kimbomba25
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 1,160
- 2,117
Mimi mtazamaji, lakini napenda minyukano ya hoja pasipo kutwezana.Jiwe gizani limekuibua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi mtazamaji, lakini napenda minyukano ya hoja pasipo kutwezana.Jiwe gizani limekuibua.
Mama mzazi wa Magufuli alimuonya sana Kikwette kuhusu kumfanya Magufuli awe mgombea wa CCM.Kama ni kweli Rais Magufuli alikuwa ni kichaa, kwa nini marais Mkapa na Kikwete walimteua kuwa kwenye mabaraza yao ya mawaziri?
Baadhi ya watu wanadai kuwa alikuwa na faili lake pale Mirembe [sijui waliliona wapi hilo faili 🤷♂️].
Mtu kichaa, mwenye faili Mirembe, anateuliwa kuwepo kwenye baraza la mawaziri na marais wawili tofauti.
Pia soma: Ukichaa wa Magufuli na propaganda zinazoendelea
Baada ya hapo, chama hicho hicho cha hao marais waliomteua kwenye mabaraza yao ya mawaziri, kinamteua kuwa mgombea urais wao.
Huo ugonjwa wake wa akili ulianza lini? Baada ya yeye kula kiapo cha kuwa Rais?
Marais wawili, with all the state resources at their disposal, wanamteua ‘kichaa’ kutumikia kwenye serikali zao!
How?
Make it make sense. Please.
Inawezekana wote tuna matatizo ya akili, tunazidiana viwango tu.Huyo Mzee Lawi Sijaona Nangwanda yeye hakuwa na matatizo ya akili?
Wana akili timamu.
Mkuu,Kwa hiyo uliamini? Lawi Sijaona?
Na gongo akitumiaThe theater of the absurd.
You are preaching about the benefits of wine but you are drinking whisky.Be specific.Mimi mtazamaji, lakini napenda minyukano ya hoja pasipo kutwezana.
Mnaongea mambo magumu🤔🤔🤔Kama ni kweli Rais Magufuli alikuwa ni kichaa, kwa nini marais Mkapa na Kikwete walimteua kuwa kwenye mabaraza yao ya mawaziri?
Baadhi ya watu wanadai kuwa alikuwa na faili lake pale Mirembe [sijui waliliona wapi hilo faili 🤷♂️].
Mtu kichaa, mwenye faili Mirembe, anateuliwa kuwepo kwenye baraza la mawaziri na marais wawili tofauti.
Pia soma: Ukichaa wa Magufuli na propaganda zinazoendelea
Baada ya hapo, chama hicho hicho cha hao marais waliomteua kwenye mabaraza yao ya mawaziri, kinamteua kuwa mgombea urais wao.
Huo ugonjwa wake wa akili ulianza lini? Baada ya yeye kula kiapo cha kuwa Rais?
Marais wawili, with all the state resources at their disposal, wanamteua ‘kichaa’ kutumikia kwenye serikali zao!
How?
Make it make sense. Please.
Huyo mama si ni mgonjwa siku nyingi tu!Mama mzazi wa Magufuli alimuonya sana Kikwette kuhusu kumfanya Magufuli awe mgombea wa CCM.
Mkapa kwa sababu alimuibua kwa mara ya kwanza kuwa NW Ujenzi na kisha kumpa uwaziri, alidhani kuwa ataweza kumdhubiti kama Nyerere alivyomdhubuiti Mwinyi.
Kuhusu faili la ukichaa Mirembe: TISS walifanya kazi yao lakini Waziri wa Utawala Bora wa wakati huo Chikawe alificha faili lisifike kwenye kamati kuu ya CCM.
Baada ya kustaafu Chikawe mwaka 2016 akazawadiwa Ubalozi huko Japan
Hata kama wengine tuna matatizo ya akili, hatujagombea uongozi wa umma.Hivi binadamu au mtanzania gani ambaye anaweza kusema yupo huru au hana matatizo ya akili?
Hivi nyie watu wengi wa JF mnaojiita Great Thinkers na msiyo na matatizo ya akili mmewasaidia nini watanzania ukiacha uchawa wenu na ukuwadi?
Mnapata wapi ujasiri wa kumzodoa hayati na kusema alikuwa na matatizo ya akili?
Kweli kichaa anawaona wengine ni vichaa isipokuwa yeye tu in Kanumba Voice. Ndo member wengi wa JF mlivyo, nyie ni vichaa ila hamjujui
Anacheti pale Mile ,tukupe id yake?Huyo mama si ni mgonjwa siku nyingi tu!
