imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Ninyi Wahutu wenzake mlikua mkifaidika na utawala wake.Who the hell lied to you? You’re naive.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninyi Wahutu wenzake mlikua mkifaidika na utawala wake.Who the hell lied to you? You’re naive.
Kwa hiyo unataka kusema Watanzania wote wana ugonjwa wa akili sawa?Ebu tuoneshe Watanzania ambao hawana ugonjwa wa akili wanaopaswa kuwa viongozi wa nchi?
Acheni kuwa mnachafua watu kwa hoja mfu ambazo mkiambiwa mzitetee mbele ya watu hamna uwezo huo.
Semeni mapungufu ya viongozi kwa hoja siyo vioja. Hao wazungu mnaowaona wa maana hadi mnakuwa makuhadi wao kila siku wanakamata raia wao kwa makosa ya uahini na hawavumilii usaliti hata kimoja.
Kwa sababu Tanzania hatuna ustaarabu na utamaduni wa kufuata sheria tunadiriki kuwadharirisha viongozi kwa tuhuma hewa.
Ndio nini hiyo narcissismSio wote wenye mafaili Mirembe ni vichaa. Kuna magonjwa ya akili mfano Narcissism ambayo ni mabaya sana na akiwa nayo mtu mwenye power ni hatari mno.
Wewe ni kichaa?Ukichaa uko wa aina nyingi na una stages zake, as report ya mtaalam kuwa watanzania wengi wana ukichaa haimaanishi wanaokota makopo
Uteuzi wake ulikua wa ghafla sana,haukupangwaKama ni kweli Rais Magufuli alikuwa ni kichaa, kwa nini marais Mkapa na Kikwete walimteua kuwa kwenye mabaraza yao ya mawaziri?
Baadhi ya watu wanadai kuwa alikuwa na faili lake pale Mirembe [sijui waliliona wapi hilo faili 🤷♂️].
Mtu kichaa, mwenye faili Mirembe, anateuliwa kuwepo kwenye baraza la mawaziri na marais wawili tofauti.
Pia soma: Ukichaa wa Magufuli na propaganda zinazoendelea
Baada ya hapo, chama hicho hicho cha hao marais waliomteua kwenye mabaraza yao ya mawaziri, kinamteua kuwa mgombea urais wao.
Huo ugonjwa wake wa akili ulianza lini? Baada ya yeye kula kiapo cha kuwa Rais?
Marais wawili, with all the state resources at their disposal, wanamteua ‘kichaa’ kutumikia kwenye serikali zao!
How?
Make it make sense. Please.
Sekou toure/bugando sio mirembeKama ni kweli Rais Magufuli alikuwa ni kichaa, kwa nini marais Mkapa na Kikwete walimteua kuwa kwenye mabaraza yao ya mawaziri?
Baadhi ya watu wanadai kuwa alikuwa na faili lake pale Mirembe [sijui waliliona wapi hilo faili 🤷♂️].
Mtu kichaa, mwenye faili Mirembe, anateuliwa kuwepo kwenye baraza la mawaziri na marais wawili tofauti.
Pia soma: Ukichaa wa Magufuli na propaganda zinazoendelea
Baada ya hapo, chama hicho hicho cha hao marais waliomteua kwenye mabaraza yao ya mawaziri, kinamteua kuwa mgombea urais wao.
Huo ugonjwa wake wa akili ulianza lini? Baada ya yeye kula kiapo cha kuwa Rais?
Marais wawili, with all the state resources at their disposal, wanamteua ‘kichaa’ kutumikia kwenye serikali zao!
How?
Make it make sense. Please.
Hii mtu anakuwa haambiliki, hasemezeki, hajali kabisa hisia za wanaomzunguka, hataki kukosolewa au kuchalenjiwa (ukimkosoa unakuwa ugomvi), anapenda zaidi kusikilizwa na kusifiwa yeye tu muda wote.Ndio nini hiyo narcissism
Yeye mwenyewe alisema kuwa ni kichaa na ndio maana aliwahi kumteua waziri kichaa kama yeye...birds of a feather flock together 😏
View: https://m.youtube.com/watch?v=n8IaMatQqFM
Mbona ni qualities za Tundu Lisu.Hii mtu anakuwa haambiliki, hasemezeki, hajali kabisa hisia za wanaomzunguka, hataki kukosolewa au kuchalenjiwa (ukimkosoa unakuwa ugomvi), anapenda zaidi kusikilizwa na kusifiwa yeye tu muda wote.
Ohoo jitu la namna hiyo kweli ni lijiweHii mtu anakuwa haambiliki, hasemezeki, hajali kabisa hisia za wanaomzunguka, hataki kukosolewa au kuchalenjiwa (ukimkosoa unakuwa ugomvi), anapenda zaidi kusikilizwa na kusifiwa yeye tu muda wote.
Zikiwa za Lissu haziwezi kuwa za mtu mwingine pia??Mbona ni qualities za Tundu Lisu.
Maendeleo aliyoyaleta JPM angekuwa Mjerumani angesifiwa. Yakifanywa Malaysia, Singapore, Korea wanapongeza.Ebu tuoneshe Watanzania ambao hawana ugonjwa wa akili wanaopaswa kuwa viongozi wa nchi?
Acheni kuwa mnachafua watu kwa hoja mfu ambazo mkiambiwa mzitetee mbele ya watu hamna uwezo huo.
