Kama Magufuli alikuwa kichaa kama watu wanavyodai, kwanini Kikwete na Mkapa walimteua kama Waziri?

Mtu kuwa na matatizo ya akili si moja Kwa moja NI kichaa.

Matatizo ya akili ni Kama magonjwa mengine yaani Yana stages.

Mtu kushindwa kujidhibit pind ukikasirika ni tatizo la akili.

Wenye matatizo ya akili tungali nap wengi mitaani .
Wewe una tatizo la akili?
 
Mpumbavu wewe nani akupige ban!? Kwa kipi cha maana ulichoandika.!? Kama unampenda sana fuata ushauri wa Zitto, nenda Chato ukalale kaburini mwake.
Acha kutoa povu Dogo. Kama Mwamba Magufuli alikuwa mbaya babaako na mamaako ambao ni wazuri sana wana kipi walichotufanyia sie Watanzania? Si ajabu hata wewe umesoma kwa mkopo enzi za Mwamba Magufuli kwasababu wazazi wako walishindwa kukusomesha mbwa wewe! Nasubiria ban kwa Hisani ya Mwamba Magufuli ambaye nitamtetea daima!!!!
 
Lini ulianza utaratibu wa kupima utimamu wa afya ya akili kwa wagombea wa CCM?
 
Wanaosema hivyo ni matapeli tu. Kichaa hawezi kufanya makubwa kama aliyofanya magufuli. Leo yanayeteleza kwa SGR na ndege za Boeing kwa akili ya magufuli. Kichaa ni haya yasiyoona mazuri yake. Yamerogwa
 
Bongo kila kitu kinawezekana.

Hata Kingwendu akijipanga vizuri, kesho anaweza kuwa Amiri Jeshi Mkuu na mpaka astaafu, atakuwa na PhD za heshima za kutosha kabisa kutoka vyuo vya jalalani, n.k.

Sisi tu ndio tunalialia.
Kiongozi pambana;

Changamoto ya kutokupambana utawaona kila waliopambana na kufanikiwa hawakustahili. Dunia inawapa wanachohitaji wapambanaji pekee. Kama Kingwendu akihustle na kufikia level hiyo, shida nini???

Mind you, Trump amekuwa Rais USA, Boris amekuwa PM UK, Gachagua amekuwa Deputy President Kenya na wengine wengi… Wamehustle sana….

Shida yetu watanzania Mtu Akifanikiwa tuna pambana kumkejeli, hadi unakejeli Uamiri Jeshi Mkuu wa Nchi yetu; Kumbuka who ever gets the Chair amestahili, Imagine toka Nchi yetu ijitawale tuna watu sita tu wameshika hiyo nafasi so far; it is not easy ndugu
 
Nyerere alikuwa ana matatizo ya akili. Nilikaa na Mzee Lawi Sijaona Nangwanda akasema enzi zao kuna wakati Nyerere alikuwa anafichwa kabisa asionekane kwa sababu alikuwa na circles zake.

Hata yule kaka mkubwa anayekuja hapa naye mara nyingine yuko poa, mara nyingine tia maji tia maji.

Wanaojua wanajua.
 
Wapo wengi tu afya zao za akili zinatia mashaka kwa kauli zao na vitendo vyao , mkuu wa mkoa mmoja alivyoelezwa kero ya Machangudoa mtaani aliwajibu wanachi wanaona kero wauze nyumba wahame yeye hawezi kuwatoa Machangudoa kwani akitoka kusikiliza kero za wananchi anaenda kwa haohao kuburudika , wanachi walimlaani balaa muda so mrefu akapata kesi ya kulawiti huko Mwanza. Aliruhusu pia Kanisa linaloongozwa na kichaa upiga muziki mkubwa usiku kucha mchana kutwa mpaka leo lipo.
 
Hivi kuna mtu mwenye matatizo ya akili ambaye anaweza kuwa narrative kama Nyerere ?? Self expression! Acha mapungufu yake ya utawala. Yule jamaa alikuwa anajua kuongea na approach yake ilikuwa nzuri. Sasa hii ya kusema alikuwa na matatizo ya akili is too low. Cancel culture
 
Akupige ban nani wewe mpumbavu!? Baba yangu na mama yangu uliwapa wewe dhamana ya kuongoza nchi!? Hata nikisoma kwa mkopo, kwani pesa ni za baba yake magufuli au zilikuwa zake.!? By the way Nyerere alisomesha watu bure akiwemo huyo magufuli, je pesa zilikuwa za kwake Nyerere!? Punguza upumbavu Aisee!
 
Hata yeye [jamaa uliyemnukuu] kuna watu wanasema ana matatizo ya akili.

Kazi kweli kweli.
 
Hongera na safi sana kwa maswali mazuri. Baada ya kusoma hapa ikabidi niende Youtube kwenye zile video kuangalia comment.

Aisee, nimegundua Jamii Forums inawafuata upepo na machawa wengi ambao uwezo wa kufikiri umeshikiriwa na watu.
Kwa yale maoni ya huko Youtube nahisi huyo mwandishi na mtunzi wa kitabu wanajilaumu na kujutia walichokifanya.
 
Sio hilo tu mkuuz! Kapewa kuliongiza taifa miaka 5, Alafu ya NEC Chama kikongwe kabisa Africa CCM ikamteua tena kuwa Rais kwa awamu ya pili! Hao makuwadi wa mabeberu hao ndo vichaa! Magufuli alikuwa kiongozi bora na wa mfano wa kuigwa Africa
 
Mkuu,

Kama hujayajua matatizo yote ya akiki si rahisi kuelewa.

Therw is a thin line between genius and madness.

Katika sayansi kuna mifano mingi ya ma genius walikuwa na matatizo ya akiki.

Soma story ya mtu anaitwa Georg Cantor jamaa genius alikuwa anacheza na mahesabu ya infinity mpaka akawa kichaaa.
 
Ukisikia yalaaaaah! Ujue limempata! Ahahahahaha!!!!
 
Hii sasa Mpya kumbe hakuteuliwa na Kamati Kuu kama Mlivyotwambia mwanzo
 

Kwani Hao waliomteuwa , wewe unawaona wana akili ?
 
Yule bwana alikuwa kichaa wa mageuzi kama kina alexander the great, sankara, Castro, Tesla, Napoleon, wenzake wote waliomzunguka wanaona haiwezakani yeye aliona inawezekana lazima wakuone kichaa.
Na wizara zote ali overpoform.
Yaani alimudu nafasi ya uwaziri miaka 20 kwa marais wawili tofauti alafu mnatuambia nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…