta hakuna, nimeahirisha safari muhimu. Afadhali mzuge zuge mafuta yapatikane wiki ijayo. Kama endapo mafuta yatapatika kesho Baada ya bei kupanda for sure tutajua Serikali imeshatekwa.
Hapa ndio utajua ubabe wa mjomba Magu ulikua unasaidia, kwenye hali kama hii ndio kiongozi anatakiwa kuchukua point 3 muhimu kwa kufanya jambo haijalishi atatumia busara au ubabe, lakini bibi yenu ametulia kama hayupo sijui atazindukia wapi🤦🤦🤷🤷