Semeni mapungufu ya viongozi kwa hoja siyo vioja. Hao wazungu mnaowaona wa maana hadi mnakuwa makuhadi wao kila siku wanakamata raia wao kwa makosa ya uahini na hawavumilii usaliti hata kimoja.
Kwa sababu Tanzania hatuna ustaarabu na utamaduni wa kufuata sheria tunadiriki kuwadharirisha viongozi kwa tuhuma hewa.
Kumwongelea sana marehemu, hasa kama itakuwa ni kwa ubaya, haipendezi.Kama ni kweli Rais Magufuli alikuwa ni kichaa, kwa nini marais Mkapa na Kikwete walimteua kuwa kwenye mabaraza yao ya mawaziri?
Baadhi ya watu wanadai kuwa alikuwa na faili lake pale Mirembe [sijui waliliona wapi hilo faili 🤷♂️].
Mtu kichaa, mwenye faili Mirembe, anateuliwa kuwepo kwenye baraza la mawaziri na marais wawili tofauti.
Pia soma: Ukichaa wa Magufuli na propaganda zinazoendelea
Baada ya hapo, chama hicho hicho cha hao marais waliomteua kwenye mabaraza yao ya mawaziri, kinamteua kuwa mgombea urais wao.
Huo ugonjwa wake wa akili ulianza lini? Baada ya yeye kula kiapo cha kuwa Rais?
Marais wawili, with all the state resources at their disposal, wanamteua ‘kichaa’ kutumikia kwenye serikali zao!
How?
Make it make sense. Please.
Kwani hao marais walikuwa ni psychiatrist kupima akili za wateule wao?Kama ni kweli Rais Magufuli alikuwa ni kichaa, kwa nini marais Mkapa na Kikwete walimteua kuwa kwenye mabaraza yao ya mawaziri?
Baadhi ya watu wanadai kuwa alikuwa na faili lake pale Mirembe [sijui waliliona wapi hilo faili 🤷♂️].
Mtu kichaa, mwenye faili Mirembe, anateuliwa kuwepo kwenye baraza la mawaziri na marais wawili tofauti.
Pia soma: Ukichaa wa Magufuli na propaganda zinazoendelea
Baada ya hapo, chama hicho hicho cha hao marais waliomteua kwenye mabaraza yao ya mawaziri, kinamteua kuwa mgombea urais wao.
Huo ugonjwa wake wa akili ulianza lini? Baada ya yeye kula kiapo cha kuwa Rais?
Marais wawili, with all the state resources at their disposal, wanamteua ‘kichaa’ kutumikia kwenye serikali zao!
How?
Make it make sense. Please.
Wanaosema Magufuli alikuwa kichaa wao ni ma psychiatrist?Kwani hao marais walikuwa ni psychiatrist kupima akili za wateule wao?
Hizi stori zenu bana 😀.Kumwongelea sana marehemu, hasa kama itakuwa ni kwa ubaya, haipendezi.
Mimi ninachojua ni kuwa marehemu hakuwahi kutibiwa Mirembe.
Nilichoambiwa na mtu mmoja aliyekuwa kwenye nafasi za juu huko Serikalini ni kwamba Marehemu akiwa Waziri, wakati wa Mkapa, ndipo alipogundulika kuwa na hilo tatizo, na waliogundua ni maofisa wake wa chini wizarani. Wakamtaarifu Mkapa. Ndipo baada ya mipango kukamilika kwaajili ya matibabu, Mkapa alimwita na kumweleza kuwa unaenda Ujerumani kwaajili ya matibabu. Marehemu alikataa kuwa yeye haumwi. Mkapa akamwambia kuwa sijakuita kukuuliza kama unaumwa au huumwi bali nakutaarifu kuwa unaenda kwenye matibabu Ujerumani. Ndipo alipopelekwa kutibiwa Ujerumani. Hakutibiwa Mirembe.
Mtu mwingine aliyetajwa kutamka hilo (hilo nilisimliwa na watu) inatajwa kuwa mwenzi wake, ni wakati alipojiwa
Kama Paulo Makonda pamoja na ujinga wake mwingi ameteuliwa kuwa RC wa Arusha, kinachokushangaza nini Magufuli kuteuliwa kuwa waziri ?Kama ni kweli Rais Magufuli alikuwa ni kichaa, kwa nini marais Mkapa na Kikwete walimteua kuwa kwenye mabaraza yao ya mawaziri?
Baadhi ya watu wanadai kuwa alikuwa na faili lake pale Mirembe [sijui waliliona wapi hilo faili 🤷♂️].
Mtu kichaa, mwenye faili Mirembe, anateuliwa kuwepo kwenye baraza la mawaziri na marais wawili tofauti.
Pia soma: Ukichaa wa Magufuli na propaganda zinazoendelea
Baada ya hapo, chama hicho hicho cha hao marais waliomteua kwenye mabaraza yao ya mawaziri, kinamteua kuwa mgombea urais wao.
Huo ugonjwa wake wa akili ulianza lini? Baada ya yeye kula kiapo cha kuwa Rais?
Marais wawili, with all the state resources at their disposal, wanamteua ‘kichaa’ kutumikia kwenye serikali zao!
How?
Make it make sense. Please.
Zinaweza.Sijasema ni unique kwa Lisu ila Lisu ana qualities hizi pia.Zikiwa za Lissu haziwezi kuwa za mtu mwingine pia??
Sabaya pia.Kama Paulo Makonda pamoja na ujinga wake mwingi ameteuliwa kuwa RC wa Arusha, kinachokushangaza nini Magufuli kuteuliwa kuwa waziri ?