Kwa hiyo, kama unachosema ni kweli, huyo mama alikuwa okay na Magufuli kuwa waziri lakini siyo kuwa Rais?
This is Chai tea 🤣.
Kumtetea huyu mtu, ni kazi ngumu sana.
Kama Kichaa alikuwa Rais, huyo mzima alikuwa wapi?Kama ni kweli Rais Magufuli alikuwa ni kichaa, kwa nini marais Mkapa na Kikwete walimteua kuwa kwenye mabaraza yao ya mawaziri?
Baadhi ya watu wanadai kuwa alikuwa na faili lake pale Mirembe [sijui waliliona wapi hilo faili 🤷♂️].
Mtu kichaa, mwenye faili Mirembe, anateuliwa kuwepo kwenye baraza la mawaziri na marais wawili tofauti.
Pia soma: Ukichaa wa Magufuli na propaganda zinazoendelea
Baada ya hapo, chama hicho hicho cha hao marais waliomteua kwenye mabaraza yao ya mawaziri, kinamteua kuwa mgombea urais wao.
Huo ugonjwa wake wa akili ulianza lini? Baada ya yeye kula kiapo cha kuwa Rais?
Marais wawili, with all the state resources at their disposal, wanamteua ‘kichaa’ kutumikia kwenye serikali zao!
How?
Make it make sense. Please.
Kaka watu wa humu wanapenda kuuziana chai na story za vijiweni ambazo hazina ushahidi.Kama ni kweli Rais Magufuli alikuwa ni kichaa, kwa nini marais Mkapa na Kikwete walimteua kuwa kwenye mabaraza yao ya mawaziri?
Baadhi ya watu wanadai kuwa alikuwa na faili lake pale Mirembe [sijui waliliona wapi hilo faili 🤷♂️].
Mtu kichaa, mwenye faili Mirembe, anateuliwa kuwepo kwenye baraza la mawaziri na marais wawili tofauti.
Pia soma: Ukichaa wa Magufuli na propaganda zinazoendelea
Baada ya hapo, chama hicho hicho cha hao marais waliomteua kwenye mabaraza yao ya mawaziri, kinamteua kuwa mgombea urais wao.
Huo ugonjwa wake wa akili ulianza lini? Baada ya yeye kula kiapo cha kuwa Rais?
Marais wawili, with all the state resources at their disposal, wanamteua ‘kichaa’ kutumikia kwenye serikali zao!
How?
Make it make sense. Please.
Psychopaths are everywhere. Many are well-functioning individuals in society, high achievers, non-compromising types. Magufuli was a psychopath. Kabendera presents his characterization of Magufuli with a lot of conviction. I believe him when he says his book has gone through years of tedious and careful editorial and legal due diligence before final publishing.
Ukichaa uko wa aina nyingi na una stages zake, as report ya mtaalam kuwa watanzania wengi wana ukichaa haimaanishi wanaokota makopoKama ni kweli Rais Magufuli alikuwa ni kichaa, kwa nini marais Mkapa na Kikwete walimteua kuwa kwenye mabaraza yao ya mawaziri?
Baadhi ya watu wanadai kuwa alikuwa na faili lake pale Mirembe [sijui waliliona wapi hilo faili 🤷♂️].
Mtu kichaa, mwenye faili Mirembe, anateuliwa kuwepo kwenye baraza la mawaziri na marais wawili tofauti.
Pia soma: Ukichaa wa Magufuli na propaganda zinazoendelea
Baada ya hapo, chama hicho hicho cha hao marais waliomteua kwenye mabaraza yao ya mawaziri, kinamteua kuwa mgombea urais wao.
Huo ugonjwa wake wa akili ulianza lini? Baada ya yeye kula kiapo cha kuwa Rais?
Marais wawili, with all the state resources at their disposal, wanamteua ‘kichaa’ kutumikia kwenye serikali zao!
How?
Make it make sense. Please.
Chai hizi!!! Ulikuwepo wakati huyo bi mkubwa akimuonya Kikwete. Huyo Kikwete na Mkapa ukiwambia wakutajie mawaziri wake bora watakuambia Magu, Kikwete alikuwa akimwita Magu Jembe. Hebu achenii kuwauzia watu chai na story zenu za kutunga.Mama mzazi wa Magufuli alimuonya sana Kikwette kuhusu kumfanya Magufuli awe mgombea wa CCM.